Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

Uchaguzi wa Kiteto: Taarifa mbalimbali

Status
Not open for further replies.
Bado tuko na Kiteto na wasidhani kwa kuvunja baraza na kuunda upya kunafanya hoja za wao kushindwa Kiteto zibadilike. Matokeo ya kuvunjwa kwa Baraza ni ufisadi na si zawadi. Baraza limevunjwa sababu ya ufisadi na majaribio ya kuliunda upya ni uthibitisho kamili kuwa CCM kama chama bado haijapata dawa ya ufisadi nchini.

Wanaweza kubadilisha picha ya chupa, lakini sumu ni ile ile.
 
Naomba tuendelee na uchaguzi wa Kiteto maana ya Bungeni yanafanya hii thread kupooza sana halafu mwishowe watu wapige bao kiulaini. tujulisheni kinachoondelea huko
 
JK asidhani kuvunja baraza ni unafuu hapana tunajua kwamba hata wafadhili hadi sasa ninapo andika hawajatangaza ufadhili wao mwa kwaka huu wa 2008/09 kisa ni ufisadi. Amefanya moja na mengi yanategemewa .Alijua haya muda akawa anaendekeza urafiki na uzuri .Kiteto moto ni mkali it is time wananchi kuwapa wapinzani kura na wabunge kibao ili Bunge liwe la kweli na si sasa wachache ndani ya CCM kuonyesha uzalendo wao na kufuata nyao za wapinzani .CCM must go bwana hata kama mimi ni mwana CCM .Tanzania kwanza CCM ya mwisho
 
Hali ya Kiteto ni nzuri sana kwa kambi ya upinzani na nilikuwa kule tangia juzi nqa kwa kweli wananchi wanalalamika kuwa tatizo ni wizi wa kura .

Kuna msemo maarufu huko kuwa kwenye kifo cha mamba na kenge wapo na hapa wengi wanasema kuwa mamba alikuwa Lowassa na Kenge ni Nangoro hivyo wapo tayari kumchinja huyo kenge.

Juzi Zitto na Dr. Slaa walikuwa kule na kwa kweli walipokelewa na wananchi kama mashujaa .

Huko lililokuwa jipya ni kumkuta mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Said kuweka kambi kwani yeye ni mzaliwa wa kule na wapinzani wakiongozwa na Zitto walimtaka awe ameenda kazini kwake kwani alikuwa anavunja sheria ya utumishi wa umma ya kufanya kampeni kinyume cha sheria za utumishi.

Jana baada ya kufuatilia kule Iringa walisema kuwa aliomba likizo ili kiuhalalisha kuendelea kufanya kampeni kinyume na sheria za utumishi wa umma .

Nawatakia kila la kheri na huku ni kuwa hakuna kulala hadi makamba aondoke Kiteto kwani ameweka kambi humo wala hajali kuwa serikali ya chama chake ilikuwa imeanguka na kupotea.
 
Swali hil ataulizwa Pinda siku ya Maswali ya hapo kwa hapo ndipo jasho limtoke. Tuseme yuko likizo is fine je kama Mtumishi wa Umma Siasa anaingiaje ama kwa vile ni CCM basi yeye anapeta tu ?

Nategemea kuwa Kiteto next week .
 
Hali ya Kiteto ni nzuri sana kwa kambi ya upinzani na nilikuwa kule tangia juzi nqa kwa kweli wananchi wanalalamika kuwa tatizo ni wizi wa kura .

Kuna msemo maarufu huko kuwa kwenye kifo cha mamba na kenge wapo na hapa wengi wanasema kuwa mamba alikuwa Lowassa na Kenge ni Nangoro hivyo wapo tayari kumchinja huyo kenge.

Juzi Zitto na Dr. Slaa walikuwa kule na kwa kweli walipokelewa na wananchi kama mashujaa .

Huko lililokuwa jipya ni kumkuta mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Said kuweka kambi kwani yeye ni mzaliwa wa kule na wapinzani wakiongozwa na Zitto walimtaka awe ameenda kazini kwake kwani alikuwa anavunja sheria ya utumishi wa umma ya kufanya kampeni kinyume cha sheria za utumishi.

