zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hawazidi 30% itabidi tuandae Uzi kabisa tuweke hizi data naona mnapotosha sana ukweli.Mwanasiasa mwenye akili anajua turufu yake iko kanda ya ziwa utake usitake, hushangai kwann baba wa taifa ametoka kanda ya ziwa? Kama huwez wapiga ungana nao…. Nenda daftar la kudumu ya tume ya uchaguz ya taifa angalia wapiga kura wa kanda ya ziwa afu linganisha na kanda nyingne.
Mkuu Wakikuyu Wana kura zaidi ya 5 Million wakazi wa Nyanza yaani wajaluo na wakisii wanaoleta kura million 3!! Ina maana wajaluo na Wakikuyu wakimpigia mgombea mmoja wanatosha kumpeleka ikulu.Kipengere hiki cha 'conty' 25 hakijawahi kujaribiwa; hata hivyo, 'county 25 out of 47 ni hafifu sana kwa mgombea anayeweza kupata 50% ya kura zote kuwa kizingiti kwake.
PtyuuuuUjinga wangu ndio akili kubwa ya ukoo wenu.
Ninaelewa hiyo 50+1 ni takwa halisi la kuwa mshindi; na kama hiyo 25 kaunti inaweza kuzuia mshindi ambaye kwa mfano apate 58% ya kura, lakini akose takwa la kaunti 25, bado ikawa ni kikwazo,..., hapo ndipo sielewi itakuwaje, kwa maana haijawahi kutokea.Mkuu Wakikuyu Wana kura zaidi ya 5 Million wakazi wa Nyanza yaani wajaluo na wakisii wanaoleta kura million 3!! Ina maana wajaluo na Wakikuyu wakimpigia mgombea mmoja wanatosha kumpeleka ikulu.
Changamoto kaunti za Wajaluo na Wakikuyu hazifiki hata 15!! Sasa hapo Ina maana hauwezi kutangazwa Mshindi hata ukiwa 50+1; Ndio maana unaona Kila mgombea anajitahidi kuchukua vyama vidogo Ili tu kuhakikisha anapata kura za kuokoteza hayo majimbo Ili kuzoa hizo kaunti 24.
Hilo litakuwa jambo jema sana kuondoa dhana potofu hii. Acha takwimu ziseme ukweli.Hawazidi 30% itabidi tuandae Uzi kabisa tuweke hizi data naona mnapotosha sana ukweli.
Kanda ya Ziwa ndio ina wasomi na matajiri wengi kuliko kanda yoyote. Uwe na adabu kwa kanda kuu, ala.Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.
Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Halafu watu wetu wametapakaa kanda zingine kwa mfano kanda ya magharibi ni kama kanda ya ziwa tu( Tabora, Katavi na Kigoma). Nenda huko Singida, Chunya, Morogoro mangosha wametapakaa. Hakuna namna lazima ipewe kipaumbele.Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi mama, hilo halina kipingamizi kwamba sisi ndio tuna determine nani awe rais na nani asiwe rais. Hilo liko wazi.
Mama analijua hilo ndio maana unaona kila kukicha anatutembelea.
Hii nchi tulikua taken advantage of kwa miaka mingi, sasa tumeshtuka na sasa tunaamua nani awe rais.
Faida moja ya kanda yetu ni kwamba tuna makabila mengi lakini yanayoelewana na yameingiliana kiasi kwamba wote tunaonekana kama kabila moja. Hii haipo kanda zingine nchini.
Kama tunachangia 33% ya pato la taifa kwa nini tusiamue nani awe rais?
Wakurya ka kabila kadogo sana hata mkipiga chafya hatupati mafuaSisi wakurya hatuwapigii wasukuma. Tunajielewa na sio wakabila kama nyie wasukuma na pia sio washamba na huo ujinga wa kanda ya ziwa
Kumbe hujui ? Basi tulia utajua tuSensa haijawahi kihesabu idadi ya watu katika kabila fulani, hii kuwa wapo wasukuma 10 mil unaitoa wapi?
Umeaha wahi jua literacy level ya msukuma kuwa wangapi wameelimika ? Au wanaongelewa hafi wale wafugaji holela
Wanaohama hama ambao hata poling statiins hawakanyagi?
Kuna mambo yanakuwa unveiled sasa , yanatoa picha mbaya sana kwa utawala wa 5,
Sikuwahi kabisa kudhani kuwa wasukuma walifanyiwa exclusively sensa kujua idadi yao na honestly sijui lengo hasa lilikuwa ni nini.
Ester Bulaya ni msukuma wa BundaWakurya gani wanajielewa, hawa kina Waitara na yule mbunge wa Serengeti chacha ryoba ama kina Ester matiko na Ester Bulaya?
