Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Sawa , ni mwehu Tu anayeweza chagua raisi Kwa kuangalia interview out of his previous perfomance ...Una mawazo finyu sana, huyo unayemuita msanii nimeona interviews zake ana uwezo mkubwa sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa , ni mwehu Tu anayeweza chagua raisi Kwa kuangalia interview out of his previous perfomance ...Una mawazo finyu sana, huyo unayemuita msanii nimeona interviews zake ana uwezo mkubwa sana...
Hawa jamaa wanafikria Marekan huwa wanakurupuka tuu.....Hakutoka kwenye Usanii na kuja kuwa Rais, alipita njia iliyo mtayarisha pamoja na kuwa Gavana wa Jimbo tajiri sana Califórnia kwa vipindi viwili kabla ya kuwa Rais wa nchi ya Marekani.
Sio kuwa president alikuwa among the best president wa USA, jamaa alidharauliwa ila mpaka leo heshima juu yake RIPRonald regan alikuwa ni msaanii wa filamu hollywood akaja kuwa president wa marekani 1980
Mpaka alfajili hii MUSEVEN anaongoza kwa over 61% dhidi ya BOB WINE. Ambaye ana 27% ya kula zote...
Ata mimi naamini Trump hakushindwa uchaguzi ila kuna mpango kabambe ulishasukwa kumuondoa na sembuse kule USA hawana tume ya uchaguzi ya kitaifa ndiyo kabisaYaani wapinzani wakielekea kushinda ndio tume ya uchaguzi inaonekana huru;
natoa mfano,hivi katika hali ya kawaida tunaamini trump alishindwa?,hii nguvu inayotumika kwake kumtoa unadhani tume iko huru?,kuna muda haina maana kujilinganisha na wengine tuangalie yetu tu;
ingekua Africa ndio inafanyika vile tungesema hayahaya;
Uongozi Ni karama.... ofcorse usanii wake sio issues.....Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Kwa hiyo ni sawa mwanajeshi kuwa raisi ila sio msanii.?Alikuwa Mwanajeshi.
Jitu miaka 35 limekomaa na bado linataka liendelee kuongoza, sasa hao presidential material wanapikwa wapi? Hata yeye wakati anaingia hakuwa presidential material!Nikweli waganda wanahitaji mabadiliko ila kwa wagombea wote sioni presidential material hata mmoja,labda wanazidiana umaarufu tu.......M7 ataendelea kuwepo sana tu hapo Nakasero
Kitakacho fanyika UG ndicho kilicho fanyika TZ.Tatizo sio kupigiwa kura hapa Afrika. Je, hiyo tume ya uchaguzi ITAMTANGAZA MPINZANI?
Ukisoma komenti ni Taga tuu zinazomtetea Babu M7. Ukiwa Taga automatically unakuwa brainless.
Hebu taja hizo sifa za presidential material na unitajie maraisi duniani wenye hizo sifa!!!Nikweli waganda wanahitaji mabadiliko ila kwa wagombea wote sioni presidential material hata mmoja,labda wanazidiana umaarufu tu.......M7 ataendelea kuwepo sana tu hapo Nakasero