Uchambuzi: Kwanini Israel hawezi shindwa vita mashariki ya kati?

Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah zilizopo mashariki ya kati bali ni ngumu pia kushindwa hata na nchi yoyote ya kiarabu kwa sababu kuu zangu nne hizi hapa

1-uwezo wa juu wa kiintelijinsia-ni ukweli usiopingika kuwa israel ana timu na kikosi kizuri sana cha intelinjinsi ambacho kinafahamu move iliyopo ya adui wake,lakini pia inafahamu kwa haraka next move ya adui yake,hii inamrahisisha kazi kubwa ya kufanya counter move dhidi ya threat yoyote inayotegemewa ,mfano mzuri wa kujua ufanisi wa inteijinsia ya izraeli ni kupitia matukio mbalimbali ya mashambulizi ya kimkakati yaliyopeleke vifo vya viongozi wakuu/wajuu wa hamas,Hezbollah lakini pia hata shambulio la pagers,ambalo limejeruhi wapiganaji mbalimbali wa Hezbollah utagundua kuwa inteliejinsia ya juu uimetumika

2-militarily technological advancement –hapa sitaongea sana,kijeshi izrael ana vifaa walau vyote muhimu vya kumuangamiza adui katika uwanja wa vita kuanzia ndege,drone,missile meli vita ,vifaru ,air defence system na silaha nyingine ndogo ndogo wakati upande wa pili sioni kama wana hivyo vifaa zaidi tu kuwa na drones chache (ukitoa iran) na makombora mengi yanayotumwa katika luncher ,sasa katika dunia ya leo ambapo Israel ana iron dome ni ngumu sana kuweza kumdhibiti kwani makombora mengi yanazuiliwa na mfumo wake wa ulizni wa iron dome makombora machance ndo yanaweza kupenetrate,mpaka pale ambapo nchi za kiarabu+ proxies wakiweza kujiimarisha katika air supremacy na air defence system ndio walau wanaweza kupigana na IDF kwa sasa hivi tutakuwa tunajidanganya na zaidi vita huwa havina macho na IDF anatumia weakness hiyo ya proxies kuiadhibu nchi nzima kwa ujumla wake,naogopa kuona Lebanon ikienda kufanywa gaza mpya, hivyo kwa nchi hizi za kiarabu kukosa ADS ni ngumu kwao kujilinda wao wenyewe kama wapiganaji lakini pia hata kuwalinda wanachi wao.(ili wafikie walau uwezo wa IDF ni muhimu kwao kujiimarisha katika eneo hilo,wasiwekeze zaidi katika kuwa na makombora tu.

3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-kama inavyofahamika nchi za kiarabu hazina umoja,kila nchi ina maslahi yake na haioni kuwa shida ya mwenzake ni yake ,na hili limefanywa strategically na USA ili wasiweze kuwa na nguvu,kwa mfano Jordan na Saudi Arabia wote wapo against na IRAN, halikadhalika Yemen imeganwanywa vipande viwili kuna sehemu inamuunga mkono saudia na sehemu inamuunga mkono iran,hivyo kukosekana kwa umoja miongoni mwa waarabu kunamfanya Israel ajichagulie nchi moja moja na kuipiga bila ya nchi nyingnie kuingilia kati.

NB: kwa kutoa weakness hizo za nchi za kiarabu haimaanisha kuwa Israel haiwezi kudhurika kabisa itadhurika lakini its very likely atashinda vita at the end nan chi husika itakuwa imeharibiwa vibaya sana,ni muhimu waarabu kujifunza sasa.
Israeli haishindwi sababu ni MAREKANI tu
 
ISRAEL ni kikundi cha watu ambao wameingiliwa na kuwa influenced na White imperialists and settlers kutoka Europe wenye uwezo wa kifedha, connection, ushawishi, kijeshi ambao wanakuja middle east pale na kuleta usumbufu wa bure. ZIONISM ndo tatizo, Israel haijawahi kuwa tatizo. Wayahudi wameishi na wamechsnganyikana na hao ndugu zao wa middle east for thousand of years - Hawa waliotoka Ulaya na kuanza kurudi na supremacy ideologies ndio tatizo.
 
