Hivi wewe ni mtu wa tetesi kweli? Wewe tunajua una habari za uhakika. Hakuna tetesi hapo
 
CWT jifunzeni sasa kupitia TLS

Hawa CWT wakipandishwa treni, tayari wanaipigia chapuo CCM

02 August 2024

SAFARI ya WALIMU 1000+ KWENYE TRENI ya UMEME DAR HADI MORO - WAMPA MAUA RAIS SAMIA...


View: https://m.youtube.com/watch?v=_JJdwfkqDjAKatika kuunga mkono juhudi zilizofanywa na serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan za ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR pamoja na kukuza utalii kupitia Royal Tour, Benki ya DCB imedhamini safari ya walimu zaidi ya 1000 kutumia treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro na kisha Mikumi ili kukuza utalii wa ndani na kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…