Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Demokrasia halisi ni kura ya individual to be counted. Hata huko USA sasa wana concern juu ya electoral college system.
Mfumo wetu huu unaweza kuwa na shida lakini ndio halisi and purely democratic.

Hebu fikiria mwaka 2020 California ilikuwa na wapiga kura waliosajiliwa 22m. Tofauti ya kura 1 inatosha kuamua jimbo liense wapi. Sio fair
 
Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.

Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Ushamba gani tena kwenye kupiga kura? hebu fafanua kidogo labda una maoni mazuri ila uwasirishaji wako tu ndio tatizo.
 
Wewe mwongo hata Marekani umepinda,unajua electrovote?
Acha kusoma sentensi nusu, jikite angalau paragraph mmoja.Kimbilia BBC swahili muendeleze swaga za udaku.
 
Wachana na watu waliofirisika kisiasa na kiakili hao wamechanganyikiwa.

Hata wakikataa kupiga kura Tanzania ni kubwa kuliko wasukuma.
 
Sidhani kama kanda ya ziwa ndio ina determime nani awe rais ,
Uelewa wa raia utakapokuwa mzuri hata kama kanda ya ziwa yote wapige kura against mgombea flani , bado mgombea huyo anaweza kushinda kura sehemu zingine na kushinda kiti
Hongera sana kwa mchango ulioshiba na kuwapa salam hao wasukuma kuwa kama nchi hatuwategemei wao watuamulie.
 
Kawadanganye wajinga wenzio
 
Sio tu ushamba , ali pia na ubinafsi, hawa jamaa inaonekana kuna mengi walipewa favour na kuna uwezekano kulikuwa na mikakati ya kutawala milele , kanda ya ziwa kwa sasa inaweweseka sana na uwepo wa mama
Hakika wanahaha kama wendawazimu na wana chuki sana na mama
 

Mwanasiasa mwenye akili anajua turufu yake iko kanda ya ziwa utake usitake, hushangai kwann baba wa taifa ametoka kanda ya ziwa? Kama huwez wapiga ungana nao…. Nenda daftar la kudumu ya tume ya uchaguz ya taifa angalia wapiga kura wa kanda ya ziwa afu linganisha na kanda nyingne.
 

Mnhhh Mkuu ngoja nimezee nisije nikawachefua watu buree...
 
Nasikia harufu ya pichu chafu hapa inaelekea kuna mwanamke ajasafisha nyeti zake vizuri
Umekuja na ID nyingine, tukutane tena kule kwenye topic za kuponda wanawake niwaponde mbaki mnamtafuta Rebeca na tochi wakati jua linawaka...mxiewwww
 
Mkuu umeelewa hii topic niliyoianzisha?
 
Nasikia harufu ya pichu chafu hapa inaelekea kuna mwanamke ajasafisha nyeti zake vizuri
Mambo kama haya hayahitajiki kabisa katika jukwaa kama hili..
Utakosaje hata uvumilivu tu wa kupita bila kuweka uchafu wako namna hii?
 
HIi figure unaitoa wapi? Halafu hata kama ni kweli hiyo 20 % ya wasukuma wote ni wale elites au unajumuisha na wale wafugaji wa malinyi mtu mmoja ana ng'ombe buku analala nyumba ya nyasi?
Hata Kama anaishi shimoni Ni mtanzania kua na kufuga na kulima ndio kazi yake usifosi afanane na ww
 
Mnhhh Mkuu ngoja nimezee nisije nikawachefua watu buree...
Najua tu msukumo wako wa mada hii unakotokea, lakini elewa kwamba mazingira yetu ni mbalimbali kabisa na huo mlinganisho unaoufanya hapa.

Inawezekana kabisa hukutambua uzito wa mgawanyiko unaochochewa na mada kama hizi katika jamii yetu hii ambayo badala ya kujenga umoja tuliokuwa tumepata heshima kubwa juu yake duniani kote, sasa ni kama tunashindana kuubomoa umoja wetu huo, sijui kwa manufaa ya nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…