Kinachomfanya Israeli aendelee kutamba ni support ya ndugu zake marekani,uingereza na washirika wengine wa umoja wa ulaya.bila hao asingeweza kumudu vita Hivyo ukanda wote wa mashariki ya kati.
Mbona unaongelea sapporta ya israel huongelei kinachowafanya hezbollah, hamas, houth kutamba ni sapota ya Iran au unafikiri hezbollah na hamas wanayoyafanya kwa israel hawapei sapoti wap wao kama wao
 
Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah zilizopo mashariki ya kati bali ni ngumu pia kushindwa hata na nchi yoyote ya kiarabu kwa sababu kuu zangu nne hizi hapa

1-Uwezo wa juu wa kiintelijinsia-ni ukweli usiopingika kuwa israel ana timu na kikosi kizuri sana cha intelinjinsi ambacho kinafahamu move iliyopo ya adui wake,lakini pia inafahamu kwa haraka next move ya adui yake,hii inamrahisisha kazi kubwa ya kufanya counter move dhidi ya threat yoyote inayotegemewa ,mfano mzuri wa kujua ufanisi wa inteijinsia ya izraeli ni kupitia matukio mbalimbali ya mashambulizi ya kimkakati yaliyopeleke vifo vya viongozi wakuu/wajuu wa hamas,Hezbollah lakini pia hata shambulio la pagers,ambalo limejeruhi wapiganaji mbalimbali wa Hezbollah utagundua kuwa inteliejinsia ya juu uimetumika

2-Militarily technological advancement –hapa sitaongea sana,kijeshi izrael ana vifaa walau vyote muhimu vya kumuangamiza adui katika uwanja wa vita kuanzia ndege,drone,missile meli vita ,vifaru ,air defence system na silaha nyingine ndogo ndogo wakati upande wa pili sioni kama wana hivyo vifaa zaidi tu kuwa na drones chache (ukitoa iran) na makombora mengi yanayotumwa katika luncher ,sasa katika dunia ya leo ambapo Israel ana iron dome ni ngumu sana kuweza kumdhibiti kwani makombora mengi yanazuiliwa na mfumo wake wa ulizni wa iron dome makombora machance ndo yanaweza kupenetrate,mpaka pale ambapo nchi za kiarabu+ proxies wakiweza kujiimarisha katika air supremacy na air defence system.

Ndiyo walau wanaweza kupigana na IDF kwa sasa hivi tutakuwa tunajidanganya na zaidi vita huwa havina macho na IDF anatumia weakness hiyo ya proxies kuiadhibu nchi nzima kwa ujumla wake,naogopa kuona Lebanon ikienda kufanywa gaza mpya, hivyo kwa nchi hizi za kiarabu kukosa ADS ni ngumu kwao kujilinda wao wenyewe kama wapiganaji lakini pia hata kuwalinda wanachi wao.(ili wafikie walau uwezo wa IDF ni muhimu kwao kujiimarisha katika eneo hilo,wasiwekeze zaidi katika kuwa na makombora tu.

3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-kama inavyofahamika nchi za kiarabu hazina umoja,kila nchi ina maslahi yake na haioni kuwa shida ya mwenzake ni yake ,na hili limefanywa strategically na USA ili wasiweze kuwa na nguvu,kwa mfano Jordan na Saudi Arabia wote wapo against na IRAN, halikadhalika Yemen imeganwanywa vipande viwili kuna sehemu inamuunga mkono saudia na sehemu inamuunga mkono iran,hivyo kukosekana kwa umoja miongoni mwa waarabu kunamfanya Israel ajichagulie nchi moja moja na kuipiga bila ya nchi nyingnie kuingilia kati.

NB: kwa kutoa weakness hizo za nchi za kiarabu haimaanisha kuwa Israel haiwezi kudhurika kabisa itadhurika lakini its very likely atashinda vita at the end nan chi husika itakuwa imeharibiwa vibaya sana,ni muhimu waarabu kujifunza sasa.
Mleta mada nakuuliza swali moja tu kwa msisitizo.Maana umesema Israel hawezi kushindwa vita.
*KWANINI ISRAEL ALIPIGWA NA HIZBOLLAH 2006 PALE BINT JUBEIR!??
*KWANINI ISRAEL ALIPIGWA SINAI PENINSULA NA EGYPT 1973!?
 
