Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Tanzania imeingia uchumi wa kati ni katika jitihada za watangulizi wake pia (ambao walivutia zaidi wawekezaji-mfano mkapa, na Jk) ujamaa kwa 100% usingetufikisha uchumi wa kati.Mkuu.mimi.huwa.sichoki.kutoa darasa maana unazungumza tu kutokana na matango ulolishwa. July mwaka jana Tanzania imeingia Uchumi wa Kati na
Ujamaa, Ujamaa ni nini? Maana halisi ya Ujamaa ni kuwawezesha wananchi kupata mahitaji yao Muhimu kama Elimu Bure, Afya Bure, kuwasaidia wasojiweza na kiuchumi.kuhakikisha zile Commanding heights zinamilikiwa na Serikali..
Ujamaa haujawahi kushindwa ila unashindishwa kwa gharama kubwa ili uonekane haufai. Kisichofaa ni kukopi na kupesti mfumo wa wengine na badala yake uyatafakari mazingira yako kisha uutekeleze ujamaa wako.
Nchi za Scandnavia na baadhi ya nchi za Latin America zinatekeleza aina yao ya ujamaa na wanenda mbele vizuri.
Wakati tunataka kusema ujamaa haufai, tujiulize ni ubepari upi unafaa. Tulifuata baadhi ya masharti yao ya ubepari wa hovyo, na mwishowe tulikwama sawa-sawa. Tusijidanganye, ni lazima tuwe na itikadi yetu kwa maendeleo yetu, sio vinginevyo.
#TANZANIAISNOTFORSALE"!
Inaonekana amesoma tu GMO kwenye google...Msamehe ndugu yangu...But as experts of this country lazima tusimame kidete bila kigugumizi kuilimda nchi yetu...Sitaki kubishana na wewe mkuu!
Hiyo sera ni ya CHADEMA, watanzania hawakupigia hicho chama kura...Sisi ni serikali ya CCM, siasa yetu ni ujamaa na kujitegemea...Msimpotoshe Mh. Rais na kwenye ujamaa upo wa aina nyingi wa kwetu ni ule wa Mwl Nyerere ukiwa na modification ya Zanzibar ambao ndiyo ule unaofanana na Scandnavia...Hayo mambo ya America corporates pelekeni huko...Tusijeanza kupata hizo hoax companies kama za Dowans etc ambazo usajili hata haujulikani ni wa nchi gani...Tanzania imeingia uchumi wa kati ni katika jitihada za watangulizi wake pia (ambao walivutia zaidi wawekezaji-mfano mkapa, na Jk) ujamaa kwa 100% usingetufikisha uchumi wa kati.
Hiyo impact ya Elimu bure imeiona sasa ivi? Magufuli ametoa elimi bure, vizuri, lakini je, mashuleni huko (hususani shule za kata) hali ikoje?
Je, Magufuli amewasaidia wangapi wasiojiweza? Au ndo wale alokuwa akiwapa maburungutu ya pesa pindi akiwa ziarani? Ndiyo ujamaa huo? Vipi kuhusu wahanga (wanyonge) wa tetemeko bukoba? Aliwasaidia?
Kama ninyi mliishi kwa ujamaa enzi za Nyereree, na uliona uliwasaidia sana, je huo ujamaa unamanufaa kwa nyakati za sasa? (Kwa kuwa mnawaita wawekezaji wa nje mabeberu wanyonyaji).
Unapofanya hizo comparisons compare na assets ambazo zimetengenezwa kupitia hizo...Do not just compare cash...Na kuna mingine ni generational ambayo discounting factor yake ilibidi iwe ndogo ili iweze kuleta tija huko baadayeMkandara bwana.
Hujui kuwa Deni la Taifa chini ya Magufuli limekua kwa rate ya kutisha?
Hujui kuwa ndani ya miaka mitano ya kukaa madarakani, Magufuli kakopa zaidi au kwa kukaribiana na ukopaji wa Kikwete alioufanya ndani ya miaka kumi?
Lakini pamoja na hayo Magufuli katapanya pesa kwenye miradi inayotutia hasara, hiyo ATCL unayoisema, tayari tumeshakula hasara ya Bilion 153 ndani ya miaka mitano na tayari tumeshalipa shirika ruzuku ya bilion 150 ndani ya miaka mitano. Wakati huohuo Shirika bado halina safari zozote za maana nje ya nchi.
