Na hii ndio changamoto kubwa, mfano Hamas alipambana mwenyewe baadae Houthi wakapambana wenyewe then Iran akaingia mwenyewe na sasa hezbollah wenyewe. Nawaza scenario ambapo Hezbollah, Hamas , Iran na Houthi wangefanya counter attack kwa pamoja tokea mwanzo possibly wangeshindwa ila wange inflict damage kubwa kuliko hivi anapopigana mmoja mmoja tu inampa Israel muda wa kujipanga kwa adui mpya.
Very poor strategy.
Sababu kubwa hujataja ni back up ya USA, huwa kila siku nasema hao Iran wakipewa backup na Russia au China basi ndio mwisho wa Israel. Na tumeona ulimwengu mzima kuanzia Cuba, Vietnam hadi Korea kaskazini zote zingepotezwa na USA kama sio China/Russia kuingia upande wao.
Hivi Israel anaweza mpiga China au Russia? Till then ndio tutajua kama kweli hizi sifa wanazomwagiwa ni halisi au ni back up tu ya US