Sitaki kubishana na wewe mkuu!Utawezaje kuongeza mazao ya mbegu pasipo kupitia maabara? Utawezaje kuongeza uzaliahaji wa.maziwa ya ng'ombe pasipo maabara? Hivi GMO wewe unaielewaje? Neno modified lina maana gani mkuu?
Unaweza ukawa na hoja nzuri,lkn wewe ukaathiriwa na lugha za kifedhuri,nafkiri ni malezi au makuzi,Kuwalinganisha Wawekezaji na Mabeberu ni hoja Muflisi
China unayoiona kuwa ni nchi ya Kikomunisti bila kufungua uchumi wake na kuvutia uwekezaji leo hii ingeendelea kuwa hohehahe.
Cha msingi uzungumzie uwekezaji wenye Tija na kuhakikisha tunanufaika na uwekezaji huo
Hata huyo Magufuli unayemsema, aliunda wizara ya Uwekezaji na aksiaeka chini ya Ofisi ya Rais akiamini kuwa kwa kufanya hivyo atasaidia kuondoa vikwazo vya uwekezaji nchini.
Halafu mada yako inaturudisha kwenye mijadala ya Kiitikadi ya twende na Ujamaa au Ubepari.
Ujamaa ulishamshinda Nyerere unataka turudi hukohuko kwenye kufeli?
Na huyo Magufuli wako hakuwa mjamaa, alikuwa ni authoritarian tu
Sasa kama Nyerere alishindwa umewahi kujiuliza alishindwaje wakati nchi ina viwanda, ndege zake, miradi ya Uzalishaji Umeme n.k lakini toka Mwinyi hadi JK hatukuwa na ndege hata moja ikiruka? Hatukuwa na kiwanda zaidi ya Mengi na Bakhresa yaani miaka 30 tuna matajiri wawili wenye viwanda vikubwa nchi nzima wengine wote Matapeli. ATC, Reli ya kati, reli ya Kasikazini vimekufa barabara zote za vumbi isipokuwa Dar. Au umesahau list ya Mafisadi Papa aloisoma Mengi. Nikukumbushe kitu hivi Magufuli kawezaje kurudisha uhai wa vitu vyote kwa kutumia zaidi pato la kodi zetu? Kuna watu wanasema Magufuli aliiba sana fedha. Ebu waulizeni hizo fedha kaziweka benki gani ya ndani au nje? Au kazikwa nazo! Bila shaka hawana jibu..Mkuu, huo Ujamaa wa Mwafrika unavutia sana kinadharia. LAKINI kiuhalisia (practically) hautekelezeki. Mwalimu aligundua hilo mwanzoni mwa 1980s akaamua kuachia madaraka kwa AHM 1985 akiridhia afuate mwelekeo mpya kunusuru Taifa. Yeye binafsi alichelea kugeuka “Jiwe”!
Tatizo kubwa ni kuwa huo ujamaa ukishindwa na kuanza kutoa athari hasi, viongozi huzidisha propaganda na utawala wa kiimla huku wakizima uwazi na kutumia muda na rasilimali nyingi kupambana na mawazo mbadala (dissent). Ndio maana leo hii tunaongea kuhusu kurejesha muafaka wa kitaifa.
Dira na Mwelekeo alochukua!Kwa maoni yako,mpaka sasa amekosea au anakosea wapi...?
Naheshimu maoni yako.Dira na Mwelekeo alochukua!
Tatizo.lenu nyote ni kutosoma Katiba na Sheria. Kama Sheria ya Mitandao imepitishwa na Bunge, mlitegemea yeye aachie tu watu wafanye wanavyotaka kwa sababu mnataka kutukana? Upinzani walitakiwa kupigania sheria hiyo iondolewe lakini badala ya kuipinga Sheria, wao wakapingana na Utekelezaji wa sheria na rais ilihali Sheria ipo Kikatiba. Huoni kama Uzwazwa huo, mimi nitapigana na Sera za Uwekezaji sina tatizo na Mama Samia. Akichukua mkondo wa Magufuli nitampa support zangu 100% lakini hili la Wachina sijui wajenge Bandari, wapewe Masharti rahisi waje kuwekeza? Hell no China kuna mapori kibao wakawekeze kwao, sisi tutaenda kununua huko huko Porini walikowekeza..Labda kamaanisha " mfano mbaya"!
Ndugu yangu asante mno mno kwa uchambuzi makini. Mimi nafarijika sana kuona wapo Watanzania (nikiwemo) ambao tunajiepusha na ushangiliaji wa kitumwa.Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen.
