Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Kwa hoja zile za vichekesho asahau yaani tuache kumchagua mtu mahiri ambaye amefanya kazi kubwa ambayo tumeiona tukamchague mropokaji, mtetezi wa ushoga nk tuache utani..... Mitaa inaimba MAGUFULI - Kala Jeremiah #T2020JPM
Wasalaam, Makamanda,

Kwa Jinsi ninavyoona Tundu Lissu atashinda Uchaguzi Mkuu 2020.
 
Wewe wasema but ukweli lissu ndiyo rais wako ajayeView attachment 1472381
2415843_20200602_120856.jpg
 
Jana nilisema leo wanaccm watajazwa humu mitandaoni kuhakikisha wanapunguza sumu ya hotuba ya Lissu. Na kwakweli hilo liko dhahiri kwa kila mtu kujionea. Pigeni kazi jamani, huyo Lissu ameongea mambo yatakayosumbua sana mbele ya safari.
Huo upuuzi wa kutetea wahujumu uchumi? Yaani serikali inapambana na wahujumu uchumi. Yeye anadai wanaonewa. Huyo hafai hata kutangaza nia. Chadema imekwisha.
 
Huo upuuzi wa kutetea wahujumu uchumi? Yaani serikali inapambana na wahujumu uchumi. Yeye anadai wanaonewa. Huyo hafai hata kutangaza nia. Chadema imekwisha.
Haahaa wahujumu uchumi wepi? Kina lugola?
 
SautiYaMnyonge,
Kazi kubwa ya kuuwa uchumi? Biashara zimefungwa, watu wamepoteza ajira, kampuni zimefunga ofisi na kuamia nchi nyingine? Ndo kazi kubwa uliyofanyika?

Watu kubambikiwa kesi? Hela kuibwa na CAG akihoji anafukuzwa??? Uwanja chato kujengwa bila fedha kupangwa na Bunge?

Kaua mwendokasi wakati ilianza vizuri, kaua kilimo si korosho si mbaazi. Hiyo ndo kazi kubwa au???

Hajapandisha mishahara ya watumishi miaka 5 , je iyo ndo kazi kubwa???
 
Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.

Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.

Jiue tu ukaungane kuzimu na rafikiyo Judas Iscariote aliyejinyonga baada ya kumsaliti Bwana Yesu Kristo.
 
Hakuna shaka kwamba matusi ndiyo mlivyo fundishwa badala ya kujibu hoja kwa hoja, na ukimuona mtu wa aina yako basi ujue kafilisika kisiasa
Nimekwambia hakuna hoja ya kujadili kuhusu huyo tundu sababu ni upumbavu mtupu kuanzia yeye na watu wote wanaomshabikia
 
Nimekwambia hakuna hoja ya kujadili kuhusu huyo tundu sababu ni upumbavu mtupu kuanzia yeye na watu wote wanaomshabikia
Tulia dawa iingie ndugu. Mfundisheni mtu wenu uongozi na kuongea na kujenga hoja. Wala sio tatizo
 
Majibu yote mtayapata Oktoba kikubwa kelele za kuibiwa hatutaki! #T2020JPM
Kazi kubwa ya kuuwa uchumi?? Biashara zimefungwa, watu wamepoteza ajira, kampuni zimefunga ofisi na kuamia nchi nyingine??? Ndo kazi kubwa uliyofanyika??

Watu kubambikiwa kesi??? Hela kuibwa na CAG akihoji anafukuzwa??? Uwanja chato kujengwa bila fedha kupangwa na Bunge???

Kaua mwendokasi wakati ilianza vizuri, kaua kilimo si korosho si mbaazi. Hiyo ndo kazi kubwa au???

Hajapandisha mishahara ya watumishi miaka 5 , je iyo ndo kazi kubwa???
 
Kabisa mkuu ili kuthibitisha hilo pitia kwenye nyuzi mbali mbali juu ya hotuba ya mh Lissu.

Leo hii mataga woote wamepangiwa zamu kuhakikisha kuwa wana haribu michango ya members wote wanao changia kuhusu hotuba ya mh Lissu.
Hakuna anaeharibu hotuba ya huyo tundu ila wanawaelezea wananchi watanzania waelewe zaidi upumbavu wa huyo tundu aliyechanganyikiwa.
Hii nchi sio kichaka cha mashoga na mabeberu
 
Shida mnaitazama tz kifacebook zaidi!

Lisu ni maarufu kwa kikundi kidogo sana mitandaoni
 
Majibu yote mtayapata Oktoba kikubwa kelele za kuibiwa hatutaki! #T2020JPM
Hata Jammeh Gambia alikuwa na wafuasi. Nakuhakikishia maajabu yanaenda kutokea October.

Hofu walikuwa nayo wazee wa CCM ila Lissu amehakikishia kuwa hatolipa kisasi. Ni bora wamkubalie Lissu wana uhakika na usalama wao na mali zao na za watoto wao kuliko kumkubalia mtu anayetishia usalama na maisha ya mali zao na familia zao anayepanga utukufu binafsi ili badae abadili katiba na kujiongezea muda. Usifikiri wazee hawajayaona hayo
 
Pamoja na kwamba Magufuli hafai Urais, Sikuwai kuona kama Lissu anafaa, though tunataka mbadala lakin, Wakipangwa wawili Ntamchagua tu Lisuu kama Nilivyomchagua Magufuli nikamuacha Lowassa,

Hawa wawili wakilinganishwa naona Lissu ana Unafuu kidogo angalau 25% ya sifa za urais anazo
Ungefafanua sifa hizo, bandiko lako lingekamilika zaidi kuliko ulivyoliacha.
Tofauti ya "Asili mia ishirini na tano"? Magufuli na Lissu?

Hapana.

Inapofika mahala mtawala anajitwisha madaraka yote, hadi kukiuka katiba ya nchi, na kuona haki za wananchi zake hazina thamani yoyote..., mtawala huyo bado unamlinganisha na mtu anayetangaza waziwazi kwamba kwake mambo hayo ni chukizo kuu; halafu bado unashindwa kuwapambanua watu hao wawili kwa asili mia kubwa zaidi ya hiyo 25%?

Wewe utakuwa na jambo lako pembeni.

Kuna mambo ambayo siyapendi upande wa Lissu, na nasubiri nisikie ufafanuzi zaidi kutoka kwake kuhusu mambo hayo. Lakini pamoja na kutoafiki hayo, sioni jinsi ninavyoweza kumlinganisha na Magufuli, ambaye pia ana mambo kadhaa ninayoafiki, lakini uzito wake umeondolewa kabisa na mambo ya msingi kabisa aliyoharibu.
 
Back
Top Bottom