Lakini pia kuna miradi mingine isiyo na tija, tumetumia pesa za walipa kodi kuifanya, kwa mfano Ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini Chato wakati makao makuu ya mkoa, yaani Geita hakuna uwanja.
Kufufua reli ya kati bila kutatua tatizo lililofanya reli hiyo ikafa in the first place itaresult kwenye tija ndogo.
Waafrika wanatakiwa kutumia akili na kutoka jasho. Survival of the fittest ina apply kwenye uchumi huru sio ujamaa. Ujamaa unaweza kuwa namna tunvoishi na siyo tunavozalisha. Uzalishaji ni zao la akili na utashi wa binadamu. Aliyezidi akili na utashi atazalisha mara elfu ya asiye na akili za kutosha.Umejitahidi kuchambua japo Uchambuzi wako ni wa Masikini Jeuri, wa kua na Mawazo Makubwa bila ya Uwezo wa Kutenda.
Mama Samiah anataka tufanye tunachoweza kufanya sasa wakati tunaendelea kujenga Uwezo wa kufanya hayo unayoyaelezea.
Tunahitaji Uwekezaji wa Ndani na pia tunahitaji Uwekezaji kutoka nje ili kuendelea kujenga Uwezo wa kujenga Uchumi wa Kujitegemea.
Mkandara bwana.
Hujui kuwa Deni la Taifa chini ya Magufuli limekua kwa rate ya kutisha?
Hujui kuwa ndani ya miaka mitano ya kukaa madarakani, Magufuli kakopa zaidi au kwa kukaribiana na ukopaji wa Kikwete alioufanya ndani ya miaka kumi?
Lakini pamoja na hayo Magufuli katapanya pesa kwenye miradi inayotutia hasara, hiyo ATCL unayoisema, tayari tumeshakula hasara ya Bilion 153 ndani ya miaka mitano na tayari tumeshalipa shirika ruzuku ya bilion 150 ndani ya miaka mitano. Wakati huohuo Shirika bado halina safari zozote za maana nje ya nchi.
Lakini pia kuna miradi mingine isiyo na tija, tumetumia pesa za walipa kodi kuifanya, kwa mfano Ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini Chato wakati makao makuu ya mkoa, yaani Geita hakuna uwanja.
Kufufua reli ya kati bila kutatua tatizo lililofanya reli hiyo ikafa in the first place itaresult kwenye tija ndo
Kuna tofauti kubwa sana.kati ya UJAMAA na UKOMUNISTI.. Nenda Marekani waulize Canada inafuata mrengo gani? Watakwambia Ujamaa.. Sasa wewe sijui uliambiwa na nani kwamba China ilikuwa ikifuata Ujamaa.Kati ya ujamaa na ubebari, angalau ubepari unatija kwa taifa. Hata China yenyewe ilikwisha shtuka mapema kama ingeendekeza ujamaa kwa 100%.
Nakuunga mkono kama ujamaa wa Nyerere ufanyiwe maboresho makubwa ili kukidhi haja ya technologies za sasa, mabadiliko ya kimazingira n.k. Na katika hilo, huwezi kukwepa ushirikiano kutoka kwa mnaowaita "mabeberu" ambao wapo mbali sana kiteknolojia.
Habari za kwamba ujamaa wa Nyerere ndiyo wenye manufaa katika nchi hii, Mimi binafsi siafiki kabisa. Sababu tunaendelea kuzalisha wazembe na wavivu; hata kiteknolojia tutazidi kurudi nyuma zaidi wakati wenzetu wanazidi kusonga mbele.
Kuna tofauti kubwa sana.kati ya UJAMAA na UKOMUNISTI.. Nenda Marekani waulize Canada inafuata mrengo gani? Watakwambia Ujamaa.. Sasa wewe sijui uliambiwa na nani kwamba China ilikuwa ikifuata Ujamaa.
