Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Mawazo yako yangefaa sana kama uchaguzi wetu ungekuwa wa huru na haki na mshindi angekuwa anatokana na kura zilizopigwa kweli.
 
Wafuasi wa jiwe ni kama mmeamka kutoka usingizini!
 
Wengi uliwahesabu lini??
 
Uchaguzi ni miaka 3 mbele nyie mshaanza kuwa na hofu ya kushindwa. By the way, Mama si anaupiga mwingi?
 
NOTE THIS"" Life is too short, live the life's now built while dancing, unaweza kwa akili mbofu ukajenga eti ili baadae ule raha na usiile ukafa kafir ""
 
Nina naana ya kwamba kama kanda ikachagua wabunge wengi wa upinzani kunakuwa na kazi sana kwa serikali katika mipango yake ya kuendesha nchi
 
Ajabu ipo sana uwe unakubali au hutaki lakini wenye serikali yao wanaujua vizuri huo mziki ndio maana wanaucheza mapema. Wewe huwezi kujua bado mtoto sana kufahamu mambo mazito. Pole sana ukikuwa utaelewa tu
 
Wewe hujui kitu mwaka 2015 bila kumweka huyo wa kanda kuu nchi ilikuwa inakwenda upinzani. Mungu akiamua lazima tu Rais atatokea tena kanda hiyo ambayo wewe huitaki ,maana yeye ndio muweza ya yote.
 
30% ya population ipo Kanda ya Ziwa, na ndiyo Kanda inayoongoza Kwa watu kutaka mabadiliko, hakuna chama kinaweza kukubalika nchi hii bila kuwa na wafuasi lake zote, CCM na Chadema wanajua nguvu ya watu wa Kanda ya ziwa
 
Ajabu ipo sana uwe unakubali au hutaki lakini wenye serikali yao wanaujua vizuri huo mziki ndio maana wanaucheza mapema. Wewe huwezi kujua bado mtoto sana kufahamu mambo mazito. Pole sana ukikuwa utaelewa tu
30% inaamua Rais?? Kanda zingine zinaleta 70% sasa inaamuaje Rais?

Mie ni wa Kanda ya ziwa ila sio kweli kuwa Kanda moja au kabila linaamua Rais hii nchi hatuna makabila makubwa hivyo kama Kenya.
 
Wewe hujui kitu mwaka 2015 bila kumweka huyo wa kanda kuu nchi ilikuwa inakwenda upinzani. Mungu akiamua lazima tu Rais atatokea tena kanda hiyo ambayo wewe huitaki ,maana yeye ndio muweza ya yote.
Kwani wapinzani siyo watu!? Siyo watanzania!?? Haki ya kuwa viongozi ni ya watanzania wote!

Sisiem haitegemei sanduku la Kura linalohesabiwa ofisi za serikali ya mtaa, wewe na unayejua kuliko Mie nisiyejua naamini wajua Hilo!
 
30% inaamua Rais?? Kanda zingine zinaleta 70% sasa inaamuaje Rais?

Mie ni wa Kanda ya ziwa ila sio kweli kuwa Kanda moja au kabila linaamua Rais hii nchi hatuna makabila makubwa hivyo kama Kenya.
Nani alikudanganya kama kanda ya ziwa ni kabila moja ? Kumbuka unapotaja kanda ya Ziwa hata kanda ya magharibi imo yaani Tabora, Katavi na Kigoma.
 
Kwani wapinzani siyo watu!? Siyo watanzania!?? Haki ya kuwa viongozi ni ya watanzania wote!

Sisiem haitegemei sanduku la Kura linalohesabiwa ofisi za serikali ya mtaa, wewe na unayejua kuliko Mie nisiyejua naamini wajua Hilo!
Wapinzani wa nchi hii ndugu yangu bado sana. Watanzania wengi bado hawajaridhika na upinzani wa nchi hii hadi kuwaamini na kuwaingiza ikulu, labda 2050 huko kwa watakaojaliwa kuwepo.
 
Nani alikudanganya kama kanda ya ziwa ni kabila moja ? Kumbuka unapotaja kanda ya Ziwa hata kanda ya magharibi imo yaani Tabora, Katavi na Kigoma.
Ndio hoja yangu hasa kwamba hao hawapigi kura kama block au kabila moja hayo mambo yapo Kenya tu na Uganda ambapo makabila ni makubwa na machache. Mfano Kigoma,Kagera, Mara,ukerewe,shinyanga, ni maeneo ya upinzani miaka mingi sasa kufanya eti Kanda ya ziwa yoteee Ina sauti moja ni uongo na kuleta ukabila ambao haupo. Na hata wangeamua ni 30% tu ya kura zote so Bado watahitaji Kanda zingine ziwashike mkono.
 
Wapinzani wa nchi hii ndugu yangu bado sana. Watanzania wengi bado hawajaridhika na upinzani wa nchi hii hadi kuwaamini na kuwaingiza ikulu, labda 2050 huko kwa watakaojaliwa kuwepo.
Tufanye NEC hawakuiba kura mbona waTanzania 43% walichagua upinzani 2015?? Ina maana Nusu ya waTanzania inakubaliana na upinzani sasa hizi kejeli kuwa hakuna upinzani unazitoa Wapi??

Hivi Samia unaweza mlinganisha na Lissu kwenye intelligence na kutetea maslahi ya wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…