Inawezekana. Naona watu wanasahau uhuru wetu unapatikana kwa majadiliano sio ubabe
 
Ngoja Pascal Mayalla atuthibitishie
 
Mimi ninakukubali!! Huwa hukosegi
 
Kwanini mna matumaini sana na huyo mtu? Nawapa pole sana. Alikuwepo Lissu, alifanya nini la maana ? Hasa huyo jamaa naona tu ni wale wale wachumia tumbo.... anyways, lakini afadhali yeye
 
Hakuna cha ajabu Mwabukusi kushinda! Maajabu ni asiposhinda.

Kwani wewe ulimwona mtu anayeimudu hiyo nafasi kwa sasa zaidi ya Mwabukusi?
 
Alikuwepo Lissu, alifanya nini la maana ?

Mwabukusi atakuwa rais kwa miaka 3, CCM mlichagiza wenyewe badala ya kuwa urais wa TLS kuwa wa mwaka mmoja CCM wakitumai kibaraka awekwe TLS.

Wakili msomi Boniface Mwabukusi urais wake TLS utakuwa kuanzia mwaka huu 2024 - hadi 2027 kipindi kizuri wadau wa demokrasia TLS kuunga mkono pressure ya kuelekea uchaguzi mkuu uwe huru 2024 / 2025
 
β™»οΈπŸ™βœ¨οΈβœ¨οΈπŸ™πŸ™πŸ™πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…