And that is exaclty what they want you to think. Hao hao Wazungu na wanao tafsiri Ujamaa waulize kama wamewahi kuishi katika Ujamaa maana kwao ni theory tu iloandikwa na wasomi. Na cha ajabu Ukichagua Ujamaa wanakupiga vikwazo! So kama Ujamaa ni mbaya kwa nini unawawekea vikwazo? Simple ni kwa sababu Ujamaa unakataa kabisa kutumiwa na kuibiwa. Leo hii ukijenga nyumba yako imezungushiwa Ukuta mrefu, mwizi hatafurahi na zaidi atasema kajifungia kama ng'ombe! Na Mwanamme unayempa hela za.matumizi mkewe, siku akisikia mkewe amepata kazi basi atakata kabisa hata hela ta Chakula nyumbani. Dhamira ni ile.ile kumuona mkewe akiomba fedha na yeye ndiye mfadhili..Nimemaliza nadhaniWaafrika wanatakiwa kutumia akili na kutoka jasho. Survival of the fittest ina apply kwenye uchumi huru sio ujamaa. Ujamaa unaweza kuwa namna tunvoishi na siyo tunavozalisha. Uzalishaji ni zao la akili na utashi wa binadamu. Aliyezidi akili na utashi atazalisha mara elfu ya asiye na akili za kutosha.
Ujamaa katika uzalishaji unawezekana tu kwa kuburuzwa na udikteta na mtutu. Ujamaa ni artificial phenomenon sio reality.
Je unataka kunambia Uongozi wa Magufuli ulikuwa na kasoro zipi katika kutuletea Maendeleo maanake Chama kilijinasibisha na Ujamaa na Kujitegemea.Na hilo ndio tatizo. Walichofanya China na Russia kwa sasa ni kupunguza misimamo ya Kikomunisti (kama ile inayofuatwa Korea Kaskazini) na kujiweka kwenye Ujamaa. Hata Cuba kwa sasa wako kwenye hatua hiyo ya mpito (transition) ili kufanya kama China.
Hiyo sera ni ya CHADEMA, watanzania hawakupigia hicho chama kura...Sisi ni serikali ya CCM, siasa yetu ni ujamaa na kujitegemea... na cash yako uliyonayo
Ujamaa ni nini, ebu tafsiri kwanza kabla hatujafika mbali?Acha utopolo, uchaguzi gani unaouzungumzia? Uchaguzi chini ya vitisho? Uchaguzi gani wa kupika matokeo?
Siasa ya kujitegemea ilikwisha shindwa na itaendelea kushindwa. Katiba imasema "Tanzania ni nchi ya kijamaa", lakini midundo tunacheza ngoma ya kibepari. Ujamaa kwenye makaratasi, lakini si katika uhalisia wa kivitendo.Uchaguzi 2020 - Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org
Unajua mkuu habari za.kusimuliwa na kina Zitto zinaweza kabisa kukupotosha kwa sababu wanachukua figure na kukulisha wakati hawazingatii viashiria vya Ukuaji wa deni la Taifa na matumizi yake.Mkandara bwana.
Hujui kuwa Deni la Taifa chini ya Magufuli limekua kwa rate ya kutisha?
Hujui kuwa ndani ya miaka mitano ya kukaa madarakani, Magufuli kakopa zaidi au kwa kukaribiana na ukopaji wa Kikwete alioufanya ndani ya miaka kumi?
Lakini pamoja na hayo Magufuli katapanya pesa kwenye miradi inayotutia hasara, hiyo ATCL unayoisema, tayari tumeshakula hasara ya Bilion 153 ndani ya miaka mitano na tayari tumeshalipa shirika ruzuku ya bilion 150 ndani ya miaka mitano. Wakati huohuo Shirika bado halina safari zozote za maana nje ya nchi.
Lakini pia kuna miradi mingine isiyo na tija, tumetumia pesa za walipa kodi kuifanya, kwa mfano Ujenzi wa uwanja wa ndege kijijini Chato wakati makao makuu ya mkoa, yaani Geita hakuna uwanja.
Kufufua reli ya kati bila kutatua tatizo lililofanya reli hiyo ikafa in the first place itaresult kwenye tija ndogo.
Utalia wee mpaka uamue kucheka, CCM ni ile ile, iwe kwa HE Samia, the late au next; mpaka sasa hakuna mbadala kubali tu mmeshindwa kuji position vizuri kujenga chama ambacho hata mimi nilikitolea jasho na damu mkavaa ubinafsi na kuanza kulamba viati vya mabeberu...Mmekosa credibility na hamtokaa muitawale nchi hii...Those who know their God shall mount like eagle kumbuka ninayeongea si ongei kwa nadharia hao mabeberu kama ni akili hata zangu zinawahusu na kama nikutumika hata mimi naweza yet you will see what will be the end results...Acha utopolo, uchaguzi gani unaouzungumzia? Uchaguzi chini ya vitisho? Uchaguzi gani wa kupika matokeo?