Nina hakika siku ya leo tutasikia SIFA kemkem za mafuta ya tin na zaitun zitamiminika kupamba na kusifia hotuba ya rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa sababu imewagusa watu wote katika mazingira tofauti katika mwelekeo mpya wa dira ya Awamu hii ya sita ikitekeleza kauli mbiu ya KAZI IENDELEE.
Mimi binafsi, niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa sii mshabiki wa rais Mama Samia Suluhu Hassan toka hotuba yake ya kwanza alipo apishwa kama rais wa Awamu ya sita. Huu ndio ukweli wangu! Na sababu zangu ni ndogo kabisa, nilimsoma toka mwanzo mwelekeo na Dira yake Kitaifa, dira ambayo Kiitikadi, mimi sii muumini wake na hupingana na nadharia zinazofungamana zaidi na UBEPARI badala ya UJAMAA wa Mwafrika.
Hivyo unaponisoma hapa ni muhimu Uzingatie kuwa mimi ni muumini wa UJAMAA wa Mwafrika na naamini Maendeleo ya Tanzania yataletwa na WATANZANIA wenyewe badala ya WAWEKEZAJI kutoka nje. Imani ya kwamba maendeleo yetu yanahitaji kuweka masharti rahisi ili kuvutia Wawekezaji ni sawa na fikra za.Kitumwa za Mababu zetu walokubali kupewa na wakoloni Shanga na vilemba ili tupendeze huku wagenu wakiondoka na madini mali ghafi na nyara zetu za Kitaifa.
Niseme wazi kwamba binafsi yangu naiona tofauti kubwa sana baina ya Hayati rais wa awamu ya Tani John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan na kwamba hawa sii kitu kimoja hata kidogo. Tofauti zinazotokana na ahadi za mabadiriko makubwa ya SERA na SHERIA ambazo Chama cha Mapinduzi na Hayati Magufuli walizitumia kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi wa mwaka 2020. Niseme kwa nini nasema hivi?
Haina Shqka kabisa, Hayati Magufuli alikuwa rais anayepigania maslahi ya Wananchi Wanyonge kwa maana ya Watanzania Maskini dhidi ya Wawekezaji Mabeberu tofauti kabisa na Dira na Mwelekeo wa Mama Samia anayetazama zaidi viwashwishi kwa maslahi ya WAWEKEZAJI pamoja na dhana ya UKUONGEZA UZALISHAJI wa Mazao kwa WINGI zaidi (Quantity) badala ya fikra za Magufuli kudhamiria Kuanzisha viwanda vya ndani ili Kuongeza thamani ya Mazao yetu ya Asili yalokuwa BORA zaidi (Quality).
Nimalizie tu kwa kusema, rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan awe makini sana na dhana hizi, kwani hatukuanza jana wala juzi. Tulifuata mrengo ule toka wakati wa Rais Ally Hassan Mwinyi, akaja Mh. Benjamin Mkapa na Mwishowe mstaafu Jakaya Kikwete, na kote huko nyuma tulifanya makosa mengi sana kwa dhana ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Biashara. Matokeo yake tukaunda Matabaka ya Walionacho na wasiona nacho baina ya Wainanchi wenyewe. Ndipo Ufisadi na rushwa viliposhamiri kwani hapana alotaka kubakia katika kundi la wasionacho (Maskini)
Maoni ya rais kuhusu matumizi ya mbinu za kisasa katika Kilimo, kuna hatari kubwa ya nchi yetu kurudi kutawaliwa tena Kiuchumi kutokana na ujio wa mbegu za maabara ambazo zitaondoa kabisa rutuba ya Ardhi yetu, ubora wa mbegu zetu (Organic) na kubwa zaidi kumikilisha Mashirika ya nje nguzo za Uchumi wetu Kitaifa.
Maasalaam,
- Ramadhan Kareem
Kwakweli na mimi niseme wazi, napenda diplomacy ya mama kabisaaa kwa dhati ya moyo, ila itikadi yake naitilia shaka sana.Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen.
Nina hakika siku ya leo tutasikia SIFA kemkem za mafuta ya tin na zaitun zitamiminika kupamba na kusifia hotuba ya rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa sababu imewagusa watu wote katika mazingira tofauti katika mwelekeo mpya wa dira ya Awamu hii ya sita ikitekeleza kauli mbiu ya KAZI IENDELEE.
