Sikudokoa Mboga yako
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 462
- 947
You are insulting the whole Lake zone something which is unfair.Sio tu ushamba , ali pia na ubinafsi, hawa jamaa inaonekana kuna mengi walipewa favour na kuna uwezekano kulikuwa na mikakati ya kutawala milele , kanda ya ziwa kwa sasa inaweweseka sana na uwepo wa mama
Nikijisikia kuandika chochote naandika na hutanifanya lolote!Huyo dada angekaa tu amsubiri mumewe atoke kazini wakaoge kuliko kutuanzishia uzi wa hivi...
Matokeo ya 2020 tulishuhudia jambo la ajabu sana..bado mtu anaamini kuwa nchi hii unashinda kwa kura halali....
wewe usije dhani kanda ya kaskazini kuwa labda wana akili kuliko sehemu zingine hapana basi ni hivi.Athari za ukoloni ndio zimebadilisha tabia za watu hadi maendeleo yake.Kwa upande wa Tanganyika mkoloni alivyokuja aligundua mkoa wa Kilimanjaro,Mbeya,Kagera,Iringa ndio mikoa ambayo inarutuba na hali ya hewa imewapendezesha sasa alichokifanya ndio akaona ajenge shule na makanisa hivyo watu walipata muamko na kuwa wajanja toka miaka mingi.Nitoe mfano mzuri mangi Mareale kipindi Nyerere anakwenda UNO alikuta Mangi Marealle ameshakatiza huko siku nyingi.Watu wana mawazo kuwa Nyerere ndio mtanganyika wa kwanza kupata shahada ila sio kweli watu wa Kanda ya Ziwa wako waliokuwa tayari na shahada za Udaktri wa falsafa.Umeandika kinyume nyume, mama yenu ndiye anayeweweseka….. kuhusu ubinafsi kanda ya ziwa ndo haina hicho kitu.
Kanda yenye ubinafsi inajulikana na ina chama chake, na mgombea asipotokea huko hapati kura zao….. hiyo ni kaskazini.
Sikuwa na maana ya kutukana , na samahani sana kama hili lilmekukwaza ,You are insulting the whole Lake zone something which is unfair.
You are even calling us selfish,this is unfair too.
but I need to remind you,Lake zone has five Region,two of this Region are not stayed by wasukuma therefore when you are trying to make your imagination to be true try to remove people from Kagera expecally Wahaya.
By the way we are not bothered at all by her being The President even if people will elect her again 2025.
Akili kumgandoNikijisikia kuandika chochote naandika na hutanifanya lolote!
Naona uko desperate kunichokoza... 😡 😳
Ccm watapigwa chini kwa uraisi wakifanya hivi. Labda watumie masikini askari kuwabana masikini wengine ili watulie wasilete fujoMkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Kichwa cha thread kinaonesha kabisa wewe hamnazoKakojoe ukalale, hujitambui.
Tatizo lako la Uelewa lisiharibu mada hii please.... just bounce man!Uchaguzi ujao Kanda ya ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais
Huku ni kukosa akili...kwa hio kikwete na yeye alichaguliwa na kanda ya ziwa,,, wanawake bana 😁😁 sijui mnawaza kutumia nini...
Akishapitishwa na chama tawala ni upige kura usipige utajua mwenyewe matokeo yanakuwa mezani
Jamaa kuwatukana alikuwa sahh na ww umeandika utumboYou are insulting the whole Lake zone something which is unfair.
You are even calling us selfish,this is unfair too.
but I need to remind you,Lake zone has five Region,two of this Region are not stayed by wasukuma therefore when you are trying to make your imagination to be true try to remove people from Kagera expecally Wahaya.
By the way we are not bothered at all by her being The President even if people will elect her again 2025.
Hello great thinkers...
Mimi naona hii njia ya kuhesabu kura zote Tanzania kwenye uchaguzi mkuu ina mapungufu...
Kanda ya Ziwa ni kama inadetermine nani atakuwa Rais...
Na wenyewe kwa kutambua hili wanakua arrogant, kama wanavyomtishia mama kuwa hatashinda uchaguzi ujao...(Sio wote)
Mimi naona hii sio fair kwa mikoa ile yenye watu wachache...
Kwa nini tusifanye kama Marekani?
Mkoa/jimbo moja linahesabu kura then anayeshinda anatangazwa ameshinda kwenye mkoa/jimbo hilo..
Anayeshinda mikoa yote ndio anakuwa Rais wetu...
Kwa njia hii hakuna Kanda itakayokua juu ya Kanda nyingine..
Fairness ndicho tunachokitaka...
Got to have white hair and snowy beard to know this ,wewe usije dhani kanda ya kaskazini kuwa labda wana akili kuliko sehemu zingine hapana basi ni hivi.Athari za ukoloni ndio zimebadilisha tabia za watu hadi maendeleo yake.Kwa upande wa Tanganyika mkoloni alivyokuja aligundua mkoa wa Kilimanjaro,Mbeya,Kagera,Iringa ndio mikoa ambayo inarutuba na hali ya hewa imewapendezesha sasa alichokifanya ndio akaona ajenge shule na makanisa hivyo watu walipata muamko na kuwa wajanza toka miaka mingi.Nitoe mfano mzuri mangi Mareale kipindi Nyerere anakwenda UNO alikuta Mangi Marealle ameshakatiza huko siku nyingi.Watu wana mawazo kuwa Nyerere ndio mtanganyika wa kwanza kupata shahada ila sio kweli watu wa Kanda ya Ziwa wako waliokuwa tayari na shahada za Udaktri wa falsafa.
Kumbukeni kuna mahali mkoloni ali plan kuupa mkoa wa Kilimanjaro Uhuru wake ambapo ingekuwa kama nchi ya Lesotho ilivyo ndani ya Africa kusini.Ila Nyerere alivyogundua hilo kuvunja nguvu akamuingiza Marealle kwenye TANU.
Tukija nchi za jirani angalia makabila ya Baganda wa Uganda na Wakikuyu wa Kenya hali ni hiyo hiyo.
Kwa hiyo adhari za Ukoloni ndio tulizoridhi hadi leo zinatutafuana kabila moja kuonekana wajanja na wabinafsi kuliko lingine sio kwenye wote tuko sawa vichwani
Kakojoe ulaleAnd so????
Me na ww nani anaandika ujinga....unafungulia thread upuuzi wakoWewe ndio ukakojoe ukalale, acha kuandika mashudu kwenye forum!
Huyo dada namjua yupo na stess za kuachwaHuyo dada angekaa tu amsubiri mumewe atoke kazini wakaoge kuliko kutuanzishia uzi wa hivi...
Matokeo ya 2020 tulishuhudia jambo la ajabu sana..bado mtu anaamini kuwa nchi hii unashinda kwa kura halali....