Pauline rogat
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 339
- 196
Patroot naona na wewe imekutoa jasho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siku zote CCM huwa inashinda kihalali kabisa ndio mana uliona kura za rais zilipungua ingekua wanaweza kuiba wangekua wanashinda kwa asilimia 98 huko.Uchaguzi ungekuwa wa HURU na HAKI mchuano ungekuwa mkali.
Tume ya uchaguzi - sisiemu
Mahakama - sisiemu
Vyombo vya dola - (wakuu wa mikoa/wilaya)makada wa sisiemu
Lissu anatikisa sana nafikiri CCM matumbo moto moto.Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020...
Lissu anatikisa sana nafikiri ccm matumbo moto moto.
ITV na Azam ni local vimeogopa ila international kama BBC na VOA vimerusha kama kawaidaAmani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020...
Too cheap to be boughtLissu ni changamsha genge tu yeye mwenyewe anajua hana sifa za kuwa Rais
Kwa Nchi nyingine lissu alivyoisaliti Nchi angekuwa gerezani
Kwa hiyo unaahauri tubaki mr misifa ambaye anajua mabavu na kulazimisha kupendwa?Wakuu upo usemi kwamba Mungu akupi vyote. Aghalabu Wazungumzaji wazuri huwa si watendaji wazuri.
Kwenye ujengaji hoja Lissu yupo vizuri sana lakini ikulu hayahitajiki maneno pekee bali matendo zaidi. Tumpime Lissu kwenye rekodi zake za utendaji na ndio kitu muhimu zaidi.
Unaweza ona Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT kwa kuwa tu anajenga hoja vizuri lakini kumbe nafasi inayomfaa Lissu ni kuwa mshauri tu wa Rais.
Watu wengi waliovizuri mdomoni si watendaji wazuri.
Nawasilisha.
Siku kukiwa na tume ya uchaguzi tutaona mengi sanaNashangaa sana watu waliotishwa na kahutuba ka lisu, mtoto halali na hela, mwacheni tu ajitutumue ila ukweli anaujua mwenyewe na habari zake tunazo
Mimi kwenye Lisu kushinda au kushindwa, sijali! Maisha yako ni muhimu, acha viapo vya kijinga!Nimebet kuonesha msisitizo. Siyo kuwa simuungi mkono Lissu lahasha. Ila Itakuwa vigumu kushinda. Rejea vizuri hotuba ya Lissu UTANIELEWA.
Katika hotuba yake wewe umeona kazungumzia risasi zake ?Kwa maono hayo Iko siku utaota mbawa. Mpe hongera!
Kuna ujanja wa aina fulani. Wanajua hawawezi kupata urais hivyo anasukumiwa mtu ambaye hawezi rudi Bungeni. Wale wenye uwezekano wa kurudi Bungeni, wanajaribu kuomba tena Ubunge. Lissu hapati kitu jimboni sasa naona anasukumiwa urais. Sawa lakini tunataka azungumzie matatizo ya nchi: elimu, uchumi, sayansi, afya, miundombinu, nk. siyo mambo ya risasi zake 30s.
Thubutuuu. Lisu anaisaidia tu CCM KUWA USHINDI wake ulikuwa na upinzani mkali. Na hivyo kuonekana kuwa uchaguzi ulikuwa wa haki na kikatiba.
Kama atakuwa Rais wa JMT Mimi nitajiua kwa kula sumu siyo kwa jiwe ninalolijua Mimi.
Ni mabeberu. Sio uongo.Jumuia za kimataifa ziwanyime misaada,mikopo pia endapo uchaguzi hautokuwa huru.Kwanza wanawatukana Sana wanawabagua eti wanawaita mabeberu.
We kweli mshumaa. Kwahiyo sisi lugha yetu ya taifa ni kingerezaKiongozi asiyefahamu vizuri lugha ya kingereza huyo sio Rais wa JMT
Kwa maono hayo Iko siku utaota mbawa. Mpe hongera!
Kuna ujanja wa aina fulani. Wanajua hawawezi kupata urais hivyo anasukumiwa mtu ambaye hawezi rudi Bungeni. Wale wenye uwezekano wa kurudi Bungeni, wanajaribu kuomba tena Ubunge. Lissu hapati kitu jimboni sasa naona anasukumiwa urais. Sawa lakini tunataka azungumzie matatizo ya nchi: elimu, uchumi, sayansi, afya, miundombinu, nk. siyo mambo ya risasi zake 30s.
Britannica uraisi ni taasisi sio maamuzi binafsi kama anavyofanya Jiwe kuvunja katiba kila mara. Ukiheshimu katiba na utawala wa sheria utaweza kuwa raisi manake yote unayotekeleza yanakuwa kwenye ilani ya chama husika!Pamoja na kwamba Magufuli hafai Urais, Sikuwai kuona kama Lissu anafaa, though tunataka mbadala lakin, Wakipangwa wawili Ntamchagua tu Lisuu kama Nilivyomchagua Magufuli nikamuacha Lowassa,
Hawa wawili wakilinganishwa naona Lissu ana Unafuu kidogo angalau 25% ya sifa za urais anazo
Ufanano na utofauti wa Magufuli na Lissu kwenye ngazi ya juu ya uongozi wa nchi
Kama ilivyo mtokea yule binti aliyetaka kumpindua Magufuli kwa mitandao. Sijui anaitwa nani yule?Ushindi wa lissu upo mtandaoni.. Vijana wengi ni wazembe wa kupiga kura na wa kwanza kuongea mitandaoni
Hizo kelele unazopiga kuhusu huyo tundu ni humu mitandaoni tu,
ila mitaani kwenye maisha halisi ya watanzania ndio wanajua nani mtendaji na nani mlopokaji kuhusu utendaji serikalini