Lakini kuna athari upande wa wabunge likitokea hilo. Usidharau. Ndio maana serikali iko macho sana hilo lisitokee.Hii nchi hipo na wasioelewa wengi including Rebeca 83 hivi hujui kuwa Tz deep state ndo inaamua Nani awe Rais na sio Kanda ya ziwa Ni hatari mpaka leo Mtu kuamini Rais anatokana na Ballots box ??? Hata ao watu wa Kanda ya ziwa wampigie kura zote Mtu fulani bd haiwez kutuletea Rais if system haijapenda.
Hakuna cha ajabu nchi hii hakuna upinzani wa kweli. Ni wahuni tuHuyo dada angekaa tu amsubiri mumewe atoke kazini wakaoge kuliko kutuanzishia uzi wa hivi...
Matokeo ya 2020 tulishuhudia jambo la ajabu sana..bado mtu anaamini kuwa nchi hii unashinda kwa kura halali....
Athari Gani? Katiba inaruhusu Rais kuvunja bunge kama anapingwa mfano kwenye Bajeti Sasa unadhani wabunge wanaweza mkwamisha Rais?Lakini kuna athari upande wa wabunge likitokea hilo. Usidharau. Ndio maana serikali iko macho sana hilo lisitokee.
Sidhani kama umeongea ukiwa na akili timamu. 😂😂 kanda ya ziwa inayoongoza kwa wasomi ndo iwe bogus? Hujawahi kujiuliza hata asilimia kubwa ya wabunge wapinzani walitokea kanda ya ziwa? Kusini na kati ndo ndunducha tu, we huna takwimu zozote. Kanda ya ziwa ni zaidi ya robo ya population ya watanzaniaHakuna kitu kama hicho, ni porojo za wanasiasa tu. Idadi ya watu kanda ya ziwa haifiki robo ya watanzania wote.
Kanda ya ziwa inatumika kwasababu huko ndio washamba wamejazana.
Mama hakuna system ya kanda kuwa juu/chini ya kanda nyingine. Ni kweli kanda tunazo ili kurahisisha uratibu na upangaji wa shughuli za maendeleo, lakini siyo kwa lengo la kanda moja kuwa juu au chini ya kanda nyingine.Ili kuondoa hii kitu ya Kanda yenye ubinafsi na Kanda isiyo na ubinafsi kuwe na system ya kuhakikisha hakuna Kanda inakua juu/chini ya Kanda nyingine....
Mama hakuna system ya kanda kuwa juu/chini ya kanda nyingine. Ni kweli kanda tunazo ili kurahisisha uratibu na upangaji wa shughuli za maendeleo, lakini siyo kwa lengo la kanda moja kuwa juu au chini ya kanda nyingine.
Advantage waliyonayo kanda ya ziwa ni kuwa kanda iliyo densely populated, kwa hiyo wakihamasishwa vizuri kujiandikisha kupiga kura na wakajitokeza kupiga kura hapo ndipo sisi kanda zingine tunaujua mziki wao.
Btw, huu mtindo tuliouanzisha wa kuwasuta, kuwabagua, kuwatukana, kuwakebehi na kuwashetanisha, nadhani utawafanya wawe na umoja zaidi kiasi kwamba utafika wakati wafikirie kufanya maamuzi yao kwa kujihami, kitu ambacho madhara yake yatakuwa makubwa zaidi. Don't wake up a sleeping giant!
Mkuu Rebeca 83, mfumo wa uchaguzi is determined by the type of nation, nchi yetu ni nchi moja ya muungano wa Istawi union hivyo nchi yetu as a united Republic, tunafanya uchaguzi mkuu mmoja na mshindi anapatikana kwa a simple majority. US ni muungano wa federation, kila Jimbo linajitegemea kwa kuwa na electro votes na electro colleges ushindi unapatikana by quoter system, kama India.
Sasa hiyo ni hali halisi huwezi kuiepuka. Huwezi kuilinganisha Dar na Mtwara, au Mwanza na Songea. Hizo ni hali halisi ambazo haziwezi kubadilika. Hata tunaposema "binadamu wote ni sawa", haiondowi ukweli kwamba kuna wengine ni warefu au wanene kuliko wengine! Huwezi kuwa na nchi ambayo wananchi wake katika kanda, mikoa, wilaya, nk wanalingana kwa kila kitu. Ni lazima kutakuwa na tofauti za idadi, uchumi, mazingira, nk. Hata USA majimbo yote hayako sawa, ingawa ni taifa moja.Mnh unasema hakuna kanda juu/chini ya nyenzake at the same time unasema advantage ya Kanda ya Ziwa wako soo densely populated, mnhhhh....
Ungekua mkurya ungesema huo ujinga wa kanda ya ziwa?moja kwa moja wewe siyo mkurya ni mpumbavu tu uliyekuja kwa mihemko kwenye comment yangu,mkurya yupo kanda ya ziwa na wengi wao wapo Mwanza kwa sababu ndiyo mji mkuu wa kanda ya ziwa kiuchumi na utafutajiSisi wakurya hatuwapigii wasukuma. Tunajielewa na sio wakabila kama nyie wasukuma na pia sio washamba na huo ujinga wa kanda ya ziwa