Uchaguzi ujao utakuwa mwepesi sana kwa CCM tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini

Uwanja uwe sawa tu ndio upime
 
Uchaguzi uliopita CCM ilifanya kampeni lakini ujaonkutakuwa hakuna haha ya kufanya kampeni na kupoteza fedha na badala yake serikali itaendeleaa na kazi za kuwahudumia wananchi wakati mama Samia akisubiri kutangazwa mshindi na kuapishwa Kuendelea na utumishi wake kwa watanzania wanaomwamini
 
Unafikiri nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kwa kushushiwa kutoka angani,au unafikiri ziliendelea kwa miujiza pasipo wananchi wake kuwajibika kulipa tozo na kodi
Kwahiyo hata babu ninayemtumia elfu kumi ya kijikimu naye mnamla na mimi huku mtumaji vilevile mnanila🤣🤣🤣🤣
 
.
Ni kweli,na ndio maana huwa tunaona mabox ya kura yalipelekwa vituoni ili CCM watangazwe washindi. Nyie lazima watu waingie mtaani ndio mtafurahia show. Hakuna mtu wa kupoteza muda tena kwenye vituo vya kura.
 
Watanzania Wana Imani na wameridhishwa na utendaji kazi wa serikali ya CCM ndio maana hawawezi kuwakubalia ujinga wenu huo,wataendelea kuwakataa Kama walivyo mkataa Lisu uchaguzi uliopita akaishia kuvuna aibu ya msimu
 
Watanzania wangeridhishwa na hilo chama la majizi ya kura tusingeona chaguzi za kihayawani vile ili CCM watangazwe washindi kwa shuruti. Nyie machafuko tu ndio yatawachomoa hapo kwenye madaraka mnayong'ang'ania.
 
Si ndio vizuri? Au
 
Uwanja Ni sawa na ndio unaoipatia CCM ushindi chaguzi zote

Chawa unadhani bado watu wamelala hawajui lolote? Ule uhayawani unaofanyika kwenye chaguzi zetu kila mtu anaujua. Mapinduzi tu ama machafuko ndio yatafikisha mwisho wa huo ushenzi.
 
Chawa unadhani bado watu wamelala hawajui lolote? Ule uhayawani unaofanyika kwenye chaguzi zetu kila mtu anaujua. Mapinduzi tu ama machafuko ndio yatafikisha mwisho wa huo ushenzi.
Watanzania siyo wajinga ndio maana wanaendelea kuiamini serikali yao ya CCM iliyoonyesha umadhubuti wa kiuongozi na kimaono miaka yote ya kuwaongoza
 
Watanzania siyo wajinga ndio maana wanaendelea kuiamini serikali yao ya CCM iliyoonyesha umadhubuti wa kiuongozi na kimaono miaka yote ya kuwaongoza

Watanzania au vyombo vya dola ili wapate madaraka na ulaji kwa kuibeba ccm.
 
Nionyeshe Ni wapi nilipowahi kuandika kuwa haya Niandikayo ni barua za maombi ya uteuzi
Ni barua ya maombi ya uteuzi kwa sababu ya upumbavu unaoandika wa zaidi ya chawa.

Kuandika namba yako ya simu ili utafutwe kwenye teuzi bladifakeni
 
Watanzania au vyombo vya dola ili wapate madaraka na ulaji kwa kuibeba ccm.
Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu pamoja dira na muelekeo unaoeleweka wa CCM ndio vinavyoibeba CCM miaka yote
 
Kukaa kimya nako ni Hekima. Post zako nyingi ni za kipumbavu sana na si za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…