Na wazungu hawalalamiki tukiwabaguaWaafrika tuache unafiki. Hivi Salim alibaguliwa na wazungu? Mbona sisi ni wabaguzi sana lakini watu hamuanzishi thread kujisema?
Wamarekani Wana akili wewe...huwezi kutakakutawala Dunia alafu uwe unaongozwa na mwanamke. That's just simple common sense.Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao ndo Wana haki na taifa hilo, na hata kwa Obama nikiri walimchagua ili kujarbu kubalancemambo ya ubaguzi ila hata Leo kwao ni doa kubwa lisilofutika.
I hope wanafuraha Sasa mzungu pure ndo kashinda.
Kwa wale wanaofikiria Suala la Vita kuu kubwa zinazoendeshwa dunia na mambo mengine hayatobadilika hata chembe,walichojarbu kuzuia kwa taifa lao ni Mtu mweusi kurudi tena ikulu ya WHITE (elewa hapa) HOUSE. Tena huyo mweusi ni Mwanamke.
Kwa sisi ngozi nyeusi tuendelee kuamini hiki kizazi cha hawa weupe ambao waliowahi kututawala, kutubagua, kutunyanyasa na kupora mali zetu za asili kua wameokoa na ni Mitume ktk zama hizi.
Nilifatilia namna Hawa Weupe walivyoungana,kwa kithibitisha fatilia hata mikutano mingi ya Trump walijaa Hawa ngozi nyeupe.
Tena Bora wazungu wanabagua race ambayo sio yao sie waafrica tunabaguana wenyewe kwa wenyewe 🤣🤣🤣🤣Waafrika tuache unafiki. Hivi Salim alibaguliwa na wazungu? Mbona sisi ni wabaguzi sana lakini watu hamuanzishi thread kujisema?
Hujanielewa boss,Obama alipita kwa kubalance na ndo kinga Yao ya kuonyesha wao si wabaguzi kwa sasa.Akili zako zimedumaa, Obàma baba yake ni Mkenya mweusi tii hukuona ubaguzi, leo kamala baba yake ni muhindi na mumewe ni muisrael unasema ubaguzi. Acha upoyoyo Obàma aligombea na mzungu na akashinda vipindi vyote viwiili.
weusi hawatakiwi kushindwa?Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao ndo Wana haki na taifa hilo, na hata kwa Obama nikiri walimchagua ili kujarbu kubalancemambo ya ubaguzi ila hata Leo kwao ni doa kubwa lisilofutika.
I hope wanafuraha Sasa mzungu pure ndo kashinda.
Kwa wale wanaofikiria Suala la Vita kuu kubwa zinazoendeshwa dunia na mambo mengine hayatobadilika hata chembe,walichojarbu kuzuia kwa taifa lao ni Mtu mweusi kurudi tena ikulu ya WHITE (elewa hapa) HOUSE. Tena huyo mweusi ni Mwanamke.
Kwa sisi ngozi nyeusi tuendelee kuamini hiki kizazi cha hawa weupe ambao waliowahi kututawala, kutubagua, kutunyanyasa na kupora mali zetu za asili kua wameokoa na ni Mitume ktk zama hizi.
Nilifatilia namna Hawa Weupe walivyoungana,kwa kithibitisha fatilia hata mikutano mingi ya Trump walijaa Hawa ngozi nyeupe.
Mimi pia ni mtu mweusi lakini nakiri kusema, mtu mweusi sio wa kupewa madaraka sehemu yoyote ile. Usiende mbali huko marekani, baki hapa afrika angalia mataifa ya watu weusi yana maendeleo gani ya maana? Zaid ya mataifa ya wenye asili ya uarabu(misri, morocco n.k). Uyo Obama mwenyewe ni kwasabb alikuwa na mzaz ambae ni white. Mtu mweusi sio wa kupewa madaraka full stop.Si mwanamke tu,huko mbeleni taifa la marekani halitoruhusu Tena kuongozwa na ngozi nyeusi
Sasa nyie c ndo mlikuwa mnashangilia ushindi wa Trump?? Sasa mnaanza kulisa lia acha sindano iwaingieWamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao ndo Wana haki na taifa hilo, na hata kwa Obama nikiri walimchagua ili kujarbu kubalancemambo ya ubaguzi ila hata Leo kwao ni doa kubwa lisilofutika.
