Uchaguzi wa Marekani ni uthibitisho wa Ubaguzi hautoisha duniani

Kamala hajapingwa sababu ya uanamke, amepingwa sababu ya sera zake na chama chake
Uwe unafuatilia vitu kabla huja comment
 
Kamala mwenyewe alijichanganya......kipindi anaingia kwenye umakamo urais enzi za biden kuingia ikulu alikua anajitambulisha kama ana asili ya wahindi(indian american).........uchaguzi umefika sasa ili apate kura za weusi anasema ana asili ya watu weusi (black american) wakati mwanzoni alikua hataki kabisa kutambulika kama ana asili ya watu weusi,,,,,na wapiga kura wameona isiwe shida wao sio maboya wakafanya yao
 
E bana ee kama ubaguzi ni kutomruhusu mwanamke kuongoza, bora huo ubaguzi uendelee tu.

Nakubaliana na huo ubaguzi wa marekeni kwa 100%
Kwa jinsi huyu mwanamke wetu anavyonisumbua! Ubaguzi huu ufike hadi Tz next year.
 
Angalia boss wazungu walivyoungana ktk hili,hata kwenye mikutano mingi na wanaomuunga mkono trump hapo USA ni wazungu weupe tipikali.
Hapa issue si mwanamke/mweusi issue hebu walinganishe,huoni Kama trump ni chizi
Trump hataki ujinga, ushoga wenu pelekeni huko
 
Achana na ngozi ila ukweli mchungu ni kwamba mwanamama hapaswi kua kiongozi na sasa sikwambii kiongozi wa nchi natena unakuta linchi likubwa kama marekani watu wanajua mambo sio kama mnavyoaminishwa nyie huko kwenu
 
Waafrika tuache unafiki. Hivi Salim alibaguliwa na wazungu? Mbona sisi ni wabaguzi sana lakini watu hamuanzishi thread kujisema?
 
Akili zako zimedumaa, Obàma baba yake ni Mkenya mweusi tii hukuona ubaguzi, leo kamala baba yake ni muhindi na mumewe ni muisrael unasema ubaguzi. Acha upoyoyo Obàma aligombea na mzungu na akashinda vipindi vyote viwiili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…