Mshindi atapatikana saa nane na nusu usiku.
 
Hatimaye kuna tetesi nimepenyezewa kwamba Bwana Mwabukusi pamoja na figisu alizofanyiwa amewashinda washindani wake

Mbinu walizotumia kumzuia japo ziligonga mwamba
1. Walisema karatasi za kupigia kura asubuhi ziliisha, hivo uchaguzi ukasimama.
2. Polisi wakaingilia kati.
3. Wakati wa jioni kuna kura zenye kupigiwa kwa Mwabukusi zilikuwa zimetupwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…