I hope wanafuraha Sasa mzungu pure ndo kashinda.
Kwa wale wanaofikiria Suala la Vita kuu kubwa zinazoendeshwa dunia na mambo mengine hayatobadilika hata chembe,walichojarbu kuzuia kwa taifa lao ni Mtu mweusi kurudi tena ikulu ya WHITE (elewa hapa) HOUSE. Tena huyo mweusi ni Mwanamke.
Kwa sisi ngozi nyeusi tuendelee kuamini hiki kizazi cha hawa weupe ambao waliowahi kututawala, kutubagua, kutunyanyasa na kupora mali zetu za asili kua wameokoa na ni Mitume ktk zama hizi.
Nilifatilia namna Hawa Weupe walivyoungana,kwa kithibitisha fatilia hata mikutano mingi ya Trump walijaa Hawa ngozi nyeupe.
UmejuajeSasa nyie c ndo mlikuwa mnashangilia ushindi wa Trump?? Sasa mnaanza kulisa lia acha sindano iwaingie
Mbona Obama alishinda?Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao ndo Wana haki na taifa hilo, na hata kwa Obama nikiri walimchagua ili kujarbu kubalancemambo ya ubaguzi ila hata Leo kwao ni doa kubwa lisilofutika.
I hope wanafuraha Sasa mzungu pure ndo kashinda.
Kwa wale wanaofikiria Suala la Vita kuu kubwa zinazoendeshwa dunia na mambo mengine hayatobadilika hata chembe,walichojarbu kuzuia kwa taifa lao ni Mtu mweusi kurudi tena ikulu ya WHITE (elewa hapa) HOUSE. Tena huyo mweusi ni Mwanamke.
Kwa sisi ngozi nyeusi tuendelee kuamini hiki kizazi cha hawa weupe ambao waliowahi kututawala, kutubagua, kutunyanyasa na kupora mali zetu za asili kua wameokoa na ni Mitume ktk zama hizi.
Nilifatilia namna Hawa Weupe walivyoungana,kwa kithibitisha fatilia hata mikutano mingi ya Trump walijaa Hawa ngozi nyeupe.
Mpango WA kishetani WA Kamala na wenzake LGTB,abortion ,Vita and etc umezimwa na watu WA Mungu,wamempa nguvu kwenye mabunge yote mawili,sera za democrats za kushoto ni za kishamba Sanaa....Trump ameshinda Kwa sera Bora siyo ubaguziiweupe
Hu trump kashinda Kila kitu, popular vote,uppe and lower chamber,electroge college votes,Yani kampiga kote koteepresident
Matatizo ya marekani wewe yanakuhusu nini?....watu nchi yao wewe unataka uwapangie wamchague nani!!...akigombea mzungu hapa bongo kuwa Rais utamchagua wewe?Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke wake na ngozi yake yenye weusi .Naamini wale manguli weupe kama Trump, Elon Musk bado wanaamini wao ndo Wana haki na taifa hilo, na hata kwa Obama nikiri walimchagua ili kujarbu kubalancemambo ya ubaguzi ila hata Leo kwao ni doa kubwa lisilofutika.
I hope wanafuraha Sasa mzungu pure ndo kashinda.
Kwa wale wanaofikiria Suala la Vita kuu kubwa zinazoendeshwa dunia na mambo mengine hayatobadilika hata chembe,walichojarbu kuzuia kwa taifa lao ni Mtu mweusi kurudi tena ikulu ya WHITE (elewa hapa) HOUSE. Tena huyo mweusi ni Mwanamke.
Kwa sisi ngozi nyeusi tuendelee kuamini hiki kizazi cha hawa weupe ambao waliowahi kututawala, kutubagua, kutunyanyasa na kupora mali zetu za asili kua wameokoa na ni Mitume ktk zama hizi.
Nilifatilia namna Hawa Weupe walivyoungana,kwa kithibitisha fatilia hata mikutano mingi ya Trump walijaa Hawa ngozi nyeupe.
Naona imekuuma sana.Mwanamke kuwa rais wa USA sahauWamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.