Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Siku yaja Warabu wataungana na Kisha kumtolea uvivu Israel, hata USA akiingilia kati haitasaidia kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa; na zile ndege za kivita zilizo pigwa na kuteketezwa uwanjani kabla hazijaruka nayo utasema propaganda? Rais aliyeuawa na aliyekuja baadae nani alikua pro 🇺🇸 USA? Bora ungenambia kwamba Israeli bila msaada wa USA haiwezi pekee yake kuliko hi propaganda ulioandika hapaIsrael hajashinda Yom kipur hizi propaganda zinaongezwa Chumvi kila siku. EGPTY alimbana vizuri tu Israel mpaka wakatishia kupiga Nyuklia, Asingeingilia USA na kukaa nao chini Egpty habari ingekua nyengine.
Moja ya Sababu Raisi wa Egpty (Anwar Saadat) kuuliwa na wanajeshi wake ni kutolisikiliza Jeshi na kutoa maamuzi yaliyoifaidisha Israel.
Outcome ya Vita Israel akakubali kurudisha eneo la Sinai Egpty.
Ndo propaganda zenyewe ninazoziongelea, kuna Academic source yoyote ile inayosuport Hili? Sababu kuna vitabu vingi na Historia nyingi kwamba Sharon (huyo ambae wanasema alikaribia kuteka Cairo) alipigwa vibaya mno na kushindwa kuteka Ismailia na Jeshi jengine la Israel lililokuwa linaenda Suez kuwa Massacred.Mbona unaongea kinafiki ndugu unageuza geuza maneno embu elezea vizuri na kiukweli ile vita ya omkipuri ni Misri aliomba mwishoni Marekani amshawishi israel asikilimalizie kikosi cha 3 maana israel alibakiza km 112 afike cairo
Hebu Soma na wewe uelewe, hata google tu kidogo ujue Yom kipur war ni nini maana unachanganya madesaWe jamaa; na zile ndege za kivita zilizo pigwa na kuteketezwa uwanjani kabla hazijaruka nayo utasema propaganda? Rais aliyeuawa na aliyekuja baadae nani alikua pro 🇺🇸 USA? Bora ungenambia kwamba Israeli bila msaada wa USA haiwezi pekee yake kuliko hi propaganda ulioandika hapa
Uweke hapaWewe hakuna unachojua, ukishatoka kupiga kichwa chini nenda usome mkataba wa Camp David Accord ndio uje uropoke humu.
Hakuna chochote kilichoandikwa hapo kinachopinga mimi nilichoandika, hapo imeelezewa tu kijuu juu.
waarabu wao si wanapatia urusi?Usisahau inapata support ya fedha na silaha kutoka US na nchi za Magharibi.
3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-kama inavyofahamika nchi za kiarabu hazina umoja,kila nchi ina maslahi yake na haioni kuwa shida ya mwenzake ni yake ,na hili limefanywa strategically na USA ili wasiweze kuwa na nguvu,kwa mfano Jordan na Saudi Arabia wote wapo against na IRAN, halikadhalika Yemen imeganwanywa vipande viwili kuna sehemu inamuunga mkono saudia na sehemu inamuunga mkono iran,hivyo kukosekana kwa umoja miongoni mwa waarabu kunamfanya Israel ajichagulie nchi moja moja na kuipiga bila ya nchi nyingnie kuingilia kati.
NB: kwa kutoa weakness hizo za nchi za kiarabu haimaanisha kuwa Israel haiwezi kudhurika kabisa itadhurika lakini its very likely atashinda vita at the end nan chi husika itakuwa imeharibiwa vibaya sana,ni muhimu waarabu kujifunza sasa.
Usitoke nje ya mada. Katika vita kila nchi husaidiwa na mshirika wake.Usisahau inapata support ya fedha na silaha kutoka US na nchi za Magharibi.