Na sio kwamba hashindwi operations kibao anashindwa ila zinatumika tu propaganda kuficha kushindwa kwake.
 
Mbona unaongelea sapporta ya israel huongelei kinachowafanya hezbollah, hamas, houth kutamba ni sapota ya Iran au unafikiri hezbollah na hamas wanayoyafanya kwa israel hawapei sapoti wap wao kama wao
Tofautisha kundi na nchi kamili.
Hivyo ni vikundi Israel ni nchi kamili.
Na tofautisha hivyo vikundi vinasapotiwa na taifa moja IRAN.
Israel anasapotiwa tuseme na NATO nzima.
Je kuna uwiano!??
 
Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah zilizopo mashariki ya kati bali ni ngumu pia kushindwa hata na nchi yoyote ya kiarabu kwa sababu kuu zangu nne hizi hapa

1-Uwezo wa juu wa kiintelijinsia-ni ukweli usiopingika kuwa israel ana timu na kikosi kizuri sana cha intelinjinsi ambacho kinafahamu move iliyopo ya adui wake,lakini pia inafahamu kwa haraka next move ya adui yake,hii inamrahisisha kazi kubwa ya kufanya counter move dhidi ya threat yoyote inayotegemewa ,mfano mzuri wa kujua ufanisi wa inteijinsia ya izraeli ni kupitia matukio mbalimbali ya mashambulizi ya kimkakati yaliyopeleke vifo vya viongozi wakuu/wajuu wa hamas,Hezbollah lakini pia hata shambulio la pagers,ambalo limejeruhi wapiganaji mbalimbali wa Hezbollah utagundua kuwa inteliejinsia ya juu uimetumika

2-Militarily technological advancement
–hapa sitaongea sana,kijeshi izrael ana vifaa walau vyote muhimu vya kumuangamiza adui katika uwanja wa vita kuanzia ndege,drone,missile meli vita ,vifaru ,air defence system na silaha nyingine ndogo ndogo wakati upande wa pili sioni kama wana hivyo vifaa zaidi tu kuwa na drones chache (ukitoa iran) na makombora mengi yanayotumwa katika luncher ,sasa katika dunia ya leo ambapo Israel ana iron dome ni ngumu sana kuweza kumdhibiti kwani makombora mengi yanazuiliwa na mfumo wake wa ulizni wa iron dome makombora machance ndo yanaweza kupenetrate,mpaka pale ambapo nchi za kiarabu+ proxies wakiweza kujiimarisha katika air supremacy na air defence system.

Ndiyo walau wanaweza kupigana na IDF kwa sasa hivi tutakuwa tunajidanganya na zaidi vita huwa havina macho na IDF anatumia weakness hiyo ya proxies kuiadhibu nchi nzima kwa ujumla wake,naogopa kuona Lebanon ikienda kufanywa gaza mpya, hivyo kwa nchi hizi za kiarabu kukosa ADS ni ngumu kwao kujilinda wao wenyewe kama wapiganaji lakini pia hata kuwalinda wanachi wao.(ili wafikie walau uwezo wa IDF ni muhimu kwao kujiimarisha katika eneo hilo,wasiwekeze zaidi katika kuwa na makombora tu.

3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu
-kama inavyofahamika nchi za kiarabu hazina umoja,kila nchi ina maslahi yake na haioni kuwa shida ya mwenzake ni yake ,na hili limefanywa strategically na USA ili wasiweze kuwa na nguvu,kwa mfano Jordan na Saudi Arabia wote wapo against na IRAN, halikadhalika Yemen imeganwanywa vipande viwili kuna sehemu inamuunga mkono saudia na sehemu inamuunga mkono iran,hivyo kukosekana kwa umoja miongoni mwa waarabu kunamfanya Israel ajichagulie nchi moja moja na kuipiga bila ya nchi nyingnie kuingilia kati.