Siasa ya kujitegemea ilikwisha shindwa na itaendelea kushindwa. Katiba imasema "Tanzania ni nchi ya kijamaa", lakini midundo tunacheza ngoma ya kibepari. Ujamaa kwenye makaratasi, lakini si katika uhalisia wa kivitendo.Uchaguzi 2020 - Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...www-jamiiforums-com.cdn.ampproject.org
Shukran labda nimdokezee jamaa yetu kwamba Air Canada imekuwa bail out na Serikali kwa Canadian dollar Bil.5.9 ambazo ni sawa na Usd Bil. 5. Ebu atueleze kwa nini Serikali ya Canada wamefanya maamuzi hayo badala ya kuachia shirika lifirisike?Unapofanya hizo comparisons compare na assets ambazo zimetengenezwa kupitia hizo...Do not just compare cash...Na kuna mingine ni generational ambayo discounting factor yake ilibidi iwe ndogo ili iweze kuleta tija huko baadaye
Kama hujui miradi aliyoifanya Kikwete basi utakuwa hufuatilii nchi hii inatoka wapi inakwenda wapi!Unajua mkuu habari za.kusimuliwa na kina Zitto zinaweza kabisa kukupotosha kwa sababu wanachukua figure na kukulisha wakati hawazingatii viashiria vya Ukuaji wa deni la Taifa na matumizi yake.
Hivi wewe kama unakaa nyumba ya kupanga unalipa kodi kwa mwezi unatumia mathlan laki 5. Lakini ukaamua unataka.kujenga nyumba. Ukakopa Benki mil. 1 ya Ujenzi. Je, utasema kwamba nimefanya kosa kubwa sana maana sasa hivi nadaiwa mil. 1 pamoja na zile laki 5? Hivi nikuulize ile mikopo ya JK alijenga kitu gani haswa? Lile Daraja la Kigamboni maana nasikia wastaafu wa NSSF wanalia mpaka leo! Au mikopo ilitokana na dawa sio dawa za Ukimwi pamoja na vile vyandarua vya Malaria?!!
Ujamaa ni nini, ebu tafsiri kwanza kabla hatujafika mbali?
Mkuu.mimi.huwa.sichoki.kutoa darasa ?
Ujamaa, Ujamaa ni nini? Maana halisi ya Ujamaa ni kuwawezesha wananchi kupata mahitaji yao Muhimu kama Elimu Bure, Afya Bure, kuwasaidia wasojiweza na kiuchumi.kuhakikisha zile Commanding heights zinamilikiwa na Serikali. Nchi za Scandinavia wanafanya hivyo, Canada wanafanya hivyo.
Unakataa Umangungo wakati rais wako wa sasa kasema ukimpigia kura au usipompigia kura CCM itashinda tu?Hili siyo tatizo kama ndivyo why wao hawatengenezi madini yao? Kwanini wanakuja kwetu kuyatumia kwa technology yao?
What is your point here?
Hakuna anayekataa wawekezaji lakini wasiturudishe kwenye ule uchafu wa ufisadi na power mongering.
Naombeni sana msiturudishe kwenye umangungo, hatutakubali katu asilani, I promise mark my words...This country belong to all of us na lazima kuwe na maridhiano ya pamoja tusiwe dragged tu kama vile we have no say...
Tunatoa tahadhari kwasababu so far we know the aftermath ya hao wawekezaji ambao hawako guided...Kabla hawaja consolidate power na wealth, we shall stand firm to protect our dignity!
Naamini kabisa hii transition itatupa mwelekeo kama nchi, msije mkampoteza Mh. Kwa tamaa za miradi binafsi, hili hatutalikubali please and please come rain come sunshine....
Hapo palikuwa na upungufu binafsi wa mhusika. Naweza pia kusema JPM hakuwa na itikadi rasmi inayoeleweka na badala yake alichokuwa anafanya ni maono na misukumo yake binafsi.Je unataka kunambia Uongozi wa Magufuli ulikuwa na kasoro zipi katika kutuletea Maendeleo maanake Chama kilijinasibisha na Ujamaa na Kujitegemea.