Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Huyu mdiye raisi wenu ajaye hutaki nenda kanywe sumu
Kwa maono hayo Iko siku utaota mbawa. Mpe hongera!
Kuna ujanja wa aina fulani. Wanajua hawawezi kupata urais hivyo anasukumiwa mtu ambaye hawezi rudi Bungeni. Wale wenye uwezekano wa kurudi Bungeni, wanajaribu kuomba tena Ubunge. Lissu hapati kitu jimboni sasa naona anasukumiwa urais. Sawa lakini tunataka azungumzie matatizo ya nchi: elimu, uchumi, sayansi, afya, miundombinu, nk. siyo mambo ya risasi zake 30s.