Mimi binafsi, niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa sii mshabiki wa rais Mama Samia Suluhu Hassan toka hotuba yake ya kwanza alipo apishwa kama rais wa Awamu ya sita. Huu ndio ukweli wangu! Na sababu zangu ni ndogo kabisa, nilimsoma toka mwanzo mwelekeo na Dira yake Kitaifa, dira ambayo Kiitikadi, mimi sii muumini wake na hupingana na nadharia zinazofungamana zaidi na UBEPARI badala ya UJAMAA wa Mwafrika.
Hivyo unaponisoma hapa ni muhimu Uzingatie kuwa mimi ni muumini wa UJAMAA wa Mwafrika na naamini Maendeleo ya Tanzania yataletwa na WATANZANIA wenyewe badala ya WAWEKEZAJI kutoka nje. Imani ya kwamba maendeleo yetu yanahitaji kuweka masharti rahisi ili kuvutia Wawekezaji ni sawa na fikra za.Kitumwa za Mababu zetu walokubali kupewa na wakoloni Shanga na vilemba ili tupendeze huku wagenu wakiondoka na madini mali ghafi na nyara zetu za Kitaifa.
Niseme wazi kwamba binafsi yangu naiona tofauti kubwa sana baina ya Hayati rais wa awamu ya Tani John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan na kwamba hawa sii kitu kimoja hata kidogo. Tofauti zinazotokana na ahadi za mabadiriko makubwa ya SERA na SHERIA ambazo Chama cha Mapinduzi na Hayati Magufuli walizitumia kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi wa mwaka 2020. Niseme kwa nini nasema hivi?
Haina Shqka kabisa, Hayati Magufuli alikuwa rais anayepigania maslahi ya Wananchi Wanyonge kwa maana ya Watanzania Maskini dhidi ya Wawekezaji Mabeberu tofauti kabisa na Dira na Mwelekeo wa Mama Samia anayetazama zaidi viwashwishi kwa maslahi ya WAWEKEZAJI pamoja na dhana ya UKUONGEZA UZALISHAJI wa Mazao kwa WINGI zaidi (Quantity) badala ya fikra za Magufuli kudhamiria Kuanzisha viwanda vya ndani ili Kuongeza thamani ya Mazao yetu ya Asili yalokuwa BORA zaidi (Quality).
Nimalizie tu kwa kusema, rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan awe makini sana na dhana hizi, kwani hatukuanza jana wala juzi. Tulifuata mrengo ule toka wakati wa Rais Ally Hassan Mwinyi, akaja Mh. Benjamin Mkapa na Mwishowe mstaafu Jakaya Kikwete, na kote huko nyuma tulifanya makosa mengi sana kwa dhana ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Biashara. Matokeo yake tukaunda Matabaka ya Walionacho na wasiona nacho baina ya Wainanchi wenyewe. Ndipo Ufisadi na rushwa viliposhamiri kwani hapana alotaka kubakia katika kundi la wasionacho (Maskini)
Maoni ya rais kuhusu matumizi ya mbinu za kisasa katika Kilimo, kuna hatari kubwa ya nchi yetu kurudi kutawaliwa tena Kiuchumi kutokana na ujio wa mbegu za maabara ambazo zitaondoa kabisa rutuba ya Ardhi yetu, ubora wa mbegu zetu (Organic) na kubwa zaidi kumikilisha Mashirika ya nje nguzo za Uchumi wetu Kitaifa.
Maasalaam,
- Ramadhan Kareem
Ndugu yangu, kwa wazungu hicho kinachoitwa "diplomasia ya uchumi" kinamaanisha wewe kutoa malighafi ziende kwao na wewe uwe mpokezi wa "finished products" kutoka kwao ikiwemo mitumba.Naheshimu maoni yako.
Ila kwa mtazamo wangu ambao unazingatia wakati tulionao sasa diplomasia ya uchumi lazma ipewe kipau mbele,hivyo kwa mwelekeo aliouchukua naona yuko sahihi...
Naunga mkono hoja ya kudhibiti mbegu za njeKwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen.
Nina hakika siku ya leo tutasikia SIFA kemkem za mafuta ya tin na zaitun zitamiminika kupamba na kusifia hotuba ya rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa sababu imewagusa watu wote katika mazingira tofauti katika mwelekeo mpya wa dira ya Awamu hii ya sita ikitekeleza kauli mbiu ya KAZI IENDELEE.
