Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka lini Tanzania mshindi halali ndiye anatangazawa kuwa Rais?.
[emoji1484]
Kuelekea 2025: Kanda ya Ziwa Msibemendwe kwa hila
Amani kwako. Tayari tumeanza kuliona jua la alfajiri kama bado umelala sikiliza sauti za ndege bila kuamka utafaham kuwa jua linachomoza Twende kwenye mada; ndugu zangu Watanzania hasa wa kanda ya ziwa mmesikia sauti zinaanza kusikika na si kwa bahati mbaya ni ishara kuelekea 2025. Kanda ya...www.jamiiforums.com
Usianze kulaumu Kanda Sasa we fanya yanayostahili si unaelewa saikolojia ya watu wako!
Ukiijua jamii yako hutajadili swala la ukanda, labda nikuibie siri Tanzania bado ilikuwa haijafikia hatua ya kuongozwa na mwanamke, imetokea kama bahati tu!.
Chengine ule mwendo wa mwenda zake ndio wengi waliutaka Sasa wewe ukaamua kwenda na mwendo wako!, lazima wakubadilikie tu!. Stay cool please
Uchaguzi ni miaka 3 mbele nyie mshaanza kuwa na hofu ya kushindwa. By the way, Mama si anaupiga mwingi?Hello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)
Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...
Kwa nini tusifanye kama Marekani?
Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...
Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Fairness ndicho tunachokitaka...
Nina naana ya kwamba kama kanda ikachagua wabunge wengi wa upinzani kunakuwa na kazi sana kwa serikali katika mipango yake ya kuendesha nchiAthari Gani? Katiba inaruhusu Rais kuvunja bunge kama anapingwa mfano kwenye Bajeti Sasa unadhani wabunge wanaweza mkwamisha Rais?
Btw Kanda ya ziwa yote haina majimbo zaidi ya 70 yaani haina hata theluthi moja ya majimbo ilihali Zanzibar pekee Ina majimbo 50!! Sasa unadhani mnaweza kwamisha lolote bungeni?
Msikuze sana hamna Cha ajabu kuhusu Kanda ya ziwa kwenye siasa za Tanzania huo ukabila pelekeni Burundi
Ajabu ipo sana uwe unakubali au hutaki lakini wenye serikali yao wanaujua vizuri huo mziki ndio maana wanaucheza mapema. Wewe huwezi kujua bado mtoto sana kufahamu mambo mazito. Pole sana ukikuwa utaelewa tuAthari Gani? Katiba inaruhusu Rais kuvunja bunge kama anapingwa mfano kwenye Bajeti Sasa unadhani wabunge wanaweza mkwamisha Rais?
Btw Kanda ya ziwa yote haina majimbo zaidi ya 70 yaani haina hata theluthi moja ya majimbo ilihali Zanzibar pekee Ina majimbo 50!! Sasa unadhani mnaweza kwamisha lolote bungeni?
Msikuze sana hamna Cha ajabu kuhusu Kanda ya ziwa kwenye siasa za Tanzania huo ukabila pelekeni Burundi
Wewe hujui kitu mwaka 2015 bila kumweka huyo wa kanda kuu nchi ilikuwa inakwenda upinzani. Mungu akiamua lazima tu Rais atatokea tena kanda hiyo ambayo wewe huitaki ,maana yeye ndio muweza ya yote.Hakutakuwa na candidate tokea huko! Hilo kosa halitorudiwa KAMWE!
Wenyewe CCM wanajua wanachofanyaga!
Kura za kuhesabiwa na mawakala hawazitegemei! So maybe iko siku moja Kura za kweli zitatupa picha halisi!
Siyo Kura zinazokutwa kwenye viroba vya MBOLEA.
30% ya population ipo Kanda ya Ziwa, na ndiyo Kanda inayoongoza Kwa watu kutaka mabadiliko, hakuna chama kinaweza kukubalika nchi hii bila kuwa na wafuasi lake zote, CCM na Chadema wanajua nguvu ya watu wa Kanda ya ziwaHello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu ina mapungufu.
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais.
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao (Sio wote)
Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...
Kwa nini tusifanye kama Marekani?
Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...
Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Fairness ndicho tunachokitaka...
30% inaamua Rais?? Kanda zingine zinaleta 70% sasa inaamuaje Rais?Ajabu ipo sana uwe unakubali au hutaki lakini wenye serikali yao wanaujua vizuri huo mziki ndio maana wanaucheza mapema. Wewe huwezi kujua bado mtoto sana kufahamu mambo mazito. Pole sana ukikuwa utaelewa tu
Kwani wapinzani siyo watu!? Siyo watanzania!?? Haki ya kuwa viongozi ni ya watanzania wote!Wewe hujui kitu mwaka 2015 bila kumweka huyo wa kanda kuu nchi ilikuwa inakwenda upinzani. Mungu akiamua lazima tu Rais atatokea tena kanda hiyo ambayo wewe huitaki ,maana yeye ndio muweza ya yote.
Nani alikudanganya kama kanda ya ziwa ni kabila moja ? Kumbuka unapotaja kanda ya Ziwa hata kanda ya magharibi imo yaani Tabora, Katavi na Kigoma.30% inaamua Rais?? Kanda zingine zinaleta 70% sasa inaamuaje Rais?
Mie ni wa Kanda ya ziwa ila sio kweli kuwa Kanda moja au kabila linaamua Rais hii nchi hatuna makabila makubwa hivyo kama Kenya.
Wapinzani wa nchi hii ndugu yangu bado sana. Watanzania wengi bado hawajaridhika na upinzani wa nchi hii hadi kuwaamini na kuwaingiza ikulu, labda 2050 huko kwa watakaojaliwa kuwepo.Kwani wapinzani siyo watu!? Siyo watanzania!?? Haki ya kuwa viongozi ni ya watanzania wote!
Sisiem haitegemei sanduku la Kura linalohesabiwa ofisi za serikali ya mtaa, wewe na unayejua kuliko Mie nisiyejua naamini wajua Hilo!
Ukipata muda search mada na reply zangu kisha njoo uanze kuandika kwa kutumia akili.Wafuasi wa jiwe ni kama mmeamka kutoka usingizini!
Ndio hoja yangu hasa kwamba hao hawapigi kura kama block au kabila moja hayo mambo yapo Kenya tu na Uganda ambapo makabila ni makubwa na machache. Mfano Kigoma,Kagera, Mara,ukerewe,shinyanga, ni maeneo ya upinzani miaka mingi sasa kufanya eti Kanda ya ziwa yoteee Ina sauti moja ni uongo na kuleta ukabila ambao haupo. Na hata wangeamua ni 30% tu ya kura zote so Bado watahitaji Kanda zingine ziwashike mkono.Nani alikudanganya kama kanda ya ziwa ni kabila moja ? Kumbuka unapotaja kanda ya Ziwa hata kanda ya magharibi imo yaani Tabora, Katavi na Kigoma.
Tufanye NEC hawakuiba kura mbona waTanzania 43% walichagua upinzani 2015?? Ina maana Nusu ya waTanzania inakubaliana na upinzani sasa hizi kejeli kuwa hakuna upinzani unazitoa Wapi??Wapinzani wa nchi hii ndugu yangu bado sana. Watanzania wengi bado hawajaridhika na upinzani wa nchi hii hadi kuwaamini na kuwaingiza ikulu, labda 2050 huko kwa watakaojaliwa kuwepo.