Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya Kugombea Urais - Juni 8, 2020

Hotuba ya Lissu imetikisa nchi

Upepo umebadilika ghafla...kesho tutarajie press conference za Lumumba
 
Wakuu upo usemi kwamba Mungu akupi vyote. Aghalabu Wazungumzaji wazuri huwa si watendaji wazuri.

Kwenye ujengaji hoja Lissu yupo vizuri sana lakini ikulu hayahitajiki maneno pekee bali matendo zaidi. Tumpime Lissu kwenye rekodi zake za utendaji na ndio kitu muhimu zaidi.

Unaweza ona Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT kwa kuwa tu anajenga hoja vizuri lakini kumbe nafasi inayomfaa Lissu ni kuwa mshauri tu wa Rais.

Watu wengi waliovizuri mdomoni si watendaji wazuri.

Nawasilisha.
Jambo jema ni kwamba ushakubali kwamba Lissu ni mjengaji hoja mzuri! Na rais anatakiwa awe mjenga hoja!

Utendaji utaachwa kwa PM na watendaji wake!
 
Kwa maono hayo Iko siku utaota mbawa. Mpe hongera!

Kuna ujanja wa aina fulani. Wanajua hawawezi kupata urais hivyo anasukumiwa mtu ambaye hawezi rudi Bungeni. Wale wenye uwezekano wa kurudi Bungeni, wanajaribu kuomba tena Ubunge. Lissu hapati kitu jimboni sasa naona anasukumiwa urais. Sawa lakini tunataka azungumzie matatizo ya nchi: elimu, uchumi, sayansi, afya, miundombinu, nk. siyo mambo ya risasi zake 30s.
 
Wote wameambiwa hauna kutangaza mgombea wa upinzani
Hata wao wamechoka kipi wanafaidika nacho Hali 5 yrs Hakuna nyongeza ya mishahara Wala uhakika wa kulipwa mafao yao.Pia kwa Hali ilivo ngumu hata kukopwa mishahara wataanza Sasa kipi cha kufaidika nacho
 
Uchaguzi ungekuwa wa HURU na HAKI mchuano ungekuwa mkali.

Tume ya uchaguzi - sisimu
Mahakama - sisimu
Vyombo vya dola - (wakuu wa mikoa/wilaya)makada wa sisimu
Wanafaidi na nn kipi cha kufia Hali 5yrs wamenyimwa stahiki zao bado wakishastaafu Hakuna kikotoo kinarudi.plus uwezekano wa kukopwa mishahara ni Mkubwa hela Hakuna.
Watumishi wa umma mkicheza kikokotoo kinarudi Hadi unakufa unadai,shauri yenu.
 
Back
Top Bottom