Mimi binafsi, niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa sii mshabiki wa rais Mama Samia Suluhu Hassan toka hotuba yake ya kwanza alipo apishwa kama rais wa Awamu ya sita. Huu ndio ukweli wangu! Na sababu zangu ni ndogo kabisa, nilimsoma toka mwanzo mwelekeo na Dira yake Kitaifa, dira ambayo Kiitikadi, mimi sii muumini wake na hupingana na nadharia zinazofungamana zaidi na UBEPARI badala ya UJAMAA wa Mwafrika.
Hivyo unaponisoma hapa ni muhimu Uzingatie kuwa mimi ni muumini wa UJAMAA wa Mwafrika na naamini Maendeleo ya Tanzania yataletwa na WATANZANIA wenyewe badala ya WAWEKEZAJI kutoka nje. Imani ya kwamba maendeleo yetu yanahitaji kuweka masharti rahisi ili kuvutia Wawekezaji ni sawa na fikra za.Kitumwa za Mababu zetu walokubali kupewa na wakoloni Shanga na vilemba ili tupendeze huku wagenu wakiondoka na madini mali ghafi na nyara zetu za Kitaifa.
Niseme wazi kwamba binafsi yangu naiona tofauti kubwa sana baina ya Hayati rais wa awamu ya Tani John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan na kwamba hawa sii kitu kimoja hata kidogo. Tofauti zinazotokana na ahadi za mabadiriko makubwa ya SERA na SHERIA ambazo Chama cha Mapinduzi na Hayati Magufuli walizitumia kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi wa mwaka 2020. Niseme kwa nini nasema hivi?
Haina Shqka kabisa, Hayati Magufuli alikuwa rais anayepigania maslahi ya Wananchi Wanyonge kwa maana ya Watanzania Maskini dhidi ya Wawekezaji Mabeberu tofauti kabisa na Dira na Mwelekeo wa Mama Samia anayetazama zaidi viwashwishi kwa maslahi ya WAWEKEZAJI pamoja na dhana ya UKUONGEZA UZALISHAJI wa Mazao kwa WINGI zaidi (Quantity) badala ya fikra za Magufuli kudhamiria Kuanzisha viwanda vya ndani ili Kuongeza thamani ya Mazao yetu ya Asili yalokuwa BORA zaidi (Quality).
Nimalizie tu kwa kusema, rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan awe makini sana na dhana hizi, kwani hatukuanza jana wala juzi. Tulifuata mrengo ule toka wakati wa Rais Ally Hassan Mwinyi, akaja Mh. Benjamin Mkapa na Mwishowe mstaafu Jakaya Kikwete, na kote huko nyuma tulifanya makosa mengi sana kwa dhana ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Biashara. Matokeo yake tukaunda Matabaka ya Walionacho na wasiona nacho baina ya Wainanchi wenyewe. Ndipo Ufisadi na rushwa viliposhamiri kwani hapana alotaka kubakia katika kundi la wasionacho (Maskini)
Maoni ya rais kuhusu matumizi ya mbinu za kisasa katika Kilimo, kuna hatari kubwa ya nchi yetu kurudi kutawaliwa tena Kiuchumi kutokana na ujio wa mbegu za maabara ambazo zitaondoa kabisa rutuba ya Ardhi yetu, ubora wa mbegu zetu (Organic) na kubwa zaidi kumikilisha Mashirika ya nje nguzo za Uchumi wetu Kitaifa.
Maasalaam,
- Ramadhan Kareem
Ujamaa haujawahi kuwa na faida yeyote ile kwa wanainchi zaidi ya kuzalisha wazembe na wavivu (kifikra na kiutendaji). Magufuli mwenyewe kachemka na ujamaa wake. Unamwita mtetezi wa wanyonge! really? really?. Wanyonge gani ambao wanapapiganiwa ilihali watoto (wanafunzi) zao wanaendelea kukaa chini kwenye vumbi? Wanyonge gani ambao wanapiganiwa ilihali bei ya bidhaa zinazogusa wanyonge zilikuwa zikipanda bei kila kukicha (mfano, mafuta ya kula na sukari).Lakini Hayati rais Magufuli na mwelekeo mpya wa CCM tumeona mafanikio ya Ujamaa. Sisi wenyewe tuliishi Kijamaa zamani.
Shukran Mkuu labda niwashtue Watanzania kwa.mfano mmoja tu.Ndugu yangu asante mno mno kwa uchambuzi makini. Mimi nafarijika sana kuona wapo Watanzania (nikiwemo) ambao tunajiepusha na ushangiliaji wa kitumwa.
