Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

Ukisema Wamarekani ni wabaguzi (sio kwamba napingana na wewe kuhusu ubaguzi wa weupe against other races) kwa mfano wa uchaguzi huo, inakubidi ufrudishe fikra zako nyuma huko wakati Oboma anachuana na Hillary Clinton, remember Oboma alikua mweusi while mama ni pure mzungu, pure American and her husband was an ex president. Mimi binafsi wakati tunajadiri uchaguzi hu, hasa wakati wa kampeni na mwana mama alikua anaongoza KURA za maoni, I wrote; American will NEVER ever choose or select a president of F sex, never. Those guys they don't trust a woman to be in their highest office. Mambo yao ni kama Arabic countries, hawana tofauti. But I went a far, kwamba Biden anajua hilo, Kamara anajua kwamba anamsindikiza mwamba na hata Oboma, Clinton walijua hilo. Trump ule uchaguzi wa kwanza, alishindwa kura za wananchi, matrix ikamtema mshindani wake na kumuweka Donald madarakani, same story again.
 
Si mwanamke tu,huko mbeleni taifa la marekani halitoruhusu Tena kuongozwa na ngozi nyeusi
Huu uhakika wa yajayo huwa mnautoa wapi boss. Bora useme kwa miaka lets say 20,30 au 50 na uwe na takwimu zinazokupa hilo hitimisho. Halitoruhusu tena? Milele? Kama ilitokea, uwezekano wa kutokea upo.
 
Chama Cha democrats ndio chama kinachosapoti ushoga ni Bora Trump alivyoshinda
 
Wewe nchi yako imewapa vyeo gani watu wenye asilimia ya asia na Marekani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…