Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #221
Bado tuko na Kiteto na wasidhani kwa kuvunja baraza na kuunda upya kunafanya hoja za wao kushindwa Kiteto zibadilike. Matokeo ya kuvunjwa kwa Baraza ni ufisadi na si zawadi. Baraza limevunjwa sababu ya ufisadi na majaribio ya kuliunda upya ni uthibitisho kamili kuwa CCM kama chama bado haijapata dawa ya ufisadi nchini.
Wanaweza kubadilisha picha ya chupa, lakini sumu ni ile ile.
Wanaweza kubadilisha picha ya chupa, lakini sumu ni ile ile.