posho,
uhasama na uadui miongoni mwa wagombea na wafuasi wao wamejiandaa vyema kuvuruga uchaguzi huo gentleman 🐒
Uchaguzi ukiwa huru, haki na wa kuaminika hakuna popote duniani kutatokea vurugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
posho,
uhasama na uadui miongoni mwa wagombea na wafuasi wao wamejiandaa vyema kuvuruga uchaguzi huo gentleman 🐒
Unabii wako ukitimia Itabidi uisaidie Polisi Gentleman.wakati wafuasi wao wakizichapa kavukavu wagombea watakua wameshatolewa ukumbini kwa sababu za kiusalama.
Infact,
zoezi la kuhesabu kura haliwezi kukamilika. Patatokea fujo la maana gentleman 🐒
sure,Lissu na Heche wamenunua silaha za jadi kwa ajili ya kufanyia fujo, na wamekodi watu kutoka sehemu mbalimbali
Ndio, anaitwa pumbulusure,
kikosi kazi cha fujo kimeandaliwa na kiongozi wao ni heche na jamaa meingine anaitwa sijui pambalu au pumbalu kama skosea 🐒
kama ambavyo nilisema Kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi hawezi kua mwenyekiti wa chadema Taifa..Unabii wako ukitimia Itabidi uisaidie Polisi Gentleman.
maskini mtu katoka mkoani anakuja kutolewa damu na ngeu dar es salaam, na mjumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa kutoka mkoa mwingine,Uchaguzi ukiwa huru, haki na wa kuaminika hakuna popote duniani kutatokea vurugu.