Jana baada ya kufuatilia kule Iringa walisema kuwa aliomba likizo ili kiuhalalisha kuendelea kufanya kampeni kinyume na sheria za utumishi wa umma .

Nawatakia kila la kheri na huku ni kuwa hakuna kulala hadi makamba aondoke Kiteto kwani ameweka kambi humo wala hajali kuwa serikali ya chama chake ilikuwa imeanguka na kupotea.

Kwa hiyo kwenye hiyo likizo ya kufanyia kampeni SISIEMU MH Amina Said anatumia fedha za serikali na magari ya serikali?

Akiongea anajitamburisha kama Mkuu wa mkoa wa Iringa?

Je yuko pekee yake na dereva wa nyumbani?

Kuna watumishi wengine wa mkoa wa Iringa kaambatana nao?
 
Wiki ile inayokuja itakuwa ni muhimu sana na nguvu zetu tunazielekeza huko. Mpaka Kieleweke.. nitafutahi tukijua Makamba na timu yake wanasema nini.. yaani maneno yao haswa ni nini?
 
Tusikubali kurudi nyuma. Infact kwa kuwa Lowassa ni wa Arusha, basi tuwaambie wana Kiteto kuwa jirani yao wa Monduli ndiye aliyewaletea shida na gharama kubwa za umeme!
 
Makamba na timu yake ya akina Akwilombe, Kabourou,Tambwe na Msabaha wao kwa kweli hawana hoja na wanasema kuwa kwa vile mgombea wa CCM alikuwa ni Pndri basi hataweza kuwa fisadi kama baadhi ya wanaCCM wachache ambao wanakichafua chama chao.

Kuna kila hali ya kutupiana matusi na haswa Makamba anaongoza kwenye hilo la kuwapaka watu matope na matusi ya hali ya juu,.

Kuhusu mkuu wa mkoa wa Iringa ni kuwa anajitambulisha na hata alikuwa anatumia gari la ofisi ila baada ya juzi kukemewa amebadilisha gari na anatumia gari binafsi.

Akiwa jukwaani anajitambulisha kama mkuu wa mkoa wa Iringa.

Pia wapo viongozi wa kiserikali kama vile wakuu wa wilaya Zilizoko jirani na Kiteto, na hata mkuu wa mkoa wa Manyara juzi alitambulishwa kwenye mkutano wa CCM ila huyu alisema kuwa yupo pale kwa ajili ya kuangalia usalama kwenye kampeni.

Nitaendelea kuwapa nyepesi za huku kijijini ,ila tatizo hapa ni kuwa mara nyingi hakuna net work.

Wapinzani waliwapiga hawa jamaa bao mapema kwani waliwatuma madiwani waliopo kata za mkoa wa manyara kwa ajili ya kwenda kusaidia kampeni huko ,na Makamba kushtukia hilo jana naye tunaambiwa kuwa kaagiza madiwani wote wa mkoa wa manayra waende Kiteto mara moja kwa ajili ya kufanya kampeni za chama chao.

Kesho tunategemea kupata timu nyingine ya viongozi wa upinzani kwa ajili ya kufanya mikutano, nitawatajia pindi wakisha fika huku kijijini kwetu.
 
asante kwa habari hizi nyeti na ambazo zinaonesha kuwa kama nilivyosema mapema kuwa mapambano ya kifikra uwanja wake wa kwanza ni Kiteto. Wananchi wa Kiteto wajue tuko pamoja nao. Najaribu kuona kama itawezekana wiki hii nitakuwa na show "live" kutoka Kiteto ili tuweze kujua nini kinaendelea...
 
Habari za hivi punde ni kuwa huku kijijini Kiteto wameletwa FFU wengi ajabu na hatujui wamekuja kufanya kazi gani hapa ila taarifa za kiuchunguzi ni kuwa ni ili kuwatisha wananchi kuwa wasichague upinzani.

Tangu jana hotuba za Makamba zimebadilika kuwa kama wakichagua upinzani kutakuwa na machafuko kama yanayotokea Kenya na kusema kuwa Kenya wapinzani ndio chanzo cha vurugu.

Ntaendelea kuwahabarisha na pindi nitawapiga picha na kuwawekea hapa kijiweni.

