Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Huyo kenge anatafuta bwana wa kumpiga nao. Sijui kwanini amwombe Mondi ampeleke kwa Puffy Daddy?Mke wako ana kazi walai...mwanaume una gubu kwa wanaume wenzio kila siku kuwaombea mabaya...hivi ushaona kuna mwa a Simba anae anzishaga uzi za kipumbavu kama zako?? Sijui una matatizo gani..hunaga content nyingine?
Ha haaaHuyo Pdiddy ni utopolo mwenzako ambaye naye huwa anafanyia unabii mechi za Simba tu kama wewe unavyofanyia unabii mechi za Simba tu. Ila sema yeye ni mjanja kidogo, huwa hatoi ahadi za kupigwa ban kama matokeo yatakuwa tofauti 😀 😀😀
Hakuna timu ya kuifunga Simba kwenye ligi msimu huu.Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Nyoooooko....Angalia mwenzako Azam anachofanyiwa we Mchawi!Whaaat¿??
Ni wapemba wachache sana wenye akiliKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Ulijuwa mapema suoAaah hapana mkuu [emoji23]
Ni kweli.Hakuna timu ya kuifunga Simba kwenye ligi msimu huu.
Sawa. ngoja tusubiri baada ya dakika 90Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam
AZAM ni timu ndogo sana. na huwa nafurahi sana ikifungwa kwasababu tu feiza toto aliyetetewa na mama kizmkazi anachezea kule. nitakuja kuwaonea huruma akifukuzwa na kule.Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Anarudi Yanga utahama timu?AZAM ni timu ndogo sana. na huwa nafurahi sana ikifungwa kwasababu tu feiza toto aliyetetewa na mama kizmkazi anachezea kule. nitakuja kuwaonea huruma akifukuzwa na kule.
Pumzika sasa na huu upuuzi wakoKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Pumzika sasa na huu upuuzi wakoKama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara Simba anaenda kula 4G Kwa Azam Kwasababu zifuatazo
1. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ..,. kitendo Cha mchezo kufanyika Zanzibar....Simba ishapigwa....coz haiwezi kushinda ugenini
2. Azam itashambulia sana coz lazima ikamie hizi timu Ili kupunguza gapes la point Ili kujiweka nafas nzuri
3. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ....
That's y Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa
Utabiri wangu
FT: Simba 1........3 Azam View attachment 3107105
Hathubutu tena huo upuuzi wakeLeo pia unaomba BAN ya muda gani ikiwa matokeo yakiwa nje ya matarajio yako?