Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #221
Hali ya Kiteto ni nzuri sana kwa kambi ya upinzani na nilikuwa kule tangia juzi nqa kwa kweli wananchi wanalalamika kuwa tatizo ni wizi wa kura .
Kuna msemo maarufu huko kuwa kwenye kifo cha mamba na kenge wapo na hapa wengi wanasema kuwa mamba alikuwa Lowassa na Kenge ni Nangoro hivyo wapo tayari kumchinja huyo kenge.
Juzi Zitto na Dr. Slaa walikuwa kule na kwa kweli walipokelewa na wananchi kama mashujaa .
Huko lililokuwa jipya ni kumkuta mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Said kuweka kambi kwani yeye ni mzaliwa wa kule na wapinzani wakiongozwa na Zitto walimtaka awe ameenda kazini kwake kwani alikuwa anavunja sheria ya utumishi wa umma ya kufanya kampeni kinyume cha sheria za utumishi.
Jana baada ya kufuatilia kule Iringa walisema kuwa aliomba likizo ili kiuhalalisha kuendelea kufanya kampeni kinyume na sheria za utumishi wa umma .
Nawatakia kila la kheri na huku ni kuwa hakuna kulala hadi makamba aondoke Kiteto kwani ameweka kambi humo wala hajali kuwa serikali ya chama chake ilikuwa imeanguka na kupotea.

Habari za hivi punde ni kuwa huku kijijini Kiteto wameletwa FFU wengi ajabu na hatujui wamekuja kufanya kazi gani hapa ila taarifa za kiuchunguzi ni kuwa ni ili kuwatisha wananchi kuwa wasichague upinzani.
Tangu jana hotuba za Makamba zimebadilika kuwa kama wakichagua upinzani kutakuwa na machafuko kama yanayotokea Kenya na kusema kuwa Kenya wapinzani ndio chanzo cha vurugu.
Ntaendelea kuwahabarisha na pindi nitawapiga picha na kuwawekea hapa kijiweni.
Kitendo cha kuleta FFU wengi kupita kiasi pia kinaweza kutafsiriwa kuwa ziara ya wabunge juzi waliamua kuwaambia askari kuwa lazima wawe walinzi wa sheria na sio wavunja sheria za nchi kwani walikuwa wanataka kukatisha mkutano wao ilipotimu saa kumi na mbili kamaili kinyume na sheria ya uchaguzi inayosema kuwa muda wa kampeni ni hadi saa kumi na mbili na nusu jioni.
Haya huku na FFU wakufa mtu, pia inawezekana ni baada ya vijana wa upinzani kufanikiwa kuzibiti mbinu za CCM kuvisha watu fulana na khanga , hapa ni wachache sana ndio wanadhubutu kuvaa nguo za kijani,.
wapinzani msianze kutafuta sababu za kuomba msala.
Mtu wa pwani kwa kweli binafsi naon hapa sio mahali pa midahalo ya vyama, mimi nilikuwa nadahani hapa tuweke masilahi ya Taifa mbele wote tuongee kam watanzania. Tusiseme huyu ni mpinzani huyu ni Chama tawala, ila tuseme kuwa sote tunakubaliana na uchaguzi wa haki na hur kuanzia kuandikisha, kampeni,kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo.
Matumizi ya rasilimali, dola, vyombo vya habari ni sehemu muhimu ya kuangaliwa kama tunataka kujenga jamii ya watu waliosawa na huru amabo wataheshimu utawala wa sheria.
Kama ni kwei anayosema mdau hapa bila shaka itakuwa sio vizuri kwa serikali kufanya hivyo, yaani kutumia magari ya serikali, FFU na hata Redio na magazeti ya serikali kusaidia chamkimoja ili kipate ushindi.
Hapa tuwe critical kuhakikisha tunajenga jamii ya kitanzania yenye usawa na iatakayoheshimu utawala wa sheria na itakayowafanya wanaotakiwa kuwajibika wawajibike.🙂

usinifanye nicheke. kiteto watu wanapigania kiti kwa kupitia vyama vya siasa, na siasa ni makida hawa wapinzani ni wepesi wa kulalamika kuwa wanafanyiwa rafu.
mara mgombea kapewa sumu, vyombo vya habari na mengineo wametumika kutaka kushawishi watu kuwa CCM imempa sumu, baadae imebainika uongo mtupu.
sasa na hizi nyengine ni sababu ambazo wanazijenga wazitumie wakishindwa
Quote:- Mpaka Kieleweke,
Nitaendelea kuwapa nyepesi za huku kijijini ,ila tatizo hapa ni kuwa mara nyingi hakuna net work.