Uchambuzi: Kwanini Israel hawezi shindwa vita mashariki ya kati?

Israeli haishindwi sababu ni MAREKANI tu
 
ISRAEL ni kikundi cha watu ambao wameingiliwa na kuwa influenced na White imperialists and settlers kutoka Europe wenye uwezo wa kifedha, connection, ushawishi, kijeshi ambao wanakuja middle east pale na kuleta usumbufu wa bure. ZIONISM ndo tatizo, Israel haijawahi kuwa tatizo. Wayahudi wameishi na wamechsnganyikana na hao ndugu zao wa middle east for thousand of years - Hawa waliotoka Ulaya na kuanza kurudi na supremacy ideologies ndio tatizo.
 
Kinachomfanya Israeli aendelee kutamba ni support ya ndugu zake marekani,uingereza na washirika wengine wa umoja wa ulaya.bila hao asingeweza kumudu vita Hivyo ukanda wote wa mashariki ya kati.
Mbona unaongelea sapporta ya israel huongelei kinachowafanya hezbollah, hamas, houth kutamba ni sapota ya Iran au unafikiri hezbollah na hamas wanayoyafanya kwa israel hawapei sapoti wap wao kama wao
 
Mleta mada nakuuliza swali moja tu kwa msisitizo.Maana umesema Israel hawezi kushindwa vita.
*KWANINI ISRAEL ALIPIGWA NA HIZBOLLAH 2006 PALE BINT JUBEIR!??
*KWANINI ISRAEL ALIPIGWA SINAI PENINSULA NA EGYPT 1973!?
 
Kinachomfanya Israeli aendelee kutamba ni support ya ndugu zake marekani,uingereza na washirika wengine wa umoja wa ulaya.bila hao asingeweza kumudu vita Hivyo ukanda wote wa mashariki ya kati.
Na sio kwamba hashindwi operations kibao anashindwa ila zinatumika tu propaganda kuficha kushindwa kwake.
 
Mbona unaongelea sapporta ya israel huongelei kinachowafanya hezbollah, hamas, houth kutamba ni sapota ya Iran au unafikiri hezbollah na hamas wanayoyafanya kwa israel hawapei sapoti wap wao kama wao
Tofautisha kundi na nchi kamili.
Hivyo ni vikundi Israel ni nchi kamili.
Na tofautisha hivyo vikundi vinasapotiwa na taifa moja IRAN.
Israel anasapotiwa tuseme na NATO nzima.
Je kuna uwiano!??
 
Itashindwa siku USA akija kuacha kuwasaidia
 
Waarabu na waafrika ni kama Pwagu na Pwaguzi,yani wazungu wanatoka huko wanakuja kuanzisha Taifa ambalo halikuwepo ndani ya Taifa lingine lengo kucontrol ukanda wote wa waarabu.
 
Mbona unaongelea sapporta ya israel huongelei kinachowafanya hezbollah, hamas, houth kutamba ni sapota ya Iran au unafikiri hezbollah na hamas wanayoyafanya kwa israel hawapei sapoti wap wao kama wao
Hivi ww hujui kuwa Israel ni nchi na hivyo ni vikindi kama vya wahasi?? Israel anapokea misaada kutoka kwenye nchi 30 tajari za NATO hivyo vikindi only misaada ni kutoka Irani-hapo hakuna uwiano.
 
IRAN LAZIMA ataendelea kuisuport hivi vikundi hawezi acha kamwe,lakini wanatakiwa wajiupgrade ni lazima watafute ushirikiano na mataifa mengine yenye nguvu katika nyanja ya kijeshi vinginevto kamwe hawawezi kumdhuru israel ukweli wa kumdhuru kwa 100%,
 
Waarabu na waafrika ni kama Pwagu na Pwaguzi,yani wazungu wanatoka huko wanakuja kuanzisha Taifa ambalo halikuwepo ndani ya Taifa lingine lengo kucontrol ukanda wote wa waarabu.
you are very right thats why muingereza na mmarekani forever atamsuport muisrael regrdless amkiuka mikataba ya amani ya kimtaifa kwa kiwango gani.
 
4.USA wako nao bega kwa bega kwa kila kitu
 
4.USA wako nao bega kwa bega kwa kila kitu
 
3-Kukosekana kwa umoja kwa nchi za kiarabu-
Na hii ndio changamoto kubwa, mfano Hamas alipambana mwenyewe baadae Houthi wakapambana wenyewe then Iran akaingia mwenyewe na sasa hezbollah wenyewe. Nawaza scenario ambapo Hezbollah, Hamas , Iran na Houthi wangefanya counter attack kwa pamoja tokea mwanzo possibly wangeshindwa ila wange inflict damage kubwa kuliko hivi anapopigana mmoja mmoja tu inampa Israel muda wa kujipanga kwa adui mpya.

Very poor strategy.

Sababu kubwa hujataja ni back up ya USA, huwa kila siku nasema hao Iran wakipewa backup na Russia au China basi ndio mwisho wa Israel. Na tumeona ulimwengu mzima kuanzia Cuba, Vietnam hadi Korea kaskazini zote zingepotezwa na USA kama sio China/Russia kuingia upande wao.

Hivi Israel anaweza mpiga China au Russia? Till then ndio tutajua kama kweli hizi sifa wanazomwagiwa ni halisi au ni back up tu ya US
 
Kiongozi umeeleza vema sana....ambaye hajaelewa hataelewa Tena...ukiangalia strategicaly hata vita vya Gaza utagundua hamas Wana rocket tu..na mibomu ya kutega ardhini...hata ndege moja tu ya kivita hawana
 
Mleta mada nakuuliza swali moja tu kwa msisitizo.Maana umesema Israel hawezi kushindwa vita.
*KWANINI ISRAEL ALIPIGWA NA HIZBOLLAH 2006 PALE BINT JUBEIR!??
*KWANINI ISRAEL ALIPIGWA SINAI PENINSULA NA EGYPT 1973!?
Mtoa madam alifocus zaidi ..kinachoebdelea Right now
 
Wewe hakuna unachojua, ukishatoka kupiga kichwa chini nenda usome mkataba wa Camp David Accord ndio uje uropoke humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…