Mkuu umetoa hoja KISHABIKI zaidi nakujificha kwenye kichaka cha Ant- IsraelNaomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na hisia, naona ni ngumu sana isarel kushindwa vita sio tu na proxies group kama vile houth,hezobollah zilizopo mashariki ya kati bali ni ngumu pia kushindwa hata na nchi yoyote ya kiarabu kwa sababu kuu zangu nne hizi hapa
1-Uwezo wa juu wa kiintelijinsia-ni ukweli usiopingika kuwa israel ana timu na kikosi kizuri sana cha intelinjinsi ambacho kinafahamu move iliyopo ya adui wake,lakini pia inafahamu kwa haraka next move ya adui yake,hii inamrahisisha kazi kubwa ya kufanya counter move dhidi ya threat yoyote inayotegemewa ,mfano mzuri wa kujua ufanisi wa inteijinsia ya izraeli ni kupitia matukio mbalimbali ya mashambulizi ya kimkakati yaliyopeleke vifo vya viongozi wakuu/wajuu wa hamas,Hezbollah lakini pia hata shambulio la pagers,ambalo limejeruhi wapiganaji mbalimbali wa Hezbollah utagundua kuwa inteliejinsia ya juu uimetumika
2-Militarily technological advancement –hapa sitaongea sana,kijeshi izrael ana vifaa walau vyote muhimu vya kumuangamiza adui katika uwanja wa vita kuanzia ndege,drone,missile meli vita ,vifaru ,air defence system na silaha nyingine ndogo ndogo wakati upande wa pili sioni kama wana hivyo vifaa zaidi tu kuwa na drones chache (ukitoa iran) na makombora mengi yanayotumwa katika luncher ,sasa katika dunia ya leo ambapo Israel ana iron dome ni ngumu sana kuweza kumdhibiti kwani makombora mengi yanazuiliwa na mfumo wake wa ulizni wa iron dome makombora machance ndo yanaweza kupenetrate,mpaka pale ambapo nchi za kiarabu+ proxies wakiweza kujiimarisha katika air supremacy na air defence system.
Ndiyo walau wanaweza kupigana na IDF kwa sasa hivi tutakuwa tunajidanganya na zaidi vita huwa havina macho na IDF anatumia weakness hiyo ya proxies kuiadhibu nchi nzima kwa ujumla wake,naogopa kuona Lebanon ikienda kufanywa gaza mpya, hivyo kwa nchi hizi za kiarabu kukosa ADS ni ngumu kwao kujilinda wao wenyewe kama wapiganaji lakini pia hata kuwalinda wanachi wao.(ili wafikie walau uwezo wa IDF ni muhimu kwao kujiimarisha katika eneo hilo,wasiwekeze zaidi katika kuwa na makombora tu.
3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-kama inavyofahamika nchi za kiarabu hazina umoja,kila nchi ina maslahi yake na haioni kuwa shida ya mwenzake ni yake ,na hili limefanywa strategically na USA ili wasiweze kuwa na nguvu,kwa mfano Jordan na Saudi Arabia wote wapo against na IRAN, halikadhalika Yemen imeganwanywa vipande viwili kuna sehemu inamuunga mkono saudia na sehemu inamuunga mkono iran,hivyo kukosekana kwa umoja miongoni mwa waarabu kunamfanya Israel ajichagulie nchi moja moja na kuipiga bila ya nchi nyingnie kuingilia kati.
NB: kwa kutoa weakness hizo za nchi za kiarabu haimaanisha kuwa Israel haiwezi kudhurika kabisa itadhurika lakini its very likely atashinda vita at the end nan chi husika itakuwa imeharibiwa vibaya sana,ni muhimu waarabu kujifunza sasa.
yeah lakini kumkuka iran anatoa msaada kwa vificho ilihali mmraekani anatroa msaada kwa uwazi sana kwenda kwa isarel na pia angalia aina ya msaada anautoa iran na mmarekani ni mbingu na ardhiyHezbollah na houthi usisahau nao pia wanapata pesa na silaha kutoka kwa Iran
kumbuka urusi nae yupo katika vita hivyo sio rahisi na yeye kutoa msaada mkubwa kwa mkupuo kwa washirika wake pia kumbuka nchi yeyote inayoonekana inaunagna kijeshi na uruisi nchi za mgharaibi mara moja humuwekea vikwazo hivyo nichi nyingi zinaogopa kuonyesha ushirikiaono wao dhahirwaarabu wao si wanapatia urusi?
