SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Wasalaam, Makamanda,
Kwa Jinsi ninavyoona Tundu Lissu atashinda Uchaguzi Mkuu 2020.
Halafu kwa hiyo akili yako unafikiri nafanyia kazi CCM hehehe! I feel pity for you!
Wewe wasema but ukweli lissu ndiyo rais wako ajayeView attachment 1472381
Yeah ni WaTz wenzangu...halafu pia huwezi kunipangia upande wa kuwa jomba!Wewe ni gamba tu huna njia ya kuwakwepa wenzako kina @ magonjwa Mtambuka na kipara kipya
Huo upuuzi wa kutetea wahujumu uchumi? Yaani serikali inapambana na wahujumu uchumi. Yeye anadai wanaonewa. Huyo hafai hata kutangaza nia. Chadema imekwisha.Jana nilisema leo wanaccm watajazwa humu mitandaoni kuhakikisha wanapunguza sumu ya hotuba ya Lissu. Na kwakweli hilo liko dhahiri kwa kila mtu kujionea. Pigeni kazi jamani, huyo Lissu ameongea mambo yatakayosumbua sana mbele ya safari.
Watanzania wa wapi hao?? Sio kizazi hiki.Hii hii utaona mwenyewe. Hata kama watapewa amri ya kutotangaza ila umma wa watanzania utawalazimisha watangaze
Haahaa wahujumu uchumi wepi? Kina lugola?Huo upuuzi wa kutetea wahujumu uchumi? Yaani serikali inapambana na wahujumu uchumi. Yeye anadai wanaonewa. Huyo hafai hata kutangaza nia. Chadema imekwisha.
Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Nimekwambia hakuna hoja ya kujadili kuhusu huyo tundu sababu ni upumbavu mtupu kuanzia yeye na watu wote wanaomshabikiaHakuna shaka kwamba matusi ndiyo mlivyo fundishwa badala ya kujibu hoja kwa hoja, na ukimuona mtu wa aina yako basi ujue kafilisika kisiasa
Hata siku moja usidharau mtu unayemnyanyasa huku anakutizama tuWatanzania wa wapi hao?? Sio kizazi hiki.
Tulia dawa iingie ndugu. Mfundisheni mtu wenu uongozi na kuongea na kujenga hoja. Wala sio tatizoNimekwambia hakuna hoja ya kujadili kuhusu huyo tundu sababu ni upumbavu mtupu kuanzia yeye na watu wote wanaomshabikia
Kazi kubwa ya kuuwa uchumi?? Biashara zimefungwa, watu wamepoteza ajira, kampuni zimefunga ofisi na kuamia nchi nyingine??? Ndo kazi kubwa uliyofanyika??
Watu kubambikiwa kesi??? Hela kuibwa na CAG akihoji anafukuzwa??? Uwanja chato kujengwa bila fedha kupangwa na Bunge???
Kaua mwendokasi wakati ilianza vizuri, kaua kilimo si korosho si mbaazi. Hiyo ndo kazi kubwa au???
Hajapandisha mishahara ya watumishi miaka 5 , je iyo ndo kazi kubwa???
Kwani huoni akina Harbinder Seth na mwenzake? Leo Lissu anasema wanaonewa. Amechemka sana.Haahaa wahujumu uchumi wepi? Kina lugola?
Hakuna anaeharibu hotuba ya huyo tundu ila wanawaelezea wananchi watanzania waelewe zaidi upumbavu wa huyo tundu aliyechanganyikiwa.Kabisa mkuu ili kuthibitisha hilo pitia kwenye nyuzi mbali mbali juu ya hotuba ya mh Lissu.
Leo hii mataga woote wamepangiwa zamu kuhakikisha kuwa wana haribu michango ya members wote wanao changia kuhusu hotuba ya mh Lissu.
Hata Jammeh Gambia alikuwa na wafuasi. Nakuhakikishia maajabu yanaenda kutokea October.Majibu yote mtayapata Oktoba kikubwa kelele za kuibiwa hatutaki! #T2020JPM
Ungefafanua sifa hizo, bandiko lako lingekamilika zaidi kuliko ulivyoliacha.Pamoja na kwamba Magufuli hafai Urais, Sikuwai kuona kama Lissu anafaa, though tunataka mbadala lakin, Wakipangwa wawili Ntamchagua tu Lisuu kama Nilivyomchagua Magufuli nikamuacha Lowassa,
Hawa wawili wakilinganishwa naona Lissu ana Unafuu kidogo angalau 25% ya sifa za urais anazo
Katumwa na mabeberu πππThreat! How?