Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Lisu hawezi kuwa rais..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumuia za kimataifa ziwanyime misaada,mikopo pia endapo uchaguzi hautokuwa huru.Kwanza wanawatukana Sana wanawabagua eti wanawaita mabeberu.Uchaguzi ungekuwa wa HURU na HAKI mchuano ungekuwa mkali.
Tume ya uchaguzi - sisimu
Mahakama - sisimu
Vyombo vya dola - (wakuu wa mikoa/wilaya)makada wa sisimu
Acha ujinga wa ku-bet maisha kwa mambo kama haya, Wewe! Nngekua namjua mzazi wako, ningeungana naye kukuchapa bakora! Watu wanatoa maisha yao kwa mambo ya maana, Wewe unabet???!! Umenikwaza sana!Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Na yeye analijua hilo ameamua kupoteza muda tuLisu hawezi kuwa rais..
Wakuu upo usemi kwamba Mungu akupi vyote. Aghalabu Wazungumzaji wazuri huwa si watendaji wazuri.
Kwenye ujengaji hoja Lissu yupo vizuri sana lakini ikulu hayahitajiki maneno pekee bali matendo zaidi. Tumpime Lissu kwenye rekodi zake za utendaji na ndio kitu muhimu zaidi.
Unaweza ona Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT kwa kuwa tu anajenga hoja vizuri lakini kumbe nafasi inayomfaa Lissu ni kuwa mshauri tu wa Rais.
Watu wengi waliovizuri mdomoni si watendaji wazuri.
Nawasilisha.
Atumie polisi na sio hojaMagufuli atashinda kwa kishindo just watch and learn
Kwa kuwa Tume ya uchaguzi na vyombo vyote vya dola, viko upande wenuMagufuli atashinda kwa kishindo just watch and learn
Kazi tu inajionesha mkuu magufuli anashinda asubui na mapema tena kura zake lazima ziongezeke anaweza pata 90 parcent.Atumie polisi na sio hoja
kawapiga nondo za kutosha leo mmeamua kuhamisha magoliWakuu upo usemi kwamba Mungu akupi vyote. Aghalabu Wazungumzaji wazuri huwa si watendaji wazuri.
Kwenye ujengaji hoja Lissu yupo vizuri sana lakini ikulu hayahitajiki maneno pekee bali matendo zaidi. Tumpime Lissu kwenye rekodi zake za utendaji na ndio kitu muhimu zaidi.
Unaweza ona Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT kwa kuwa tu anajenga hoja vizuri lakini kumbe nafasi inayomfaa Lissu ni kuwa mshauri tu wa Rais.
Watu wengi waliovizuri mdomoni si watendaji wazuri.
Nawasilisha.
Aisee!!Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Aisee!!Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Duu!!Jiue tu utapunguza matumizi mabaya ya oxygen hapa duniani.
Wazungu wanasema It's just the matter of time.Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020.
Lissu ameweza kuelezea kwa kifupi na kueleweka sana hoja zote zilizotikisa kwenye miaka hii Mitano ambazo sio tu Chadema ila hadi CCM na watanzania kwa ujumla zimewagusa sana.
Hakuna ambae hajui kuwa wafanyabiashara wakubwa na wakati wamenyanyaswa sana kwenye kipindi hiki cha miaka Mitano, kwenye hili Lissu kapiga mulemule, hakuna ambayo hajui kuwa awamu ya tano imeharibu sana kwenye uchumi, kilimo na diplomasia, kwenye haya tena Lissu kapiga mulemule.
Alipomaliza Lissu ni pale alipoelezea kwa jinsi gani suala la kuonea watu na kukiuka katiba limekuwa linaumiza watu na hapa tena Lissu amepiga mulemule.
Mwisho kuonesha jinsi gani amekomaa, pamoja na kupigwa risasi 16 amesema amesamehe na hatolipa kisasa. Hapa Lissu kawa sawa na Mandela aliyewasamehe makabulu na Papa John Paul 2 aliye msamehe kijana aliyempiga risasi. Lissu ameonesha amekomaa sio tu kiuongozi ila hata kihekima na busara.
Hotuba ya leo ya Lissu imegusia mambo mengi ikiwemo kurekebisha mfumo wa sheria na vyombo vya ulinzi na usalama ili vifanye kazi kwa weredi. Lissu kusema kweli kumaliza yote.
Ukweli lazima tuseme , Ingawa vyombo vya Habari vya Tanzania ikiwemo Azam , ITV na vingine vikubwa kuogopa hata kurusha Habari ya Lissu kutangaza nia leo. Ila hotuba yale imesikika na imewasisimua watu wengi nikiwemo mie. CCM wametumia mbinu ya kuvitisha vyombo hivi kwa makusudi ila Naona nguvu ya Lissu ni kubwa sana kuliko hujuma dhidi yake.
Itoshe kusema Lissu amethibitisha kuwa anatosha akiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020
Kura yangu anayo akipitishwa na Chadema.
Ushauri kwa Chadema. Isambazeni video ya leo ya Lissu kwenye mitandao mbalimbali kuanzia Insta, Facebook, Twitter na Whatsup’ watu wengi waione maana mkitegemea vyombo vya Habari vya Tanzania vilivyobanw na Ccm mtapoteza.
Jioni Njema!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] critical analysis.Kwa maono hayo Iko siku utaota mbawa. Mpe hongera!
Kuna ujanja wa aina fulani. Wanajua hawawezi kupata urais hivyo anasukumiwa mtu ambaye hawezi rudi Bungeni. Wale wenye uwezekano wa kurudi Bungeni, wanajaribu kuomba tena Ubunge. Lissu hapati kitu jimboni sasa naona anasukumiwa urais. Sawa lakini tunataka azungumzie matatizo ya nchi: elimu, uchumi, sayansi, afya, miundombinu, nk. siyo mambo ya risasi zake 30s.