Hotuba ya jana ya Rais imeegemea mno nguzo zilizojishikiza kwa wengine. Ni kana kwamba Watanzania hawawezi kuwa na jawabu la utatuzi wa changamoto zao, na badala yake majibu yatatoka nje ya sisi. Kwa heshima naikataa dhana hiyo kwa nguvu zote.
Nilifarijika alipozitaja taasisi zetu za ndani akilenga kuzijengea uwezo wa kuzalisha mbegu zetu ili kuondoa upungufu wa mbegu za mazao nchini ambapo alionesha kuwa TARI na ASA zitaongezewa uwezo.
AGALIZO: - katika kufanya hayo anapaswa kujua kuwa wengi wa watafiti kutoka taasisi hizo ni MAWAKALA WAAMINIFU wa makampuni makubwa ya mbegu ambayo pia yanamiliki teknolojia ya uzalishaji wa mbegu zilizofanyiwa uhandisi-jeni (GMOs). Suala la chakula ni jambo nyeti na linahitaji umakini wa kutosha. Tusisahau chakula ,inaweza kutumika kama silaha (food weapon).
Ni sharti tuongeze mshikamano na sote tuseme kwa kauli moja "TANZANIA IS NOT FOR SALE"'
Ujamaa haujawahi kushindwa ila unashindishwa kwa gharama kubwa ili uonekane haufai. Kisichofaa ni kukopi na kupesti mfumo wa wengine na badala yake uyatafakari mazingira yako kisha uutekeleze ujamaa wako.Ujamaa haujawahi kuwa na faida yeyote ile kwa wanainchi zaidi ya kuzalisha wazembe na wavivu (kifikra na kiutendaji). Magufuli mwenyewe kachemka na ujamaa wake. Unamwita mtetezi wa wanyonge! really? really?. Wanyonge gani ambao wanapapiganiwa ilihali watoto (wanafunzi) zao wanaendelea kukaa chini kwenye vumbi? Wanyonge gani ambao wanapiganiwa ilihali bei ya bidhaa zinazogusa wanyonge zilikuwa zikipanda bei kila kukicha (mfano, mafuta ya kula na sukari).
Hili siyo tatizo kama ndivyo why wao hawatengenezi madini yao? Kwanini wanakuja kwetu kuyatumia kwa technology yao?Wewe kwanza tengeneza internet yako, halafu tengeneza maandishi yako, uache internet ya mabeberu na herufi za mabeberu.
Halafu tuite huko kwenye internet yako ambayo haijatumia teknolojia ya mabeberu tujadili hoja zako za kijima.
Hapo angalau nitakuona uko serious.
Lakini maadam bado unatumia internet ya mabeberu na herufi zao, mimi nakuona mnafiki tu ukiwakataa mabeberu kwa misingi uliyoiandika hapa.
Ama mnafiki, ama mjinga.
Inawezekana kabisa mnafiki mjinga.
Tatizo kuna watu ambao walishatengeneza miradi yao, they never think for the society they think for their own fame and prestige...Hawaamini kwamba tumeshatoka huko...Mh. akileta model kama za Arabic countries okay, za China sawa, za Scandnavia well and good siyo America wala UKShukran Mkuu labda niwashtue Watanzania kwa.mfano mmoja tu.
Sisi tunalima Parachichi za Asili (organic) na zinauzika sana Ulaya na soko ni kubwa sana. Huko Ulaya Parachichi zetu zinauzwa kwa bei mara 3 ya parachichi zinazotoka Amerika ya kusini kwa sababu zao ni za mbegu za Maabara. Lakini basi nia shaka kubwa kama Wakulima wetu wanapewa bei mara 2 au 3 zaidi ya Parachichi za SA. Nachelea kusema sii ajabu kabisa tunapewa bei sawa na za huko South.. Lakini tunaweza.ku negotiate kupandisha bei maana hakuna sokoni mwenye Parachichi kama zetu.
Sasa itokee eti na sisi tuanze kuzalisha kwa wingi sijui na huo Ukulima wa Kisasa, tutakuwa tunashindana na South Amerika maana hakuna tofauti ya ladha, na hakika hatutapata soko tena maana wenzetu wameanza zamani. Tunauza Parachichi zeru nje sio kwa sababu ya wingi bali ni kutokana na ladha ya Uasilia wa zao hilo.
