Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah zilizopo mashariki ya kati bali ni ngumu pia kushindwa hata na nchi yoyote ya kiarabu kwa sababu kuu zangu nne hizi hapa
1-Uwezo wa juu wa kiintelijinsia-ni ukweli usiopingika kuwa israel ana timu na kikosi kizuri sana cha intelinjinsi ambacho kinafahamu move iliyopo ya adui wake,lakini pia inafahamu kwa haraka next move ya adui yake,hii inamrahisisha kazi kubwa ya kufanya counter move dhidi ya threat yoyote inayotegemewa ,mfano mzuri wa kujua ufanisi wa inteijinsia ya izraeli ni kupitia matukio mbalimbali ya mashambulizi ya kimkakati yaliyopeleke vifo vya viongozi wakuu/wajuu wa hamas,Hezbollah lakini pia hata shambulio la pagers,ambalo limejeruhi wapiganaji mbalimbali wa Hezbollah utagundua kuwa inteliejinsia ya juu uimetumika
2-Militarily technological advancement –hapa sitaongea sana,kijeshi izrael ana vifaa walau vyote muhimu vya kumuangamiza adui katika uwanja wa vita kuanzia ndege,drone,missile meli vita ,vifaru ,air defence system na silaha nyingine ndogo ndogo wakati upande wa pili sioni kama wana hivyo vifaa zaidi tu kuwa na drones chache (ukitoa iran) na makombora mengi yanayotumwa katika luncher ,sasa katika dunia ya leo ambapo Israel ana iron dome ni ngumu sana kuweza kumdhibiti kwani makombora mengi yanazuiliwa na mfumo wake wa ulizni wa iron dome makombora machance ndo yanaweza kupenetrate,mpaka pale ambapo nchi za kiarabu+ proxies wakiweza kujiimarisha katika air supremacy na air defence system.
Ndiyo walau wanaweza kupigana na IDF kwa sasa hivi tutakuwa tunajidanganya na zaidi vita huwa havina macho na IDF anatumia weakness hiyo ya proxies kuiadhibu nchi nzima kwa ujumla wake,naogopa kuona Lebanon ikienda kufanywa gaza mpya, hivyo kwa nchi hizi za kiarabu kukosa ADS ni ngumu kwao kujilinda wao wenyewe kama wapiganaji lakini pia hata kuwalinda wanachi wao.(ili wafikie walau uwezo wa IDF ni muhimu kwao kujiimarisha katika eneo hilo,wasiwekeze zaidi katika kuwa na makombora tu.
3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-kama inavyofahamika nchi za kiarabu hazina umoja,kila nchi ina maslahi yake na haioni kuwa shida ya mwenzake ni yake ,na hili limefanywa strategically na USA ili wasiweze kuwa na nguvu,kwa mfano Jordan na Saudi Arabia wote wapo against na IRAN, halikadhalika Yemen imeganwanywa vipande viwili kuna sehemu inamuunga mkono saudia na sehemu inamuunga mkono iran,hivyo kukosekana kwa umoja miongoni mwa waarabu kunamfanya Israel ajichagulie nchi moja moja na kuipiga bila ya nchi nyingnie kuingilia kati.
NB: kwa kutoa weakness hizo za nchi za kiarabu haimaanisha kuwa Israel haiwezi kudhurika kabisa itadhurika lakini its very likely atashinda vita at the end nan chi husika itakuwa imeharibiwa vibaya sana,ni muhimu waarabu kujifunza sasa.