Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Kila mtu apate kulingana na jasho lake,Sasa wote tukiwa tukiwa wakulima nani ananunua na nani atafanyakazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu apate kulingana na jasho lake,Sasa wote tukiwa tukiwa wakulima nani ananunua na nani atafanyakazi
Uwanja uwe sawa tu ndio upimeNdugu zangu watanzania,
Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya CCM.
Uchaguzi uliopita CCM ilifanya kampeni lakini ujaonkutakuwa hakuna haha ya kufanya kampeni na kupoteza fedha na badala yake serikali itaendeleaa na kazi za kuwahudumia wananchi wakati mama Samia akisubiri kutangazwa mshindi na kuapishwa Kuendelea na utumishi wake kwa watanzania wanaomwaminiSijalelewa utakuwa ni uchaguzi mwepesi kushinda ule uliyoiweka serikali ya sasa madarakani?
Kama uchaguzi ccm ilishinda kuanzia vijji vyote na majimbo yote bara kasoro mawili kwamba huo sio uchaguzi mwepesi kwa ccm kushinda chaguzi zote tokea kuanzishwe vyama vingi vya siasa? Au ni Mimi ndio sielewi hapa..
Kwahiyo hata babu ninayemtumia elfu kumi ya kijikimu naye mnamla na mimi huku mtumaji vilevile mnanila🤣🤣🤣🤣Unafikiri nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa kushushiwa kutoka angani,au unafikiri ziliendelea kwa miujiza pasipo wananchi wake kuwajibika kulipa tozo na kodi
Nimeinjoi sana maujinga yako, usiku mwema 🙏Unafikiri nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa kushushiwa kutoka angani,au unafikiri ziliendelea kwa miujiza pasipo wananchi wake kuwajibika kulipa tozo na kodi
.Wewe usiye muoga kwanini usianzishe maandamano? Watanzania wanajitambua na wanatambua CCM ndio chama chenye uchungu na maisha yao na chenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ambacho kimeonyesha umadhubuti katika kuwainua watu kiuchumi,watanzania hawapo Tayari kuwaunga mkono wasaka tonge kutoka upinzani wanaoshindwa hata kujiongoza wao wenyewe
Watanzania Wana Imani na wameridhishwa na utendaji kazi wa serikali ya CCM ndio maana hawawezi kuwakubalia ujinga wenu huo,wataendelea kuwakataa Kama walivyo mkataa Lisu uchaguzi uliopita akaishia kuvuna aibu ya msimu.
Ni kweli,na ndio maana huwa tunaona mabox ya kura yalipelekwa vituoni ili CCM watangazwe washindi. Nyie lazima watu waingie mtaani ndio mtafurahia show. Hakuna mtu wa kupoteza muda tena kwenye vituo vya kura.
Uwanja Ni sawa na ndio unaoipatia CCM ushindi chaguzi zoteUwanja uwe sawa tu ndio upime
Watanzania Wana Imani na wameridhishwa na utendaji kazi wa serikali ya CCM ndio maana hawawezi kuwakubalia ujinga wenu huo,wataendelea kuwakataa Kama walivyo mkataa Lisu uchaguzi uliopita akaishia kuvuna aibu ya msimu
Si ndio vizuri? AuNdugu zangu watanzania,
Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya CCM.
CCM inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa na uungwaji mkono na kibali na baraka kutoka makundi yote kutokana na utendaji kazi wa serikali yake uliyogusa makundi yote pasipo kumwacha mtu nyuma au kundi lolote lile,Inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa imejibu maswali yote na kero zote kubwa kwa kuzipatia majibu ya kuridhisha.
CCM inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa imejiwekea Rekodi mpya ya maendeleo katika secta zote kuanzia Elimu ambapo Sasa Ni bure Hadi kidato Cha sita, huku ikiwa imeongeza bajeti ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kufikia biliioni 654 kiasi kilichopelekea wanafunzi wote wenye sifa kupata mikopo bila shida ya aina yoyote pamoja na kuongeza fedha za kujikimu kufikia elfu kumi kwa siku Jambo lililoibua shangwe kubwa Sana hapa nchini.
CCM inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa imejihakikishia kura za Ndio kwa wakulima baada ya kuwafuta machozi na kuwaheshimisha kwa kukifanya kilimo ni biashara na hivyo kuwafanya kunufaika na jasho lao,huku mabillioni ya Ruzuku takribani billioni Mia moja hamsini yakiwa yametolewa na serikali ya CCM zilizo pelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu.
CCM inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa inaungwa mkono na wafanyabiashara wote hapa nchini baada ya kuwa mazingira ya biashara yameboreshwa kwa kuweka Sera nzuri na kuwa na maafikiano mazuri na yenye Afya na tija katika ukadiriaji wa Kodi ,Sasa biashara zinafunguliwa kila Kona ya nchi hii badala ya kufungwa,Sasa TRA na maafisa wake wanatenda haki na kuwatendea haki wafanyabiashara na hivyo kujenga Hali ya kuaminiana katika ulipaji wa Kodi,Hali iliyopelekea kupanda kwa mapato kufikia Trioni mbili kwa Mwezi.
Ni uchaguzi utakao kuwa mwepesi Sana kwa CCM kupita na kuweza kushinda,inakwenda kuzoa Kura kwa kishindo Sana katika nafasi zote,Ni historia mpya inakwenda kuandika hapa nchini katika uchaguzi huo.
Kazi Iendeleee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
0742-676627
Uwanja Ni sawa na ndio unaoipatia CCM ushindi chaguzi zote
We ni mjinga tuNionyeshe Ni wapi nilipowahi kuandika kuwa haya Niandikayo ni barua za maombi ya uteuzi
Sawa nashukuru kwa mtizamo wakoWe ni mjinga tu
Watanzania siyo wajinga ndio maana wanaendelea kuiamini serikali yao ya CCM iliyoonyesha umadhubuti wa kiuongozi na kimaono miaka yote ya kuwaongozaChawa unadhani bado watu wamelala hawajui lolote? Ule uhayawani unaofanyika kwenye chaguzi zetu kila mtu anaujua. Mapinduzi tu ama machafuko ndio yatafikisha mwisho wa huo ushenzi.
Watanzania siyo wajinga ndio maana wanaendelea kuiamini serikali yao ya CCM iliyoonyesha umadhubuti wa kiuongozi na kimaono miaka yote ya kuwaongoza
Ni barua ya maombi ya uteuzi kwa sababu ya upumbavu unaoandika wa zaidi ya chawa.Nionyeshe Ni wapi nilipowahi kuandika kuwa haya Niandikayo ni barua za maombi ya uteuzi
Bloody good morning fala Kweli wewe, unajua nilikuwa nimenuna?CCM ingekuwa ni nguo tungevua tutembee uchi.
Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu pamoja dira na muelekeo unaoeleweka wa CCM ndio vinavyoibeba CCM miaka yoteWatanzania au vyombo vya dola ili wapate madaraka na ulaji kwa kuibeba ccm.
Kukaa kimya nako ni Hekima. Post zako nyingi ni za kipumbavu sana na si za kijinga.Ndugu zangu watanzania,