Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

Msilete uhuni wenu hapa, mamilioni yote ya Fedha za Ruzuku mlipeleka wapi? Zipo wapi fedha za michango ya wabunge wenu? Zipo wapi fedha za join the chain? Zipo wapi na kwa Nani fedha alizotoa sabodo? Kwanini mnakuwa matapeli kiasi hicho?
 
Kwanza unajua sheria ya ruzuku Kwa vyama vya siasa? Tuanzie hapo kwanza
 
Si unaona namna manachama ya Chadema mlivyovurugwa akili zenu? Yaani kichwani mmebaki hewa tu[emoji1787][emoji1787] mnatukana Hadi midomo yenu inanuka utafikiri mmeoza
Acha kujipendekeza fanya kazi halal na sio kulamba matako ya wanasiasa.
Shida kila anayekosoa upumbavu Kama huu basi ni chadema.
Ajabu utakuta na wewe ni kijana kabisa na una ndoto ya kutoboa maisha kupitia kulamba makalio ya wanasiasa.

Nasema hivi tafuta kazi halali kijana ,huko kuvaa vaa matishert na maskafu ya ccm huo ni upungufu wa akili kichwani ,.

Mnamaliza vyuo badala elimu iwakomboe bado mnabaki kwenye utumwa wa kujipendekeza Kama Malaya wa bar kwa wateja wao
 
Mimi nipo shambani naendelea na kulima na kumshukuru mh Rais mama Samia kwa upendo wake kwetu wakulima kwa kutupatia mbolea za Ruzuku na soko la uhakika kwa mazao yetu. Wakulima tunasema kwa kauli moja kuwa Ni Samia mpaka 2030
 
Kwanza unajua sheria ya ruzuku Kwa vyama vya siasa? Tuanzie hapo kwanza
Punguza njaa we km .
Mwanaume kabisa unaacha namba za simu mitandaoni ili Nani akupigie na akikupigia ili umpe Nini?
Acha umalaya wa kisiasa ,huko ni kijiuza kinamna ,wanaume wanatoa ujumbe hawaachi namba Kama wewe ,kuacha namba maana yake we ni Malaya wa kisiasa unataka wakutafute wakuhonge chochote alafu unajiita mzalendo ,pumbavu kabisa
 
Kwanza unajua sheria ya ruzuku Kwa vyama vya siasa? Tuanzie hapo kwanza
Hiyo sheria ndio iliwapa uhalali wa kutafuna mamilioni mliyokuwa mnapokea kuanzia 2015-2020 mlipokuwa na wabunge wengi?
 
Si unaona namna machadema mlivyo athirika kisaikolojia? Muda wote mnatukana tuu utafikiri mmeopolewa kwenye maji taka kwa namna mnavyonuka matusi midomo yenu
 
Mimi nipo shambani naendelea na kulima na kumshukuru mh Rais mama Samia kwa upendo wake kwetu wakulima kwa kutupatia mbolea za Ruzuku na soko la uhakika kwa mazao yetu. Wakulima tunasema kwa kauli moja kuwa Ni Samia mpaka 2030
Sasa Kama upo shambani manamba ya simu unayaacha ya Nini hapa jukwaani Kama sio umalaya Malaya tu unaokusumbua ?

Kwahiyo unahisi ni wewe tu uliyefikiwa na Samia ,wewe tu ndie umepata mbolea ya ruzuku ,wewe tu ndie unampenda Samia wengine hatumpendi.

Narudia kusema huo ni umalaya wa wazwaz ,siasa za kujipendekeza zinawavua nguo hamna uzalendo wowote Zaid ya njaa tu
 
Si unaona namna machadema mlivyo athirika kisaikolojia? Muda wote mnatukana tuu utafikiri mmeopolewa kwenye maji taka kwa namna mnavyonuka matusi midomo yenu
Sasa kwa taarifa yako lazima uchanwe ili ujue wewe ni kijana Malaya wa kisiasa Mimi sipo ccm Wala chadema na namkubali Sana raisi Samia na akigombea nitampa kura yangu.
Swala hapa acha njaa za kipuuz kuacha namba kwenye mitandao au unajiuza mwenzetu ,tuambie tukutafutie soko huko dm
 
Sasa Kama umefikiwa na kazi kubwa na yakutukuka ya mh Rais wetu mama Samia kwanini unatukana matusi hovyo Kama mtu aliyechanganyikiwa akili? Au haupo sawa kichwani?
 
