Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #81
Nimeuliza hapo juu mkuu kuwa mamilioni ya Ruzuku kuanzia 2015-2020 yalikwenda wapi? Vipi kuhusu 2010-2015 pesa za Ruzuku zilikwenda wapi? Mbona hata rangi tu katika ofisi imekuwa shida kupaka na kuboresha? Vipi pesa za akina Sabodo? Vipi pesa za join the chain? Unafahamu zikikusanywa shilingi ngapi? Unafahamu zipo kwa Nani? Vipi pesa za michango ya wabunge wa chadema ya miaka husika? Zipo wapi?Punguza dharau. CHADEMA haipokei Ruzuku hata kidogo kwa Sasa. Pia haina wabunge Wala madiwani, ukiondoa wachache. Hivyo inapambana yenyewe Kama chama.
Msilete uhuni wenu hapa, mamilioni yote ya Fedha za Ruzuku mlipeleka wapi? Zipo wapi fedha za michango ya wabunge wenu? Zipo wapi fedha za join the chain? Zipo wapi na kwa Nani fedha alizotoa sabodo? Kwanini mnakuwa matapeli kiasi hicho?
Nia ipi hiyo embu itaje, mbona magazetini hujawahi uliza maana yakuweka namba mwisho wa makalaNakushauri mkuu kwa nia njema. Ondoa namba hapo. Maana inaleta tafsiri kwamba una nia nyingine zaidi ya hiyo uliyo nayo.
Nilishaingia na nikafanya kazi ya kutukuka sana katika kata yangu mpaka uchaguzi mkuu wa 2020 nilikuwa mstari wa mbele katika mapambano ya kuhakikisha CCM inapata ushindi wa kishindoooKwanini na wewe usigombee?. Ingia field mkuu .
Hiyo sheria ndio iliwapa uhalali wa kutafuna mamilioni mliyokuwa mnapokea kuanzia 2015-2020 mlipokuwa na wabunge wengi?
Kwani pesa za join the chain mlipeleka lini kwa CAG kukaguliwa? Za sabodo je? Mlipeleka kwa CAG kukaguliwa?Aisee wewe ni mzushi Sana. Hizo fedha zimetafunwaje?. Leta mchanganuo hapa na report ya CAG.
Mimi nipo humu kwa kadri Mwenyezi Mungu atakavyojalia uzima na uhaiTaja hizo milioni na zilitolewa lini?. Umedakia mitandao unaanza kubwabwaja. Umevamia jf kwa spidi na utaondoka kwa spidi. Kumbuka ushauri wa Mzee Mayalla aliokupa siku ile.
Nimekuuliza hiyo sheria ndiyo iliwapa mamalaka ya kunywea mapombe pesa za Ruzuku,michango ya Sabodo, pesa za join the chain?
Nimekuuliza hiyo sheria ndiyo iliwapa mamalaka ya kunywea mapombe pesa za Ruzuku,michango ya Sabodo, pesa za join the chain?
Nia ipi hiyo embu itaje, mbona magazetini hujawahi uliza maana yakuweka namba mwisho wa makala
Mimi nipo humu kwa kadri Mwenyezi Mungu atakavyojalia uzima na uhai
Mimi Ni mkulima na naendelea na kilimoHizo kebehi zakonkwa CHADEMA kwa kutaka kufurahisha watu fulani ili wakuteu zitakutokea puani. Omba mtaji ujitegemee achana na CHADEMA. CHADEMA huiwezi kwa vimaneno vya mitandaoni utakuja kuaibika siku moja.
Nilishaingia na nikafanya kazi ya kutukuka sana katika kata yangu mpaka uchaguzi mkuu wa 2020 nilikuwa mstari wa mbele katika mapambano ya kuhakikisha CCM inapata ushindi wa kishindooo
Mimi Ni mkulima na naendelea na kilimo
Ndio tatizo kubwa la vimbwenelehi, kwa vile vimejiunga JF juzi kwa special assignment basi vinaona havionekani na kutambulika basi vinaweka namba za simu!Taja hizo milioni na zilitolewa lini?. Umedakia mitandao unaanza kubwabwaja. Umevamia jf kwa spidi na utaondoka kwa spidi. Kumbuka ushauri wa Mzee Mayalla aliokupa siku ile.
Nia ipi hiyo embu itaje, mbona magazetini hujawahi uliza maana yakuweka namba mwisho wa makala
CCM itaendeleaa kuongoza Daima Milele. Utaipaje Kura chama Kama Chadema kinachoshindia kutafuna pesa Kama mchwa? Chama hata ofisi. Kinashindwa kukarabati?
Sisi tutapita Kama wanadamu na tutaicha CCM ikiendelea kuongoza Taifa HiliDaima milele unaijua?. Acha kufuru.
CCM ndio Tumaini la watanzania,Ndio chama kilicho na uchungu na maisha ya watanzania,Ndio chama kilichobeba Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania,ndio chama chenye dira na muelekeo unaoeleweka
Sisi tutapita Kama wanadamu na tutaicha CCM ikiendelea kuongoza Taifa Hili
Mimi nitajiweka kwa CCM na Taifa la TanzaniaNimekushauri Kama bwana mdogo. Acha kuweka namba zako hapa jf. Mambo ya siasa yasikie tu. Kumbuka hata huko CCM Kuna makundi, siku makundi yakianza kuraruana sijui utajiweka wapi. Ondoa namba Kama haupo kwaajili ya teuzi.