The King of Kings
Member
- Oct 21, 2020
- 59
- 80
Bado mapema ila wengi wanamtabiria kushindwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huoUpepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake.
View attachment 1677595
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia iliyobaki.
Matokeo yameanza kutoka kwa baadhi ya vituo hapo nchini Uganda na babu anaonekana kuchapwa vilivyo, kwa utaratibu wa tume na sheria zinasema ndani ya masaa 48 mshindi awe ametangazwa ila naona walishajua kitakachotokea so wamesogeza mbele siku ya kumtangaza mshindi inaweza kuwa zaidi ya jumamosi ijayo.
Hapa chini baadhi ya vituo nilivyobahatika kupata matokeo yake...
View attachment 1677599
KAMULI DISTRICT
KBS Polli station
Bobi Wine 126
Museveni 65
Water supply PS
Bobi Wine 185
Museveni 84
Post Office PS
Bobi Wine 193
Museveni 86
St Mark PS
Bobi Wine 113
Museveni 71
Tororo District, Malaba polling stations results
Mosque polling station
Bobi-181
M7-78
St Steven A
Bobi-176
M7-118
ST Steven B
Bobi-192
M7-77
Jyambula ps
Bobi-135
M7-55
Police ps
Bobi-50
M7-22
Forest ps
Bobi- 170
M7-91
Asinge
Bobi-126
M7-86
Hsptl ps
Bobi 145+135
M7-80+44
View attachment 1677724
Bado mapema ila wengi wanamtabiria kushindwa
Ungekuwa unafuatilia siasa usinge komenti hicho ulichoandika but kwa kukusaidia...Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huo
Kama Trump!Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Umaarufu wake kujiamini kwake mbele ya M7 ni jambo adimu kwa wasomi .Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huo
Bob Wine might not be the best but he was a man enough to stand up against Museveni.Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Tabia za waliopo madarakani Afrika za kugandamiza demokrasia na kuonea raia inaogopesha watu wengi kujiunga upinzani , wananchi wakichoka watachagua yeyote kwa kuwa haoni faida ya waliowatawala kwa muda mrefu.watu Kama Bob wine ni SAHIHI kupambana na dikteta usiwalaumu wananchi laumu wanaosababisha wengi wasishiriki siasa za ushindaniMseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Nyie tulieni hio you turn mtakayoiona mtashangaa wenyeweUpepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake.
View attachment 1677595
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia iliyobaki.
Matokeo yameanza kutoka kwa baadhi ya vituo hapo nchini Uganda na babu anaonekana kuchapwa vilivyo, kwa utaratibu wa tume na sheria zinasema ndani ya masaa 48 mshindi awe ametangazwa ila naona walishajua kitakachotokea so wamesogeza mbele siku ya kumtangaza mshindi inaweza kuwa zaidi ya jumamosi ijayo.
Hapa chini baadhi ya vituo nilivyobahatika kupata matokeo yake...
View attachment 1677599
KAMULI DISTRICT
KBS Polli station
Bobi Wine 126
Museveni 65
Water supply PS
Bobi Wine 185
Museveni 84
Post Office PS
Bobi Wine 193
Museveni 86
St Mark PS
Bobi Wine 113
Museveni 71
Tororo District, Malaba polling stations results
Mosque polling station
Bobi-181
M7-78
St Steven A
Bobi-176
M7-118
ST Steven B
Bobi-192
M7-77
Jyambula ps
Bobi-135
M7-55
Police ps
Bobi-50
M7-22
Forest ps
Bobi- 170
M7-91
Asinge
Bobi-126
M7-86
Hsptl ps
Bobi 145+135
M7-80+44
View attachment 1677724
View attachment 1677726View attachment 1677727
View attachment 1677728
Sipo upande wa Mseveni c'se he is too old to run the show...ila Watu wanaomshabikia Bob wine in short hawajielewi au wapo obsessed Sana na democracy , demokrasia sio ya kuichukulia Tu yote kama ilivyo ,mtajikuta mnatengeneza tatizo kubwa Zaid , wazungu demokrasia Yao huwa wanaiedit Kwanza kabla ya kuirusha on-air .... Huwez kumpa nchi mtu kama Bob wine hakuna kitu pale .... Mzungu huwa anahakikisha wagombea wote ni presidentially material , bado baada ya Kura kuna cabinet inakaa Kwa ajil ya kumtathmin aliyeshinda Kwa kina , kama ni miyeyusho cabinet inapindua matokeo Kwa mstakabali Mpana wa nchi .... Sisi huku hamna , ni ushabiki Tu na chuki za kikanda na kikabila mtu hata wa hovyo Tu anapewa majukumu mhimu ...mwisho wa yote anabak kupuyanga na matokeo yake vita vya wenyewe Kwa wenyewe nchi inakuwa full riots ....Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huo
Hawa ndo mashangingi wa Amsterdam. Kama vyahuku vya lisuFake results kwanza hakuna mgombea anayejulikana kwa jina la Bobi.
Kakojoe ulale lizee limeshagalagazwa.Ndoto
Kwanza hujui lolote kuhusu H.E Robart Kyagulanyi Ssentamu, hata mziki anaofanya kausomea ndo maana alikuwa anapata project's na WHO kwenye issue za kuokoa maisha ya Mama na Mtoto Kwahiyo jamaa yupo smart kwenye medulla.Unaamini huyu mnyoa kiduku naweza kushinda urais
Kama Rafiki yake tuliyenae hapa Tanzania Kashinda kwa Mbibu za Kininja ( Kimafia ) unadhani hajammegea Maujanja yote ya Ushindi wa Uganda?No way utapimwa KWANZA wewe, kwanini mnakua na fikra za kizee,m7 anabuluzwa Sana,na uganda wametuzid