Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

Mkuu mambo mengine yamekaa kiushandani wa kisiasa huwezi kuwalaumu CCM kwanini eti wanawabagua Chadema wakati wanajua kabisa hao ndio washindani wao maana hata hao Chadema wangekuwa ndio wanamadaraka usitegemee wangewatreat vizuri CCM
 
Elewa point mkuu,ukiwalinganisha Trump na Kamala utaelewa ni nani Rais na nani chizi.
Sasa Bora wamuweke chizi kuliko mwanamke/mweusi
Mkuu umepata breakfast lakini?

Unayemuita chizi ana pesa kuliko kabila (si ukoo tu) lako lote, na anachaguliwa na big brains zisizofikiria petty issues kama ujenzi wa zahanati, madarasa na vyoo, wala ulaji milo mitatu
 
Pambana na matatizo yako, ni mengi mno mpaka Nawaza unapata wapi mda wa kutafakari matatizo ya Marekani!
Bro, we achatu.
Ile kauli "Nchi ngumu hii" hapo ndipo inapo timia.
Jamaa ana lalamikia mtu mweusi kushindwa uchaguzi Marekani utadhani huyo Kamara ni msukuma mwenzie kutoka Bariadi.
Labda jamaa alibeti, maana watoto wa 2000s wanavituko.
 
ni chizi pekee ndio atabishana na mtu ambaye hakufunzwa
Wewe hukufunzwa mradi tuu upo, mtoto mkaidi,hasara kwa Mama yake,ndio maana nilikukataa,kwetu machozi hatuna!Muulize mama Yako Hilo jina atakwambia niikataa mimba Yako!
 
wenzetu wanasikiliza sera za mgombea laini sisi tukishapewa t-shirt kofia na kanga za chama tunasahau msoto wote wa 5 yrs ishu sio rangi ndo maana kuna watu #weusi walio mchagua trump
 
wenzetu wanasikiliza sera za mgombea laini sisi tukishapewa t-shirt kofia na kanga za chama tunasahau msoto wote wa 5 yrs ishu sio rangi ndo maana kuna watu #weusi walio mchagua trump
Kuna watu humu wanasema ngozi nyeusi ni Nyani, kweli mtu na akili zako unajiita nyani!
 
Hoja nyingine zinajibiwa na common sense tu, hivi ingekua wewe ni mpiga kura ungechagua yupi kati ya hao?
 
Kwahiyo tufanyaje Watu weusi ili tufanikiwe tuwapore hawa watu weupe Mali walizowapora Mababu zetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…