Humujui m7 wewe hawezi kumpa huyo mvuta bangi nchi
Alikwisha sema kuwa aliingia kwa mtutu wa bunduki hivyo hawezi kuondolewa kwa kura!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humujui m7 wewe hawezi kumpa huyo mvuta bangi nchi
Vitu gani hebu weka hapa, siyo kuandika jumla jumla. Vipo kwenye katiba ya Uganda upande wa sifa za mgombea?Yule hana uzoefu wa siasa. Kuna vitu angekuwa amejifunza kama angekuwa step by step kwenye ngazi za kisiasa. Anahisi kuendesha nchi ni kama kampuni
UVCCM wakishewekewa bando pale Lumumba huwa wanakabidhi akili kwa Bashiru Ally.....Trump ni presidential material? Cabinet gani ina mamlaka ya kutengua uamuzi wa wapiga kura? Na cabinet ( baraza la mawaziri) hiyo itaundwa na mawaziri wa utawala upi? Unataka kusema cabinet ya Trump ina uwezo wa kupindua matokeo ya uchaguzi alioshindwa kwa kile unachokiita mstakabali mpana wa nchi? Cabinet ambayo inakaa chini ya Rais aliyeshindwa ndio iamue kweli kama matokeo ni halali au sio halali! Mbona mnatufanya wajinga sana?
Amandla...
Museven kabla ya kuwa rahis alikua nani.?Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Nilikuwa namzungumzia TrumpVitu gani hebu weka hapa, siyo kuandika jumla jumla. Vipo kwenye katiba ya Uganda upande wa sifa za mgombea?
Alikuwa Mwanajeshi.Museven kabla ya kuwa rahis alikua nani.?
Na ChatoUVCCM wakishewekewa bando pale Lumumba huwa wanakabidhi akili kwa Bashiru Ally.....
Uganda, tofauti na vilaza wa Tanzania pamoja na M7 mwenyewe, ina wasomi wengi wenye PhD za Vyuo vinavyojulikana duniani ndo wanapiga kura leo kuchagua Rais na Wabunge. Wakati wa Kampeni za Uchaguzi za Uganda, mgombea Urais alikuja Tz kujifunza namna ya kuiba kura toka kwa wabobezi wenye PhD za jalalani lakini inaonekana mafunzo hayakusaidia maana anagaragazwa vibaya. Marais wengi walichaguliwa wakiwa Wasanii na kuongoza nchi zao vizuri sana, mmojawapo akiwa Reagan aliyemshinda Rais Jimmy Carter aliyekuwa madarakani kwa muhula mmoja tu kama Trump. Baraza la Mawaziri linateuliwa na mshindi wa Urais siyo na Bunge!Sipo upande wa Mseveni c'se he is too old to run the show...ila Watu wanaomshabikia Bob wine in short hawajielewi au wapo obsessed Sana na democracy , demokrasia sio ya kuichukulia Tu yote kama ilivyo ,mtajikuta mnatengeneza tatizo kubwa Zaid , wazungu demokrasia Yao huwa wanaiedit Kwanza kabla ya kuirusha on-air .... Huwez kumpa nchi mtu kama Bob wine hakuna kitu pale .... Mzungu huwa anahakikisha wagombea wote ni presidentially material , bado baada ya Kura kuna cabinet inakaa Kwa ajil ya kumtathmin aliyeshinda Kwa kina , kama ni miyeyusho cabinet inapindua matokeo Kwa mstakabali Mpana wa nchi .... Sisi huku hamna , ni ushabiki Tu na chuki za kikanda na kikabila mtu hata wa hovyo Tu anapewa majukumu mhimu ...mwisho wa yote anabak kupuyanga na matokeo yake vita vya wenyewe Kwa wenyewe nchi inakuwa full riots ....
Si useme tu ni rais John Pombe Josephat Magufuli. Unaogopa nini na wewe ni Mwanaume?!Mbona wapo hata waliokuwa wanakesha kwenye corridor za mabibo hostel kusubiria vimwana kina kabula wamekuwa maraisi wa nchi zao?
Wapo walio wahonga vimada nyumba za umma na wakakwa maraisi?
Wapo waliojiita vichaa vichaa hivi kwamba wao ni maraisi vichaa na wanaongoza nchi zao hadi leo.
Wewe unaona bhangi hatari?
Nimeshakwambia matokeo ya awali ndio yananifurahisha hayo mengine watajua wenyewe mtu ameshajua ukweli hata akipindua Meza ila ukweli anaoHizo ni porojo sibiri matokeo
Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Sipo upande wa Mseveni c'se he is too old to run the show...ila Watu wanaomshabikia Bob wine in short hawajielewi au wapo obsessed Sana na democracy...
Mhhh, mbona Trump hana sifa hizo ?
Wakat Trump anaingia madarakan nan alimuona kuwa hafai?? Yeye ndo kaharibu mhula wake wa Kwanza ...... Na istoshe hata yeye anajua kuwa ametolewa Kwa nguvu Kwa mstakabali Mpana wa Taifa ...Trump unaona alikua ni presidential material?Au walisahau kui edit demokrasia yao.?
Hiyo siyo Tz.Atampa hata kwa NATO army.Humujui m7 wewe hawezi kumpa huyo mvuta bangi nchi