Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Kota pini inaingia kwa nyundo na kutoka kwake pia ni kwa nyundo sio vikaratasi vyenye tiki.
Hii ni kwa mujibu wa Babu Mu7.
 
Kwahiyo Museveni ni zaidi ya Sauti za wananchi?Wananchi kama wanamtaka huyo,Museven ni nani mpaka akatae?Hii ndio mwisho wa siku machafuko yanatokea na watu wanakufa!Ujinga wa viongozi wa Africa!
Nchi sio kupeana kama bia bar
 
Siwez kuifuta , Kwa Africa jins rais alivyo na nchi inakuwa hvyo hvyo , hakuna mfumo madhubuti wa kudhibiti maamuz ya Rais ,
Aliyekuwa Rais wa DRC kabila jr alikuwa wapi na nani hapo kabla ?
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Acha mawazo ya Kizamani hakuna sehemu wanafundisha uongozi ..unajua kama Ukraine inaongozwa na comedian ...kama akina joti?
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Ronald Reagan Rais wa 40 wa Marekani 1981-1989 alikuwa mcheza Cinema wa Hollywood, kwetu tunaita msanii wa bongo movie.
 
Back
Top Bottom