Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.

Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Ni mjings tu atakayekuunga mkono katika hili

Hoja kwamba, Kanda ya ziwa kuwa ndio Nani awe raisi usiibeze mkuu

Kwa sabb, ikiwa kanda ya ziwa ndio itampa kura zote mgombea, katika mikoa mingine, nako atapata hata kama itakuwa ni kidogo, ila kanda ya ziwa ndio itakuwa sabb ya mgombea kutangzwa mshindi
 

Ngoja sensa itawaambia kuwa kanda ya ziwa wako wangapi.
 

Mkuu kwa taarifa yako mgombea yoyote akipitishwa na CCM haijalishi ubora wake, bali dola ina wajibu wa kuhakikisha anakuwa rais na sio lazima kwa box la kura.

Kikwete alishindwa kumpitisha Membe kuwa mgombea wa urais sio kwa sababu za ubora ama la, bali kwa sababu ya mgawanyiko wa wajumbe kutokana na uwepo wa Lowassa. Ili kumaliza hayo makundi ya JK na Lowassa, ndio bahati ikamuangukia Magufuli na sio kwa sababu za ubora. Ni kweli wananchi sio wajinga, ila ni waoga, hivyo wanaweza kupewa chochote watakacho CCM na wasifanye lolote zaidi ya kulalamika.
 
Ilo Jambo Ni kweli , Hilary Clinton kwa kua alikuwa Senetor Newyork, alimshinda Trump uko Newyork kwa tofauti ya kura 1.7m ana kwakua California Ni Democrats akamshinda Trump kwa tofauti ya 1.3m, lakini Trump alimshikisha adabu kwenye majimbo madogo,,, so ilo wazo Ni zuri
 

Mkuu uko sahihi, lakini huo mfano hauendani na huku kwenye chaguzi za kihuni.
 
Rudia kusikiliza hotuba ya Mbowe alipotoka gerezani, alikiri kwamba 3/4 ya wabunge wa chadema 2015 walitoka kanza ya ziwa, na waliongoza 1/3 ya halmashauri zote za kanda ya ziwa. Ngome ya ccm?????? acha basi ulongo
Hujaelewa Wala kutafakari nilichoandika narudia tena "huko ndiko watu hutumika".
 
Hilo linajulikana ndo maana huyo Chifu akienda kanda ya ziwa anatumia nguvu kubwa sana lakini bado hatakiwi, 2025 atapata wakati mgumu sana kupata kura kanda ya ziwa, wapinzani wangekuwa vizuri wangechukua nchi 2025 lkn wamebaki kuwa chawa wa Royal tour na kujipendekeza tu
 
Ndio nakukumbusha hata huyu hatogombea kama hatokidhi vigezo ndomana anahangaika Kila kukicha na Kanda ya anaowaita sukumagang.

By the way ni wanajichosha tu,2025 hapatakuwa na uchaguzi, tutakuwa ktk hatua za mwisho ktk kupata KATIBA mpya itayopatikana 2026. Amen
 
Hata hivyo hilo la kutuamulia rais ni uwongo, halafu acha elents za ubaguzi. Mambo haya ya kanda hasa kanda ya ziwa yameanza kuzungumzwa wakati wa awamu ya 5. Mwendazake amepandikiza mbegu mbaya sana nchi hii. Haya yote tumlaumu JK alikuwa anaweza kabisa kuiepusha nchi na madhila haya yaliyokemewa na waasisi wetu kwa nguvu zote. Kama nchi rais aliyeko madarakani na watu wa system wasijeruhusu tena hili likajirudia. Mkamfanyie mgombea vetting hata uvunguni. KINGA NI BORA KULIKO TIBA
 
Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.

Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Ahsante nimependa hii, ndio ukweli ni ushamba tu unawasumbua hasa wasukuma. Nyerere alikuwa kanda ya ziwa ndio aliyejenga misingi bora ya utaifa. Tatizo wasukuma washamba sana
 
Hahaaaa, kwamba mgombea afanyiwe vetting hata uvunguni.🤭🤭
 
we ndio wale wasukuma wapumbavu, ametembelea Mwanza nafikiri si zaidi ya mara 2, Kagera ziara rasmi ndio ameenda sasa, Simiyu hajawahi kwenda, Mara hajaenda bado, Shinyanga bado, Geita nafikiri mara 2. Kama ni kutembelea ameenda Arusha mara nyingi zaidi kuliko ushambani kaenu. Hivi hamuelimikagi nyie mafala?
 
Huna data acha uzwauzwa. Hakuna kitu km hicho kwanza nyie bado maskini sana, Kagera ndio ya mwisho kitaifa
 
Msukuma pekee, yupo zaidi ya Million 10 hapa nchini ktk mikoa mitano, changanya na wale makabila ya wengine kama Wazinza, Wajita, Wakara, Kurya, Wasubi(etc)
Wahaya waha wajaluo ongeza na wanyamwezi
 
Wahaya waha wajaluo ongeza na wanyamwezi
Karne ya 21 tusiongelee Wala Kujadili MAKABILA.

Sisi ni Taifa moja WATANZANIA, ni waafrika, pia sie sote ni WANA WA MUNGU.

Tukatae kutengwa Kwa kabila, dini au RANGI zetu. Amen
 
20% ya population ya watanzania ni wasukuma : mbona unaumia Kama nyie hamjui kuzaa tulieni
 
Hii ipo wazi kabisa hakuna kabila linakaribia ata nusu ya wasukuma kwa population Ila jamaa inaonekana ana chuki zake tu
 
Mshaanza misifa yenu ya kijinga
 
Rais anachaguliwa na tume ya uchaguzi.kura za wananchi kwenye uchaguzi ni fomality tu.ata hivyo ni mapema sana kuzungumzia mambo ya uchaguzi kwasababu lolote linaweza kutokea kabla ya uchaguzi kufika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…