Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

Wakuu, nafatilia KWA karibu uchaguzi Uganda Kama ndugu mseven anachakazwa vibaya,ila all at all uganga Kuna vitu wako mbele yetu, angalau kidogo tahasisi zipo imara,
Mh mseven anaenda pumzika ila rais mpya tafadhali usimbuguzi, mpe stahiki sahihi
Mkuu matokeo yaliyotolewa sasa hivi Clouds yanaonyesha Museven anaongoza 63 wakati bob wine ana 28
 
Hkn jina ambalo lililoorodheshwa kama Bobi kwenye uchaguzi haya matokeo ni ya uongo kuna karatasi 2 tu za ukweli hpo ambazo zina jina la kyagulanyi robert hizo yenye jina la Bobi ni fake
Kwani nani kakwambia ni uongo?

Kwa kuwa unafuatilia hii issue tupe ukweli wa vituo nilivyoleta katika uhalisia unaoujua wewe vinginevyo kaa utulie ufuatilie kinachojili.
 
Polls opened and ended Thursday, paving way for a rather delayed vote counting exercise in Uganda’s hotly contested election as the country climaxes a deadly election that has so far claimed over 50 people in poll-related violence.

Incumbent president Yoweri Kaguta Museveni Friday morning made a leap towards sealing stay in office beyond 35 years after he steadily stretched lead over ten other candidates eyeing Uganda’s presidency, including closest challenger and National unity Platform (NUP) presidential candidate Robert Kyagulanyi aka Bobi Wine.

Mr Museveni, 76, eclipsed 1.5 million votes while opposition front-runner and NUP presidential candidate, Bobi Wine had gained but was still trailing with 647,146 votes (27.39%), according to Electoral Commission’s (EC) second batch of provisional results.

2021 Presidential election provisional results from 8,310 polling stations
Presidential CandidatePartyTallyPercentage (%)
Amuriat Oboi PatrickForum for Democratic Change (FDC)84,9693.60
Kabuleta Kiiza JosephIndependent15,4030.65
Kalembe Nancy LindaIndependent12,0810.51
Katumba JohnIndependent8,8860.38
Kyagulanyi S Robert aka Bobi WineNational Unity Platform (NUP)647,14627.39
Nobert MaoDemocratic Party (DP)15,3150.65
Mayambala WillyIndependent5,1350.22
Mugisha Muntu GAlliance for National Transformation (ANT)16, 6730.71
Mwesigye FredIndependent7,1600.30
Tumukunde Henry KIndependent13,8130.58
Museveni T KagutaNational Resistance Movement (NRM)1,536,20565.02
*Accurate as per January 15, 2021 (9:30am Local EAT)

The race remains tight and too early to call with results in- accounting for just over 23.69 per cent of the total 34,684 polling centres spread across the country but Bobi Wine Thursday hinted on possibility of rejecting results in election that was marred by gross irregularities.

“The results the EC boss Simon Byabakama puts out are his business. We are in this to win,” Bobi Wine told the press in Magere, Wakiso District, shortly after voting.

Parts of Kampala metropolitan, a traditional opposition swing territory, reported cases of delayed voting and technological difficulties in using Bio-metric Voter Verification Machines. Also, a ballot box was Thursday stolen in Ntungamo.

“EC had over four years to prepare for this election. They say they delivered voting materials to areas over 500km away from Kampala but failed to deliver in their own backyard. There must be a wrong plan,” voter Kenneth Kanaabi, 25, said.

The social media, digital trends and citizen journalism evolution were faced with unfamiliarly heightened forces of a complete shutdown as heavy security was also maintained throughout the country.

Several other opposition figures all week-long expressed intent to trash results, should they swing in veteran leader, Mr Museveni's direction by any chances of electoral malpractices.

“We warn Byabakama. He should know that he has an obligation to Ugandans not just Museveni,” FDC presidential candidate, Mr Patrick Amuriat said Thursday.

NRM presidential candidate Museveni- who has been in power since 1986, has a historical cycle of winning in elections that have overly been rejected by opposition and at some point international observers highlighting irregularities.

Independent presidential candidate Ms Nancy Kalembe said she was optimistic that “Museveni would surrender and allow peaceful transition after election defeat.”

The January 14 election is largely seen by opposition figures as a crucial ‘revolution and referenda vote’ on whether Mr Museveni who has been in power since 1986 can extend his rule to four decades or not.

“This election is significant for a country that has to be set free from a reckless regime,” ANT presidential candidate, Gen Mugisha Muntu said.

Uganda went into elections still in the aftershock of deadly November 18/19 protests that claimed over 50 people following the arrest of Bobi Wine in the eastern district Luuka District. The protests exposed Uganda's electoral violence and scores of people have gone on to die with thousands of opposition supporters in detention.

According to Mr Byabakama, Thursday’s election had been conducted “largely peacefully across the country.”

The electoral body he leads is now tasked by the constitution to declare final results within 48 hours after closure of polls.


Source: Museveni maintains lead as Uganda awaits final election results
 
Humujui m7 wewe hawezi kumpa huyo mvuta bangi nchi
Umeona eehh. This is Africa. Hata akishinda, meza itapinduliwa tu. Hata hatua hiyo M7 kakosea sana kuacha huyo dogo aonekane yuko juu. Tume ya uchaguzi inafanya nini hapo?
 
Kakojoe ulale lizee limeshagalagazwa.
Mchezo wa Mahera, Diwani, Mabeho Siro na Kaijage hauchezeki kwa wenye uelewa wao
Mkuu nchi zetu hatuhitaji kura tunahitaji jeshi
Tangu Jana kyagulanyi yupo chini ya ulinzi amezungukwa na jeshi
 
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Pumba hii
 
Museveni this time naona atakubali yaishe,vinginevyo Uganda itaingia kwenye machafuko...
 
Hivi Uganda walishindwa kumpata mtu mzuri wa kugombea urais mpaka wamuweke Bobi wine. Anaonekana kabisa ni mvuta ganja. Ndio ubaya wa demokrasia huo
Kua na ujitambue mr
Unafuatilia siasa za Uganda?
Unamfahamu bobi wine?
Umewahi kuangalia/kufuatilia mijadala anayoshiriki Bobi?
Je unajua kuwa m7 anavuta bangi?
Acha ushamba
Bobi ni mtu smart sana wanaomfuatilia pia wanajua, waganda pia wanajua ndiyo maana kawa pale alipo Kuna wagombea zaidi ya 10 mbona wao wasivume kama Wine
 
Kua na ujitambue mr
Unafuatilia siasa za Uganda?
Unamfahamu bobi wine?
Umewahi kuangalia/kufuatilia mijadala anayoshiriki Bobi?
Je unajua kuwa m7 anavuta bangi?
Acha ushamba
Bobi ni mtu smart sana wanaomfuatilia pia wanajua, waganda pia wanajua ndiyo maana kawa pale alipo Kuna wagombea zaidi ya 10 mbona wao wasivume kama Wine
Kuna watu wanafikiri siasa ni umaarufu wa majina. M7 kapitwa na wakati, ni nchi haina demokrasia tu, alitakiwa kuwekwa pembeni.
 
Back
Top Bottom