NB: kwa kutoa weakness hizo za nchi za kiarabu haimaanisha kuwa Israel haiwezi kudhurika kabisa itadhurika lakini its very likely atashinda vita at the end nan chi husika itakuwa imeharibiwa vibaya sana,ni muhimu waarabu kujifunza sasa.
Itashindwa siku USA akija kuacha kuwasaidia
 
Waarabu na waafrika ni kama Pwagu na Pwaguzi,yani wazungu wanatoka huko wanakuja kuanzisha Taifa ambalo halikuwepo ndani ya Taifa lingine lengo kucontrol ukanda wote wa waarabu.
 
Mbona unaongelea sapporta ya israel huongelei kinachowafanya hezbollah, hamas, houth kutamba ni sapota ya Iran au unafikiri hezbollah na hamas wanayoyafanya kwa israel hawapei sapoti wap wao kama wao
Hivi ww hujui kuwa Israel ni nchi na hivyo ni vikindi kama vya wahasi?? Israel anapokea misaada kutoka kwenye nchi 30 tajari za NATO hivyo vikindi only misaada ni kutoka Irani-hapo hakuna uwiano.
 
Mpaka sasa sijaona faida Hezbollah wamepata baada ya kuingia kwenye vita hii, mashambulizi ya jana na leo wamepoteza uwezo wao walioujenga kwa miaka 20( hii ni kwa mujibu wa data za IDF)

huwa nawaza baada ya vita hii Iran watakubali kufadhili hivi vikundi ambavyo vimeingia hasara na ushindi hawapat? Angalia hamas walivyopewa hasara ya infrastructure hasa tunnels na maghala ya silaha,vifaru,mizinga, makombora na wao wenyewe kufa. Sijui kama hamas watakuwepo tena Gaza wala sijui wataanzia wapi kujikusanya kuanza upya

Kiuchumi Hezbollah watakuwa hoi Sana na sidhani kama kuna msaada wa fedha watapata kutoka iran
IRAN LAZIMA ataendelea kuisuport hivi vikundi hawezi acha kamwe,lakini wanatakiwa wajiupgrade ni lazima watafute ushirikiano na mataifa mengine yenye nguvu katika nyanja ya kijeshi vinginevto kamwe hawawezi kumdhuru israel ukweli wa kumdhuru kwa 100%,
 
Waarabu na waafrika ni kama Pwagu na Pwaguzi,yani wazungu wanatoka huko wanakuja kuanzisha Taifa ambalo halikuwepo ndani ya Taifa lingine lengo kucontrol ukanda wote wa waarabu.
you are very right thats why muingereza na mmarekani forever atamsuport muisrael regrdless amkiuka mikataba ya amani ya kimtaifa kwa kiwango gani.
 
Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah zilizopo mashariki ya kati bali ni ngumu pia kushindwa hata na nchi yoyote ya kiarabu kwa sababu kuu zangu nne hizi hapa

1-Uwezo wa juu wa kiintelijinsia-ni ukweli usiopingika kuwa israel ana timu na kikosi kizuri sana cha intelinjinsi ambacho kinafahamu move iliyopo ya adui wake,lakini pia inafahamu kwa haraka next move ya adui yake,hii inamrahisisha kazi kubwa ya kufanya counter move dhidi ya threat yoyote inayotegemewa ,mfano mzuri wa kujua ufanisi wa inteijinsia ya izraeli ni kupitia matukio mbalimbali ya mashambulizi ya kimkakati yaliyopeleke vifo vya viongozi wakuu/wajuu wa hamas,Hezbollah lakini pia hata shambulio la pagers,ambalo limejeruhi wapiganaji mbalimbali wa Hezbollah utagundua kuwa inteliejinsia ya juu uimetumika

2-Militarily technological advancement –hapa sitaongea sana,kijeshi izrael ana vifaa walau vyote muhimu vya kumuangamiza adui katika uwanja wa vita kuanzia ndege,drone,missile meli vita ,vifaru ,air defence system na silaha nyingine ndogo ndogo wakati upande wa pili sioni kama wana hivyo vifaa zaidi tu kuwa na drones chache (ukitoa iran) na makombora mengi yanayotumwa katika luncher ,sasa katika dunia ya leo ambapo Israel ana iron dome ni ngumu sana kuweza kumdhibiti kwani makombora mengi yanazuiliwa na mfumo wake wa ulizni wa iron dome makombora machance ndo yanaweza kupenetrate,mpaka pale ambapo nchi za kiarabu+ proxies wakiweza kujiimarisha katika air supremacy na air defence system.

