Uchaguzi wa Chadema kwa viongozi wa kitaifa hautakua na amani, utagubikwa na vurugu na rushwa zaidi ya ule wa Bavicha na Bawacha, utahairishwa.

posho,
uhasama na uadui miongoni mwa wagombea na wafuasi wao wamejiandaa vyema kuvuruga uchaguzi huo gentleman πŸ’

Uchaguzi ukiwa huru, haki na wa kuaminika hakuna popote duniani kutatokea vurugu.
 
wakati wafuasi wao wakizichapa kavukavu wagombea watakua wameshatolewa ukumbini kwa sababu za kiusalama.

Infact,
zoezi la kuhesabu kura haliwezi kukamilika. Patatokea fujo la maana gentleman πŸ’
Unabii wako ukitimia Itabidi uisaidie Polisi Gentleman.
 
Lissu na Heche wamenunua silaha za jadi kwa ajili ya kufanyia fujo, na wamekodi watu kutoka sehemu mbalimbali
sure,
kikosi kazi cha fujo kimeandaliwa na kiongozi wao ni heche na jamaa meingine anaitwa sijui pambalu au pumbalu kama skosea πŸ’
 
Unabii wako ukitimia Itabidi uisaidie Polisi Gentleman.
kama ambavyo nilisema Kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi hawezi kua mwenyekiti wa chadema Taifa..

Heche na kijana mwingine anaitwa pambalu au pumbalu waache kuandaa fujo za kuvuruga uchaguzi. Kibaraka hawezi kumdhinda mwamba wa kaskazini πŸ’
 
Uchaguzi ukiwa huru, haki na wa kuaminika hakuna popote duniani kutatokea vurugu.
maskini mtu katoka mkoani anakuja kutolewa damu na ngeu dar es salaam, na mjumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kutoka mkoa mwingine,

inasikitisha sana na inafedhehesha sana πŸ’
 
Kijani kibichi wa ajabu sana mmeshindwa demokrasia kuionyesha kwa vitendo kwenye mkutano wenu huko Dodoma , mnaenda kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti asiyejulikana , yaani wajumbe wanatoka mikoani hawajui hata wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti ni kina nani ? Chama kikongwe hicho? Hakuna room ya kuwajadili na kuwachagua ni papo kwa papo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…