Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Africa haijawahi kuwa na uchaguzi zaidi ya uchafuzi, na wasimamizi wakuu ni majeshi
 
Wakuu, nafatilia KWA karibu uchaguzi Uganda Kama ndugu mseven anachakazwa vibaya,ila all at all uganga Kuna vitu wako mbele yetu, angalau kidogo tahasisi zipo imara,
Mh mseven anaenda pumzika ila rais mpya tafadhali usimbuguzi, mpe stahiki sahihi
 
Kumbe kuna hadi uganga🙊
 
Fanya yako mzee anana na yawenzio hayakuhusu,kwani tumekutuma ukafuatilie hadi utuletee humu si ndiyo kihelehele hicho ukisikia.

Ya kwako yanakushinda
 
Nimetazama ubc,ntv na bukedde ni dhahiri museven anarudi kwa kura kibao...halafu kwenye vituo vya kupiga kura wanatangaza matokeo nje kwa kipaza sauti mbele ya wapiga kura...robert chagulanyi anapewa wakala wake...mseven anapewa wakala wake yaani hkn cha kuiba kura wala fujo...maana matokeo kila mpiga kura anayaona live sasa mseven kura zilikuwa nyingi sn anayefuata ni chagulanyi (bobby)

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nimapema sana kutabri ushindi..wapiga kula wengi wapo vijijini..na watu wa vijijini kama unavyo wajua..siku zote hubadili matokeo kuwa mazuri au mabaya.
 
Mbona wapo hata waliokuwa wanakesha kwenye corridor za mabibo hostel kusubiria vimwana kina kabula wamekuwa maraisi wa nchi zao?...
Museven hawezi kumuachia huyo mvuta bangi nchi ya UGANDA, full stop. Hutaki kufa
 
Kwa sisi wahaya waganda ni ndugu zetu wakiamua wameamua unakumbuka kipindi cha uchaguz CCM ilipata tabu sn kagera nyiny makabila mengine mnatuchosha mmekuwa waoga hata kuzomea hamuwez
Mmepata wabunge wangapi wa upinzani?
 
Back
Top Bottom