Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kwahiyo Museveni ni zaidi ya Sauti za wananchi?Wananchi kama wanamtaka huyo,Museven ni nani mpaka akatae?Hii ndio mwisho wa siku machafuko yanatokea na watu wanakufa!Ujinga wa viongozi wa Africa!Humujui m7 wewe hawezi kumpa huyo mvuta bangi nchi
Bobiwaini kesho ataongea
Nchi sio kupeana kama bia barKwahiyo Museveni ni zaidi ya Sauti za wananchi?Wananchi kama wanamtaka huyo,Museven ni nani mpaka akatae?Hii ndio mwisho wa siku machafuko yanatokea na watu wanakufa!Ujinga wa viongozi wa Africa!
Kota pini inaingia kwa nyundo na kutoka kwake pia ni kwa nyundo sio vikaratasi vyenye tiki.
Hii ni kwa mujibu wa Babu Mu7.
Hawezi kuwa rais wa nchi, labda awe rais wa bendi yakeUnaamini huyu mnyoa kiduku naweza kushinda urais
Kwani M7 ndio anatoa nchi au wananchi ndio wanaamua?Humujui m7 wewe hawezi kumpa huyo mvuta bangi nchi
Sawa chiefbro si umesema wenzetu hawachagui wasanii,umesahau kuna nchi ya eastern europe walichagua msanii wa vichekesho kuwa president
HakikaHawezi kuwa rais wa nchi, labda awe rais wa bendi yake
" You want another rap , Yesa Ssebo " hii ni Single ya Museveni , naye alivuta bhangi ?Humujui m7 wewe hawezi kumpa huyo mvuta bangi nchi
Acha mawazo ya Kizamani hakuna sehemu wanafundisha uongozi ..unajua kama Ukraine inaongozwa na comedian ...kama akina joti?Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Ronald Reagan Rais wa 40 wa Marekani 1981-1989 alikuwa mcheza Cinema wa Hollywood, kwetu tunaita msanii wa bongo movie.Mseveni amejichokea hata hvyo ni aibu nchi kuongozwa na msanii , ni hapo Tu wenzetu wazungu wanapotuchapia fimbo ....wanahakikisha wagonbea wote ni presidentially material Kwanza ...
Leo hii Tz tuna wasanii wabunge tena kuna wengine wamekuwa na uwezo mkubwa kujenga hoja kuliko hata hawa professor wachumia tumboSiwez kuifuta , Kwa Africa jins rais alivyo na nchi inakuwa hvyo hvyo , hakuna mfumo madhubuti wa kudhibiti maamuz ya Rais ,
Hahahaaaa...... Wewe ni mke wa Robert Amsterdam!Mke wa dikteta najua utawatetea madikteta!