Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

CCM itaendeleaa kuongoza Daima Milele. Utaipaje Kura chama Kama Chadema kinachoshindia kutafuna pesa Kama mchwa? Chama hata ofisi. Kinashindwa kukarabati?
 
CCM itaendeleaa kuongoza Daima Milele. Utaipaje Kura chama Kama Chadema kinachoshindia kutafuna pesa Kama mchwa? Chama hata ofisi. Kinashindwa kukarabati?
Think out of chadema broo.
Mbona unapambana na chadema sana

Tunahitaji watu huru wasiofungwa na minyororo ya vyama vyao. Toka huko CCM km unataka kuwa mzalendo wa kweli. Ni chama ambacho kina Wala rushwa wengi

Kuwa huru utatoka kijana achana na CCM
 
CCM ndio Tumaini la watanzania,Ndio chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania,Ndio chama kilichobeba Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka
 
Nimekuuliza hiyo sheria ndiyo iliwapa mamalaka ya kunywea mapombe pesa za Ruzuku,michango ya Sabodo, pesa za join the chain?

Tatizo lako umeingia kwenye siasa juzi

Sabodo alitoa sh ngapi? Join the chain inafika milion 200?

Wabunge 50 ruzuku Kwa mwez inafika milion 100?

Endelea kuandika namba yako ya simu uteuliwe udiwani
 
CCM ndio Tumaini la watanzania,Ndio chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania,Ndio chama kilichobeba Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka
Tuambie Sera na ajenda za CCM na ambazo zimetekelezwa 100% bila chembe ya Rushwa
 
CCM ndio Tumaini la watanzania,Ndio chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania,Ndio chama kilichobeba Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka

Mkono wako unakushangaaa hayo unavyoandika
 
We umegombea nafasi gani mkuu?
Au unawapigia debe wenzako + uchawa !

Ova
 
Ukosefu wa maji na mgawo wa umeme umeteka zaidi vinywa vya watu..., Kweli CCM Bibi Lao...
 
We umegombea nafasi gani mkuu?
Au unawapigia debe wenzako + uchawa !

Ova
Nawaunga mkono viongozi wenye uwezo wa kutuvusha na kutuunganisha Kama chama,wenye maono na dira ya kueleweka,wasafi kimaadili na wenye kiu ya maendeleo, wazalendo na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea na watakaoungana na mh Rais wetu katika kuwatumikia watanzania kwa utumishi uliotukuka na wakizalendo kwa kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM
 
Uchaguzi ndani ya Chadema huwa haupo maana mwenye kigoda ndio anajuwa nani awe wapi kwa maslahi mapana ya mradi wake maana chama Ni mradi na Mali yake binafsi wa kuendeshea maisha yake aliorithishwa
 
Tulipo Ni pabaya Sana

Tuna vijana wanaotafuta kujaza matumbo yao na hawafikiri Tanzania ya Baadae. Wanaogopa kusema ukweli wanaoshia kusifia tu

Ndio maana mi sitakagi chama chochote Cha siasa ,naogopa kufungwa na minyonyoro ya kusifia hata ujinga wakati uhalisia nauona.
 
Naona tawi la mtandaoni limeanza kazi rasmi sasa. Ee mola wangu tufumbue macho wanao Tanzania, hizi njaa zinatupeleka pabaya.
 
Uchaguzi ndani ya Chadema huwa haupo maana mwenye kigoda ndio anajuwa nani awe wapi kwa maslahi mapana ya mradi wake maana chama Ni mradi na Mali yake binafsi wa kuendeshea maisha yake aliorithishwa
Kauli za watu walioshikiwa akili na lumumba hizi
 
Kwanini na wewe usigombee?. Ingia field mkuu .
 
Chadema ipi unayoizunguzia wewe? Au hii hii inayoshindwa kupaka hata rangi ofisi zake?

Punguza dharau. CHADEMA haipokei Ruzuku hata kidogo kwa Sasa. Pia haina wabunge Wala madiwani, ukiondoa wachache. Hivyo inapambana yenyewe Kama chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…