Ndiyo walau wanaweza kupigana na IDF kwa sasa hivi tutakuwa tunajidanganya na zaidi vita huwa havina macho na IDF anatumia weakness hiyo ya proxies kuiadhibu nchi nzima kwa ujumla wake,naogopa kuona Lebanon ikienda kufanywa gaza mpya, hivyo kwa nchi hizi za kiarabu kukosa ADS ni ngumu kwao kujilinda wao wenyewe kama wapiganaji lakini pia hata kuwalinda wanachi wao.(ili wafikie walau uwezo wa IDF ni muhimu kwao kujiimarisha katika eneo hilo,wasiwekeze zaidi katika kuwa na makombora tu.

3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-kama inavyofahamika nchi za kiarabu hazina umoja,kila nchi ina maslahi yake na haioni kuwa shida ya mwenzake ni yake ,na hili limefanywa strategically na USA ili wasiweze kuwa na nguvu,kwa mfano Jordan na Saudi Arabia wote wapo against na IRAN, halikadhalika Yemen imeganwanywa vipande viwili kuna sehemu inamuunga mkono saudia na sehemu inamuunga mkono iran,hivyo kukosekana kwa umoja miongoni mwa waarabu kunamfanya Israel ajichagulie nchi moja moja na kuipiga bila ya nchi nyingnie kuingilia kati.

NB: kwa kutoa weakness hizo za nchi za kiarabu haimaanisha kuwa Israel haiwezi kudhurika kabisa itadhurika lakini its very likely atashinda vita at the end nan chi husika itakuwa imeharibiwa vibaya sana,ni muhimu waarabu kujifunza sasa.
4.USA wako nao bega kwa bega kwa kila kitu
 
3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-
Na hii ndio changamoto kubwa, mfano Hamas alipambana mwenyewe baadae Houthi wakapambana wenyewe then Iran akaingia mwenyewe na sasa hezbollah wenyewe. Nawaza scenario ambapo Hezbollah, Hamas , Iran na Houthi wangefanya counter attack kwa pamoja tokea mwanzo possibly wangeshindwa ila wange inflict damage kubwa kuliko hivi anapopigana mmoja mmoja tu inampa Israel muda wa kujipanga kwa adui mpya.

Very poor strategy.

Sababu kubwa hujataja ni back up ya USA, huwa kila siku nasema hao Iran wakipewa backup na Russia au China basi ndio mwisho wa Israel. Na tumeona ulimwengu mzima kuanzia Cuba, Vietnam hadi Korea kaskazini zote zingepotezwa na USA kama sio China/Russia kuingia upande wao.

Hivi Israel anaweza mpiga China au Russia? Till then ndio tutajua kama kweli hizi sifa wanazomwagiwa ni halisi au ni back up tu ya US
 
Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah zilizopo mashariki ya kati bali ni ngumu pia kushindwa hata na nchi yoyote ya kiarabu kwa sababu kuu zangu nne hizi hapa

1-Uwezo wa juu wa kiintelijinsia-ni ukweli usiopingika kuwa israel ana timu na kikosi kizuri sana cha intelinjinsi ambacho kinafahamu move iliyopo ya adui wake,lakini pia inafahamu kwa haraka next move ya adui yake,hii inamrahisisha kazi kubwa ya kufanya counter move dhidi ya threat yoyote inayotegemewa ,mfano mzuri wa kujua ufanisi wa inteijinsia ya izraeli ni kupitia matukio mbalimbali ya mashambulizi ya kimkakati yaliyopeleke vifo vya viongozi wakuu/wajuu wa hamas,Hezbollah lakini pia hata shambulio la pagers,ambalo limejeruhi wapiganaji mbalimbali wa Hezbollah utagundua kuwa inteliejinsia ya juu uimetumika