by the way,roketi ni kwa ajili ya kupiga short range na ndizo hizi vikundi vinavyo nyingi sana ila makombora wanayo lakini sio mengi sana wakati makombora ndio muhimu sana kwa kuwa yana akili kwa maana huwekwa chip na kuwa guided yaende kutua au kupiga wapi na spidi yake ni kali mara nyingine air defense system hushindwa kuzitungua lakini roketi zenyewe hazina akili na ni rahisi kutunguliwa na ADS.Kiongozi umeeleza vema sana....ambaye hajaelewa hataelewa Tena...ukiangalia strategicaly hata vita vya Gaza utagundua hamas Wana rocket tu..na mibomu ya kutega ardhini...hata ndege moja tu ya kivita hawana
Elewa kwamba bila mkataba wa Camp David Sinai isingerejeshwa kwa Misri na hilo liko wazi.Hakuna chochote kilichoandikwa hapo kinachopinga mimi nilichoandika, hapo imeelezewa tu kijuu juu.
David Elazar said: “We could not along ten days of fighting to overcome any of Egyptian armies. The second army resisted and prevented us ultimately to reach Ismailia city. As for the third army, in spite of our encircling them they resisted and advanced to occupy in fact a wider area of land at the east. Thus, we can not say that we defeated or conquered them.”
Hio Statement ya General wa Israel mwenyewe unaweza kuipinga kwa Evidence?
Hio vita ya Suez Iliofanyika 24-25 ndio ilikua vita ya mwisho kwenye Yom Kipur Israel walivamia Suez na kupigwa Vibaya Mno
![]()
Battle of Suez - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
So mkuu Israel wameshinda Yom kipur kwenye media tena miaka ya Karibuni, watu waliokua Hai muda huo wote wanajua walipigwa.
Kuanzia 1967 mpaka 1973 hakuna mwaka hata mmoja ambao Egpty hajamwambia Israel arudishe hilo eneo na kila mwaka Israel walikataa, hivyo Egpty aka force na kuanzisha hivyo vita. Baada ya kuona Maji ya Shingo ndio Usa akaingilia na kuweka huo mkataba, so Angeshinda Israel hivyo vita angeendelea na msimamo ule ule kukataa kurudi Sha Eneo la Egpty, ila sababu alipigwa ilibidi akubali kurudisha hilo eneo.Elewa kwamba bila mkataba wa Camp David Sinai isingerejeshwa kwa Misri na hilo liko wazi.
SAWA kwa ufafanuzi mkuuby the way,roketi ni kwa ajili ya kupiga short range na ndizo hizi vikundi vinavyo nyingi sana ila makombora wanayo lakini sio mengi sana wakati makombora ndio muhimu sana kwa kuwa yana akili kwa maana huwekwa chip na kuwa guided yaende kutua au kupiga wapi na spidi yake ni kali mara nyingine air defense system hushindwa kuzitungua lakini roketi zenyewe hazina akili na ni rahisi kutunguliwa na ADS.
Kwa propaganda tunazoziona saivi .,wazan zaman hazikuepo?Alishawahi kuchangiwa na mataifa 22 ya kiarabu mwaka 1967 akawapiga kwa siku 6 na mwaka 1973 misri na syria ziliingia vita vya ommukipuri na israel akapigana na nchi mbili kwenye uwanja wa vita na kuibuka mshindi sasa hayo nayo ni makundi?
Sitaki kuamini kwamba wewe ni mjinga ila naamini kwamba udini ndio unakusumbua.Kuanzia 1967 mpaka 1973 hakuna mwaka hata mmoja ambao Egpty hajamwambia Israel arudishe hilo eneo na kila mwaka Israel walikataa, hivyo Egpty aka force na kuanzisha hivyo vita. Baada ya kuona Maji ya Shingo ndio Usa akaingilia na kuweka huo mkataba, so Angeshinda Israel hivyo vita angeendelea na msimamo ule ule kukataa kurudi Sha Eneo la Egpty, ila sababu alipigwa ilibidi akubali kurudisha hilo eneo.
Kabla ya Vita kuanza objective ni kurudisha eneo lao, baada ya Vita kuisha Egpty kapewa eneo lake, sijui kitu gani kigumu hapa kwako kuelewa.