Kitendo cha kuleta FFU wengi kupita kiasi pia kinaweza kutafsiriwa kuwa ziara ya wabunge juzi waliamua kuwaambia askari kuwa lazima wawe walinzi wa sheria na sio wavunja sheria za nchi kwani walikuwa wanataka kukatisha mkutano wao ilipotimu saa kumi na mbili kamaili kinyume na sheria ya uchaguzi inayosema kuwa muda wa kampeni ni hadi saa kumi na mbili na nusu jioni.

Haya huku na FFU wakufa mtu, pia inawezekana ni baada ya vijana wa upinzani kufanikiwa kuzibiti mbinu za CCM kuvisha watu fulana na khanga , hapa ni wachache sana ndio wanadhubutu kuvaa nguo za kijani,.
 
wapinzani msianze kutafuta sababu za kuomba msala.

mwaka huu mambo yako wazi na fair mkishindwa msianze kapewa sumu, mara askari walikuwa wengi, mara mkuu wa mkoa kaja na gari za kazi mara makamba katukana.

hapo uzeni maneno na wananchi wanaangalia yepi wayanunue, wakiyanunua ya wapinzani basi poa ya chama tawala poa tu.

tukubalini matokeo pasipo kutaka kutengeneza mazingira ya kuja kulalamika baadae
 
wapinzani msianze kutafuta sababu za kuomba msala.

Mtu wa pwani kwa kweli binafsi naon hapa sio mahali pa midahalo ya vyama, mimi nilikuwa nadahani hapa tuweke masilahi ya Taifa mbele wote tuongee kam watanzania. Tusiseme huyu ni mpinzani huyu ni Chama tawala, ila tuseme kuwa sote tunakubaliana na uchaguzi wa haki na hur kuanzia kuandikisha, kampeni,kupiga kura, kuhesabu na kutangaza matokeo.

Matumizi ya rasilimali, dola, vyombo vya habari ni sehemu muhimu ya kuangaliwa kama tunataka kujenga jamii ya watu waliosawa na huru amabo wataheshimu utawala wa sheria.

Kama ni kwei anayosema mdau hapa bila shaka itakuwa sio vizuri kwa serikali kufanya hivyo, yaani kutumia magari ya serikali, FFU na hata Redio na magazeti ya serikali kusaidia chamkimoja ili kipate ushindi.

Hapa tuwe critical kuhakikisha tunajenga jamii ya kitanzania yenye usawa na iatakayoheshimu utawala wa sheria na itakayowafanya wanaotakiwa kuwajibika wawajibike.🙂
 
usinifanye nicheke. kiteto watu wanapigania kiti kwa kupitia vyama vya siasa, na siasa ni makida hawa wapinzani ni wepesi wa kulalamika kuwa wanafanyiwa rafu.

mara mgombea kapewa sumu, vyombo vya habari na mengineo wametumika kutaka kushawishi watu kuwa CCM imempa sumu, baadae imebainika uongo mtupu.

sasa na hizi nyengine ni sababu ambazo wanazijenga wazitumie wakishindwa
 
Kuna kazi kubwa Kiteto. Kama kweli Makamba kafikia hatua hiyo shame on them.Watu wamesha amka .Watu wanajua Kenya nini kimetokea Makamba kwa hili hataweza kuwapata watu wa kumwelewa .Kumbe ndiyo maana magazeti yao ya IPP yalikuwa hayandikia habari za uchaguzi Kenya ?

Nunueni kadi za kura kama wao wanavyo nunu ili mkutane katikati hapo heshima itakuwepo badala ya kuongea tu .Wakinunua na yie nunueni then tuone itakuwaje.
 
Hivi Tingatinga "Dume la mbegu" Malecela halijaingia huko kufagia fagia?
 
Quote:- Mpaka Kieleweke,

Nitaendelea kuwapa nyepesi za huku kijijini ,ila tatizo hapa ni kuwa mara nyingi hakuna net work.

Mkuu Kieleweke,

Heshima mbele mkuu, tunashukuru kwa info tunakuaminia mkuu!
 
Hapa napata news kuwa amekamatwa balozi wa CCM akiwa ananunua shahada za wapiga kura huku Kiteto ntawapa taarifa za kina punde juu ya mkasa huu stay tuned.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom