Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Kura zikitangazwa kwa majimbo au mikoa kama ulivyotolea mfano Marekani, kwa nchi ya mazuzu kama hii ndo utayasikia yale ya siwaletei maendeleo kwa sababu hamkunichagua….. bado tuna siasa za kiduanzi.

Hiyo unayoita arrogance, hofu ya mama ni kwa vile anajua walichokifanya na wanachoendelea kufanya juu ya mwendazake….. kinawaumiza watu wengi hasa wa ziwani.
 
Hii nchi hipo na wasioelewa wengi including Rebeca 83 hivi hujui kuwa Tz deep state ndo inaamua Nani awe Rais na sio Kanda ya ziwa Ni hatari mpaka leo Mtu kuamini Rais anatokana na Ballots box ??? Hata ao watu wa Kanda ya ziwa wampigie kura zote Mtu fulani bd haiwez kutuletea Rais if system haijapenda.
 
Hakuna kitu kama hicho kwamba wasukuma walihesabiwa wenyewe, hakuna kitu kama hicho. Huu ni uzushi tu kama uzushi mwingine.

Kujua wasukuma ni wengi nchii hii wala huhitaji sensa ya kabisa, hizi ni obvious facts kwamba wasukuma wanapatikana kwa wingi ama zaidi ya 95% kwa mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu na kwa angalau 20 to 40% kwa mikoa ya Mara, Kagera, Tabora na Katavi.

Hilo halihitaji uwe na akili kubwa, linahitaji tu uwe unaelewa demographics ya Tanzania kujua hilo
 
Mama anachofanya akienda huko kwa Mwendazake anawa-blind ili wajisikie Nafuu maana mwenda kuzimu anashambuliwa Sana.
 
Na Magufuli nae alikua deep state? lol....Mkuu unaweza kuongea bila kupiga kelele..lol... kwani matusi/kebehi/dharau kila mtu anazijua....

Mbona mnasema mtampiga mama Samia na kitu kizito uchaguzi ujao, kumbe mnajua kuna 'deeo state' Tanzania?lol
 
Sasa utashindaje mikoa yote na ww
 
Hizo takwimu wakati wa mwendake nyingi zilipikwa kumfumfurahisha yeye , kama kungekuwa na uhuru ungeskikia kitu tofauti kabisa na kauli ya gavana
Takwimu kama hizi zillitumika kupata uhalali wa kujenga aitport chato na hadi crdb wakafungua tawi huko
 
Ni kweli Mkuu, nchi yetu ina makando kando Mengi, mtu anasema kabisa waziii siwaletei maendeleo sababu hamkunichagua...labda ndio maana wengine bado wako resentful

Mkuu embu fafanua sentensi number two, kipi kilifanyika juu ya mwendazake please?
 
Unasema huu ni uzushi halafu unakuja tena na pecentage , base ya hiyo percentage ni kitu gani?
Jama kasema hapo juu kuwa kuna wasukuma 10 mil , hii ilitoka wapi au yeye ndo mzushi?
 
Huyo dada angekaa tu amsubiri mumewe atoke kazini wakaoge kuliko kutuanzishia uzi wa hivi...

Matokeo ya 2020 tulishuhudia jambo la ajabu sana..bado mtu anaamini kuwa nchi hii unashinda kwa kura halali....
 
Acheni huu Ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…