Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Wewe ulishaamua kujitoa akili, endelea kuwa chawa tuu labda kuna siku watakukumbukaTindo rafiki yangu naomba nikwambie kuwa hakuna wa kuleta machafuko nchii hii Wala kuingia Barabarani kuipinga serikali hii shupavu ya CCM,Kama huamini maneno yangu Basi anzisha wewe hayo maandamano na uwe mstari wa mbele, au kamuulize lisu kilichomkuta 2020 ambapo Hadi wewe ulimsaliti kwa kukataa kuingia Barabarani na kubaki umejificha chumbani kwako
Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu pamoja dira na muelekeo unaoeleweka wa CCM ndio vinavyoibeba CCM miaka yote
Kwa Sasa hakuna upinzani nchi hii wenye ubavu wa kushindana na ccmKwa upinzani huu tulionao hawezi kuichachafia ccm hata robo.
Mimi naeleza ukweli,labda niambie kwa akili yako Ni kundi gani linaloweza kuwaunga mkono CHADEMA kwa Sasa na kuwapigania kupata Kura? Huoni upinzani ulivyo dhaifu na legelege?Wewe ulishaamua kujitoa akili, endelea kuwa chawa tuu labda kuna siku watakukumbuka
CCM IPO madarakani kwa ridhaa ya wananchi ndio maana inaungwa mkono katika Sera na ajenda zake,ndio maana imekuwa ikipigiwa Kura kila uchaguzi ,ndio maana imekuwa ikiendesha serikali kwa utulivu na Amani pasipo mavuruguNi kweli, ndio maana vyombo vya dola vimekuwa msaada mkubwa wa CCM kukaa madarakani muda wote hata bila ridhaa ya umma.
Lucas huko unakoelekea siko kuzuri hata kidogo. Si ajabu utaishia kuja kuwa, kama siyo mganga wa kienyeji "sangoma"basi itakuwa ni nabii wa uongo, ama la vyote viwili, na kuendelea kupiga ramli na ubashiri wa hovyo kama huu ili uanze kuuwalia pesa wajinga wenzako.Ndugu zangu watanzania,
Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika utekelezaji wa ilani ya CCM.
CCM inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa na uungwaji mkono na kibali na baraka kutoka makundi yote kutokana na utendaji kazi wa serikali yake uliyogusa makundi yote pasipo kumwacha mtu nyuma au kundi lolote lile,Inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa imejibu maswali yote na kero zote kubwa kwa kuzipatia majibu ya kuridhisha.
CCM inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa imejiwekea Rekodi mpya ya maendeleo katika secta zote kuanzia Elimu ambapo Sasa Ni bure Hadi kidato Cha sita, huku ikiwa imeongeza bajeti ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu kufikia biliioni 654 kiasi kilichopelekea wanafunzi wote wenye sifa kupata mikopo bila shida ya aina yoyote pamoja na kuongeza fedha za kujikimu kufikia elfu kumi kwa siku Jambo lililoibua shangwe kubwa Sana hapa nchini.
CCM inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa imejihakikishia kura za Ndio kwa wakulima baada ya kuwafuta machozi na kuwaheshimisha kwa kukifanya kilimo ni biashara na hivyo kuwafanya kunufaika na jasho lao,huku mabillioni ya Ruzuku takribani billioni Mia moja hamsini yakiwa yametolewa na serikali ya CCM zilizo pelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu.
CCM inakwenda katika uchaguzi huo ikiwa inaungwa mkono na wafanyabiashara wote hapa nchini baada ya kuwa mazingira ya biashara yameboreshwa kwa kuweka Sera nzuri na kuwa na maafikiano mazuri na yenye Afya na tija katika ukadiriaji wa Kodi ,Sasa biashara zinafunguliwa kila Kona ya nchi hii badala ya kufungwa,Sasa TRA na maafisa wake wanatenda haki na kuwatendea haki wafanyabiashara na hivyo kujenga Hali ya kuaminiana katika ulipaji wa Kodi,Hali iliyopelekea kupanda kwa mapato kufikia Trioni mbili kwa Mwezi.
Ni uchaguzi utakao kuwa mwepesi Sana kwa CCM kupita na kuweza kushinda,inakwenda kuzoa Kura kwa kishindo Sana katika nafasi zote,Ni historia mpya inakwenda kuandika hapa nchini katika uchaguzi huo.
Kazi Iendeleee mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
0742-676627
😆😆😆 Mimi naeleza ukweli maana siasa Ni sayansi na CCM imefanya na kutumia sayansi kupata na kujihakikishia ushindi uchaguzi ujao kwa kujibu kero na maswali ya wananchi,kwa kutatua kero na kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yaoLucas huko unakoelekea siko kuzuri hata kidogo. Si ajabu utaishia kuja kuwa, kama siyo mganga wa kienyeji "sangoma"basi itakuwa ni nabii wa uongo, ama la vyote viwili, na kuendelea kupiga ramli na ubashiri wa hovyo kama huu ili uanze kuuwalia pesa wajinga wenzako.
wezi wakubwa nyie CCM msiongee kuhusu kuraMimi naeleza ukweli,labda niambie kwa akili yako Ni kundi gani linaloweza kuwaunga mkono CHADEMA kwa Sasa na kuwapigania kupata Kura? Huoni upinzani ulivyo dhaifu na legelege?
CCM IPO madarakani kwa ridhaa ya wananchi ndio maana inaungwa mkono katika Sera na ajenda zake,ndio maana imekuwa ikipigiwa Kura kila uchaguzi ,ndio maana imekuwa ikiendesha serikali kwa utulivu na Amani pasipo mavurugu
Kwanini ulijificha uvunguni wakati Lisu amesema uandamane? Si unaona namna watanzania walivyompuuza Lisu na Chadema yenuWw endelea kusema ndio maana, ndio maana, ndio maana, siku watu wataingia mtaani akili itawakaa sawa kwani hamna mtoto wa kuwapigia kura mkae madarakani.
Sera na ajenda Bora za CCM ndio Ngao ya ushindi wa CCm miaka na chaguzi zoteHATA UCHAGUZI WA 2020 MLISEMA NI RAHISI LAKINI MAGUFULI ulikuwa MGUMU KWAKE akaona BORA AUVUGE ILI ATEUE WABUNGE NA MADIWANI badala ya Wananchi
Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindoMsilete vikwazo kwenye tume huru tuuyamini maneno yako
Kwanini ulijificha uvunguni wakati Lisu amesema uandamane? Si unaona namna watanzania walivyompuuza Lisu na Chadema yenu
Ingia kesho BarabaraniMagufuli angekaa mbele kutuzuia ili tujue sio muoga, sisi hatuna silaha, tulitaka CCM mkae mbele maana nyie ndio wanasiasa wenzetu mtuzuie.
Ingia kesho BarabaraniMagufuli angekaa mbele kutuzuia ili tujue sio muoga, sisi hatuna silaha, tulitaka CCM mkae mbele maana nyie ndio wanasiasa wenzetu mtuzuie.
Ingia kesho Barabarani
Basi nenda Barabarani na familia yako tukuoneUje na mkeo kutuzuia ndio tutaona nguvu yako, wale waume zenu vyombo vya dola wakae pembeni ndio utajua mziki wake vizuri.