Nafurahi kuona kuwa unamkubalai mh Rais na kuwa utampa Kura yako. Sasa mimatusi unayotukana Kama mtu aliyezidiwa na pombe ya Nini? Mbona huna adabu? Mbona unakuwa Kama mtu ambaye amekosa malezi ya wazazi? Ulipata malezi ya wazazi kweli wewe? Ulikulia kwa wazazi wako? Nani aliyekulea katika udogo wako?
 
Si unaona namna machadema mlivyo athirika kisaikolojia? Muda wote mnatukana tuu utafikiri mmeopolewa kwenye maji taka kwa namna mnavyonuka matusi midomo yenu
Mzalendo gani we mavi mavi tu .
Nyie ndio wasaka tonge mkipata tuvyeo mnakuwa mifisadi ya kutupwa .

Mshagundua njia ya kujipenyeza ccm ili mpate ulaji ,Et Mimi kijana mzalendo na no ya simu unaacha ,pumbavu zako ,washamba km nyie lazima tuwazuie kwa nguvu zote .
Vijana wazalendo wapo chamani na wanajulikana kwa matendo yao mbele ya viongozi wao sio nyie mbwa mnaoshinda mitandaoni kusifia ili viongoz wawaone km ni wazalendo.
 
Hiyo sheria ndio iliwapa uhalali wa kutafuna mamilioni mliyokuwa mnapokea kuanzia 2015-2020 mlipokuwa na wabunge wengi?

Kwanza unajua hiyo sheria?

Siwez kudebate na mtu ambae hajui hata sheria ndogondogo tu

Na unajua kila Mbunge mmoja ni sawa na % ngapi ya ruzuku?

Kama hujui basi nenda kaendelee na kulima
 
Sasa Kama umefikiwa na kazi kubwa na yakutukuka ya mh Rais wetu mama Samia kwanini unatukana matusi hovyo Kama mtu aliyechanganyikiwa akili? Au haupo sawa kichwani?
Wewe ndie umechanganyikiwa vipi ni wangapi wanaweka mawasiliano yao peupe hapa jf ?
Punguza ujanja ujanja ,fanya kaz kwa vitendo viongozi watakuona tu ,ila huu uhuni uhuni wa kuja mitandaoni na kuacha no za simu inatupa waswas tusio na vyama kuwa Hawa mbwa sio wazalendo Bali ni wale wale wez wa rasilimali zetu.
 
Kaka umenitag wrong person

Haha but ujumbe atakuwa amepata
 
Naona kichwa na akili yako vimevurugika na kupoteza mtandao,Mimi nipo naendelea kukujibu vizuri bila hasira maana akili yangu imetulia na kukomaa, vipi umetumia Moshi kichwani
 
Hizi akili za kuamini kiongozi mzuri wa serikali anatoka ndani ya chama ambacho Ni ccm Ni ujuha uliokithiri

CCM pamoja na harakati hizi zote Ni chama pekee kilichounda serikali tangia Mfumo wa vyama vingi uanzishwe katika nchi hii miaka ya 90.
Ni chama ambacho kimezalisha viongozi wasio waadilifu ,Wala rushwa na wasioipenda Tanzania kuliko chama chochote ktk nchi hii.

Ni chama kilichounda serikali ambazo zimeshuhudia utiaji wa saini mikataba mibovu inayoliangamiza Taifa hili mpaka kesho.

Ni chama kilichounda serikali iliyosyindwa kuthibiti mfumuko wa bei, Kuhakikisha wananchi wanakuwa na huduma nzuri za kijamii km afya,maji safi, umeme na Elimu Bora

Leo Chawa Hawa nao wanaohitaji kupata nafasi ili wachumie kwenye matumbo yao wanabaki kusifia uchaguzi ndani ya chama ambacho ndicho Kilichofikisha hapa tulipo.

Ni hatari sana
 
Kwanza unajua hiyo sheria?

Siwez kudebate na mtu ambae hajui hata sheria ndogondogo tu

Na unajua kila Mbunge mmoja ni sawa na % ngapi ya ruzuku?

Kama hujui basi nenda kaendelee na kulima
Nimekuuliza hiyo sheria ndiyo iliwapa mamalaka ya kunywea mapombe pesa za Ruzuku,michango ya Sabodo, pesa za join the chain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…