2-Militarily technological advancement –hapa sitaongea sana,kijeshi izrael ana vifaa walau vyote muhimu vya kumuangamiza adui katika uwanja wa vita kuanzia ndege,drone,missile meli vita ,vifaru ,air defence system na silaha nyingine ndogo ndogo wakati upande wa pili sioni kama wana hivyo vifaa zaidi tu kuwa na drones chache (ukitoa iran) na makombora mengi yanayotumwa katika luncher ,sasa katika dunia ya leo ambapo Israel ana iron dome ni ngumu sana kuweza kumdhibiti kwani makombora mengi yanazuiliwa na mfumo wake wa ulizni wa iron dome makombora machance ndo yanaweza kupenetrate,mpaka pale ambapo nchi za kiarabu+ proxies wakiweza kujiimarisha katika air supremacy na air defence system.

Ndiyo walau wanaweza kupigana na IDF kwa sasa hivi tutakuwa tunajidanganya na zaidi vita huwa havina macho na IDF anatumia weakness hiyo ya proxies kuiadhibu nchi nzima kwa ujumla wake,naogopa kuona Lebanon ikienda kufanywa gaza mpya, hivyo kwa nchi hizi za kiarabu kukosa ADS ni ngumu kwao kujilinda wao wenyewe kama wapiganaji lakini pia hata kuwalinda wanachi wao.(ili wafikie walau uwezo wa IDF ni muhimu kwao kujiimarisha katika eneo hilo,wasiwekeze zaidi katika kuwa na makombora tu.

3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-kama inavyofahamika nchi za kiarabu hazina umoja,kila nchi ina maslahi yake na haioni kuwa shida ya mwenzake ni yake ,na hili limefanywa strategically na USA ili wasiweze kuwa na nguvu,kwa mfano Jordan na Saudi Arabia wote wapo against na IRAN, halikadhalika Yemen imeganwanywa vipande viwili kuna sehemu inamuunga mkono saudia na sehemu inamuunga mkono iran,hivyo kukosekana kwa umoja miongoni mwa waarabu kunamfanya Israel ajichagulie nchi moja moja na kuipiga bila ya nchi nyingnie kuingilia kati.

NB: kwa kutoa weakness hizo za nchi za kiarabu haimaanisha kuwa Israel haiwezi kudhurika kabisa itadhurika lakini its very likely atashinda vita at the end nan chi husika itakuwa imeharibiwa vibaya sana,ni muhimu waarabu kujifunza sasa.
Kiongozi umeeleza vema sana....ambaye hajaelewa hataelewa Tena...ukiangalia strategicaly hata vita vya Gaza utagundua hamas Wana rocket tu..na mibomu ya kutega ardhini...hata ndege moja tu ya kivita hawana
 
Mleta mada nakuuliza swali moja tu kwa msisitizo.Maana umesema Israel hawezi kushindwa vita.
*KWANINI ISRAEL ALIPIGWA NA HIZBOLLAH 2006 PALE BINT JUBEIR!??
*KWANINI ISRAEL ALIPIGWA SINAI PENINSULA NA EGYPT 1973!?
Mtoa madam alifocus zaidi ..kinachoebdelea Right now
 
Israel hajashinda Yom kipur hizi propaganda zinaongezwa Chumvi kila siku. EGPTY alimbana vizuri tu Israel mpaka wakatishia kupiga Nyuklia, Asingeingilia USA na kukaa nao chini Egpty habari ingekua nyengine.

Moja ya Sababu Raisi wa Egpty (Anwar Saadat) kuuliwa na wanajeshi wake ni kutolisikiliza Jeshi na kutoa maamuzi yaliyoifaidisha Israel.

Outcome ya Vita Israel akakubali kurudisha eneo la Sinai Egpty.
Wewe hakuna unachojua, ukishatoka kupiga kichwa chini nenda usome mkataba wa Camp David Accord ndio uje uropoke humu.
 
Back
Top Bottom