Uchaguzi ni sayansi: Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe

Kitu muhimu ni mtu kutumia haki yake anavyoona yeye sawa.

Kushinda au kushindwa ni matokeo.

Kama Tundu Lissu anaona anaweza kukiongoza chama vizuri, ni haki yake kugombea uongozi.

Hata akishindwa, hilo halina maana Tundu Lissu ndiye tatizo au hana uwezo.

Inawezekana Tundu Lissu akawa ndiye kiongozi anayefaa na bado akakosa kura kwa sababu wanaochagua hawako tayari kuwa na kiongozi anayefaa.

Uongozi mzuri haupatikani kwa kura nyingi, that is democracy but democracy does not guarantee good leadership. I am not anti-democracy, I am explaining logic.

Kufikiri kiongozi anayefaa ni yule anayechaguliwa kwa kura nyingi ni logical fallacy, that is argument from popularity logical fallacy.
 
unadhani akiwa mwenyekiti ataendelea kukisaliti chama kama mnavyodai?
Msaliti uwa amalizi alafu chama cha siasa haiwezi kutokea wakabidhiwe wana harakati Mbowe akitazama yrye ni leader ana vision ana kinusuru chama
 
Lissu atabaki mwenyekiti wa mioyoni mwenu.
Haya mambo ya Chadema wewe mccm yanakuhusu nini, mbona mnamgwaya sana Lissu kutangaza nia tu hampati usingizi. Biashara imeisha hiyo labda mumpige bomu mara hii kwa sababu kwa risasi mulishindwa.
 
Ange weka nia John Heche ninge elewa, ila kwa huyu domo kaya hamna kitu. Huyy ata kiuza chama.
 
Eti aisukue upya 😀😀😀😀 mbowe ni mtu aliyefilisika kisiasa hana tena nguvu ya kusuka chama

Aachie chama kwanza au atangaze chama ni Cha babayake tujue
 
Pamoja na yote hata kama siyo Lissu au Mbowe nadhani wanahitaji damu mpya kama akina Heche. Mbowe imetosha.
 

Yes ataechaguliwa na wengi ndio mwenyekiti wa chama na ndio demokrasia hakuna kuachiwa mtu apite bila kupingwa.
 
Vipi, umekimbia matibabu? Hakuna shaka kuwa hujapona, rudi hospitali ukamalizie tiba.

Achana na masuala ya Mbowe na Lisu. Hao wanatimiza misingi ya demokrasia, hawategemei hizi porojo na kelele zako.
Mkuu Lissu kayakanyaga kwa Mbowe. Atafunzwa adabu.
 
Safu ilishapangwa tangu uchaguzi wa ngazi za chini, huko ndiko wapiga kura wapo
 
Tunajua kabisa Mbowe atasaidiwa na Samia kwa kutumia fedha za waarabu na vyombo vya usalama. Tunajua kuwa mpaka TISS itatumika ili tu Lissu asishinde. Hii ni kwa sababu Mbowe ameshapewa fedha nyingi na Samia ili CHADEMA isipige kelele wakati waarabu watakapokuwa wanapora raslimali zetu na pia CHADEMA isimpe Samia ushindani kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani. Tusibiri tuone mwisho wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…