Mkuu.mimi.huwa.sichoki.kutoa darasa maana unazungumza tu kutokana na matango ulolishwa. July mwaka jana Tanzania imeingia Uchumi wa Kati na labda umesahau kuwa Magufuli alipoingia Madarakani Thamani ya Tsh ilikuwa Us Dollar 1 kwa Tsh 2,345. Miaka sita leo nambie Tsh. Inabadilishwa kwa kiasi gani?Ujamaa haujawahi kuwa na faida yeyote ile kwa wanainchi zaidi ya kuzalisha wazembe na wavivu (kifikra na kiutendaji). Magufuli mwenyewe kachemka na ujamaa wake. Unamwita mtetezi wa wanyonge! really? really?. Wanyonge gani ambao wanapapiganiwa ilihali watoto (wanafunzi) zao wanaendelea kukaa chini kwenye vumbi? Wanyonge gani ambao wanapiganiwa ilihali bei ya bidhaa zinazogusa wanyonge zilikuwa zikipanda bei kila kukicha (mfano, mafuta ya kula na sukari).
ASANTE SANA. Hicho ndicho tunachopaswa kufanya, na sio kuiga sera za kiuaji zinazopambwa na media kubwa kama BBC na CNN. Hao huzipigia chapuo sera za kibepari lakini nchi zao zina mafukara wa kutupwa.Tatizo kuna watu ambao walishatengeneza miradi yao, they never think for the society they think for their own firm and prestige...Hawaamini kwamba tumeshatoka huko...Mh. akileta model kama za Arabic countries okay, za China sawa, za Scandnavia well and good siyo America wala UK
Mkandara bwana.Sasa kama Nyerere alishindwa umewahi kujiuliza alishindwaje wakati nchi ina viwanda, ndege zake, miradi ya Uzalishaji Umeme n.k lakini toka Mwinyi hadi JK hatukuwa na ndege hata moja ikiruka? Hatukuwa na kiwanda zaidi ya Mengi na Bakhresa yaani miaka 30 tuna matajiri wawili wenye viwanda vikubwa nchi nzima wengine wote Matapeli. ATC, Reli ya kati, reli ya Kasikazini vimekufa barabara zote za vumbi isipokuwa Dar. Au umesahau list ya Mafisadi Papa aloisoma Mengi. Nikukumbushe kitu hivi Magufuli kawezaje kurudisha uhai wa vitu vyote kwa kutumia zaidi pato la kodi zetu? Kuna watu wanasema Magufuli aliiba sana fedha. Ebu waulizeni hizo fedha kaziweka benki gani ya ndani au nje? Au kazikwa nazo! Bila shaka hawana jibu..
Ndugu yangu kazi kubwa ya mabepari ni kuupotosha ulimwengu kwa kuhakikisha wanaupaka ujamaa kinyesi kwa gharama yoyote. Wanajua kuwa siku kila mtu akijua yaliyomo kwenye ujmaa na dunia ikaongozwa kwa misingi hiyo, itawazibia wao mianya ya uporaji.Mkuu.mimi.huwa.sichoki.kutoa darasa maana unazungumza tu kutokana na matango ulolishwa. July mwaka jana Tanzania imeingia Uchumi wa Kati na labda umesahau kuwa Magufuli alipoingia Madarakani Thamani ya Tsh ilikuwa Us Dollar 1 kwa Tsh 2,345. Miaka sita leo nambie Tsh. Inabadilishwa kwa kiasi gani?
Nikukumbushe pia kwamba toka Mwinyi hadi JK thamani ya Tsh ilikuwa ikishuka kwa asilimia 50 miaka mitano na asilimia 80 kwa miaka 10. Hapo utanambia sababu zipi zilikuwa?
Ujamaa, Ujamaa ni nini? Maana halisi ya Ujamaa ni kuwawezesha wananchi kupata mahitaji yao Muhimu kama Elimu Bure, Afya Bure, kuwasaidia wasojiweza na kiuchumi.kuhakikisha zile Commanding heights zinamilikiwa na Serikali. Nchi za Scandinavia wanafanya hivyo, Canada wanafanya hivyo. Na ranks za kidunia za maisha bora ya raia wake zinaongoza nchi hizo za Kijamaa! Ujamaa sio kila kitu kiwe mikononi mwa Serikali, Laa hasha isipokuwa Priority ya Uwekezaji nchini atatazamwa kwanza raia kwa sababu atawatoa katika Umaskini jamii inayomzunguka..