Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

UGANDA ELECTION RESULTS AS THEY STAND NOW........

UPDATE:

Tororo Polling stations
Bobi wine 15, 231
Museveni 2, 341

Magere Freedom square ( Bobi wine's home polling station).
Bobi Wine 1074
Museveni 257

KAMULI DISTRICT
KBS Polli station
Bobi Wine 126
Museveni 65

Water supply PS
Bobi Wine 185
Museveni 84

Post Office PS
Bobi Wine 193
Museveni 86

St Mark PS
Bobi Wine 113
Museveni 71

Nansana, Little Muheji polling station.
Bobi wine - 931
Museveni - 204

#UgandaDecides2021
#THEAFRICAWEWANT
#DOYOURPART
#FREEUGANDA
#MCN
#REDEFININGPOLITICS

MUBITA C. NAWA
 
Sipo upande wa Mseveni c'se he is too old to run the show...ila Watu wanaomshabikia Bob wine in short hawajielewi au wapo obsessed Sana na democracy , demokrasia sio ya kuichukulia Tu yote kama ilivyo ,mtajikuta mnatengeneza tatizo kubwa Zaid , wazungu demokrasia Yao huwa wanaiedit Kwanza kabla ya kuirusha on-air .... Huwez kumpa nchi mtu kama Bob wine hakuna kitu pale .... Mzungu huwa anahakikisha wagombea wote ni presidentially material , bado baada ya Kura kuna cabinet inakaa Kwa ajil ya kumtathmin aliyeshinda Kwa kina , kama ni miyeyusho cabinet inapindua matokeo Kwa mstakabali Mpana wa nchi .... Sisi huku hamna , ni ushabiki Tu na chuki za kikanda na kikabila mtu hata wa hovyo Tu anapewa majukumu mhimu ...mwisho wa yote anabak kupuyanga na matokeo yake vita vya wenyewe Kwa wenyewe nchi inakuwa full riots ....
Trump ni presidential material? Cabinet gani ina mamlaka ya kutengua uamuzi wa wapiga kura? Na cabinet ( baraza la mawaziri) hiyo itaundwa na mawaziri wa utawala upi? Unataka kusema cabinet ya Trump ina uwezo wa kupindua matokeo ya uchaguzi alioshindwa kwa kile unachokiita mstakabali mpana wa nchi? Cabinet ambayo inakaa chini ya Rais aliyeshindwa ndio iamue kweli kama matokeo ni halali au sio halali! Mbona mnatufanya wajinga sana?

Amandla...
 
Ngoja nikite kambi hapa, nitarudi alfajiri kupata mrejesho.
 
Ronald regan alikuwa ni msaanii wa filamu hollywood akaja kuwa president wa marekani 1980
Hakutoka kwenye Usanii na kuja kuwa Rais, alipita njia iliyo mtayarisha pamoja na kuwa Gavana wa Jimbo tajiri sana Califórnia kwa vipindi viwili kabla ya kuwa Rais wa nchi ya Marekani.
 
Yaani wapinzani wakielekea kushinda ndio tume ya uchaguzi inaonekana huru;
natoa mfano,hivi katika hali ya kawaida tunaamini trump alishindwa?,hii nguvu inayotumika kwake kumtoa unadhani tume iko huru?,kuna muda haina maana kujilinganisha na wengine tuangalie yetu tu;
ingekua Africa ndio inafanyika vile tungesema hayahaya;
 
Itakuwa unafuatilia kinachojili huko Uganda hebu tupe ukweli unaoujua wewe,
"No research no right to speak"
Hkn jina ambalo lililoorodheshwa kama Bobi kwenye uchaguzi haya matokeo ni ya uongo kuna karatasi 2 tu za ukweli hpo ambazo zina jina la kyagulanyi robert hizo yenye jina la Bobi ni fake

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Yaani wapinzani wakielekea kushinda ndio tume ya uchaguzi inaonekana huru;
natoa mfano,hivi katika hali ya kawaida tunaamini trump alishindwa?,hii nguvu inayotumika kwake kumtoa unadhani tume iko huru?,kuna muda haina maana kujilinganisha na wengine tuangalie yetu tu;
ingekua Africa ndio inafanyika vile tungesema hayahaya;
Yule hana uzoefu wa siasa. Kuna vitu angekuwa amejifunza kama angekuwa step by step kwenye ngazi za kisiasa. Anahisi kuendesha nchi ni kama kampuni
 
Sipo upande wa Mseveni c'se he is too old to run the show...ila Watu wanaomshabikia Bob wine in short hawajielewi au wapo obsessed Sana na democracy , demokrasia sio ya kuichukulia Tu yote kama ilivyo ,mtajikuta mnatengeneza tatizo kubwa Zaid , wazungu demokrasia Yao huwa wanaiedit Kwanza kabla ya kuirusha on-air .... Huwez kumpa nchi mtu kama Bob wine hakuna kitu pale .... Mzungu huwa anahakikisha wagombea wote ni presidentially material , bado baada ya Kura kuna cabinet inakaa Kwa ajil ya kumtathmin aliyeshinda Kwa kina , kama ni miyeyusho cabinet inapindua matokeo Kwa mstakabali Mpana wa nchi .... Sisi huku hamna , ni ushabiki Tu na chuki za kikanda na kikabila mtu hata wa hovyo Tu anapewa majukumu mhimu ...mwisho wa yote anabak kupuyanga na matokeo yake vita vya wenyewe Kwa wenyewe nchi inakuwa full riots ....
Mbona kama unateseka?

Ebu toa sababu za msingi kwanini Bob hafai?
 
Hivi uko timam unadhani nchi inakabidhiwa kama fremu ya kupanga.nyie kina lisu tu
Hizo pesa za chaguzi bora zingekuwa zinatumika tu kwenye miradi ya maendeleo(kujenga madarasa)kuliko uchafuzi huo wakati mshindi sio lazima awe ni yule aliyeshinda bali ni yule aliyetangazwa!!chaguzi nyingi za afrika ni ili kuwahadaa hao mabeberu ili kuzidi kutoa pesa zao tu!
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Inaonekana wewe hujui siasa za dunia?
Kwamba kwa wazungu hakuna maraisi washakuwa wasanii?
 
Back
Top Bottom