Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Pumzika sasa na huu upuuzi wako
Leo pia unaomba BAN ya muda gani ikiwa matokeo yakiwa nje ya matarajio yako?
Hathubutu tena huo upuuzi wake
 
Mkuu ungetupia picha JamiiForums waitunze leo ungetoa ahadi zako ungekula Ban tena..
 
Ungeomba na ban iwapo Simba atashinda Ili kukazia huu utabiri
 
AZAM ni timu ndogo sana. na huwa nafurahi sana ikifungwa kwasababu tu feiza toto aliyetetewa na mama kizmkazi anachezea kule. nitakuja kuwaonea huruma akifukuzwa na kule.
Acha chuki mkuu, huo sio ulokole
 
Hapo Vipi
 
Haya Mateam ya Simba na Yanga yamesababisha tuna watu wajinga sana huwezi kuwasikia wanajadili masuala ya maisha au uchumi namna ya kufanya kazi kuboresha tija wao ni Yanga na Simba
Aahaahaaa
 

Mchambuzi uchwara.
Uchambuzi na utabiri wako umefeli kwa 100%
 
Safari hii huombi ufanywe chochote?
 
Hahah, mtabiriii.
Sasa umeiona simba iliyoshjnda mbele ya azam?
Simba ni timu kubwa mbele ya azam, af mpira ukiujua haukupi shida, simba ndy ilikuwa timu superb mbele ya azam kabla ya mchezo wa leo na imejidhihirisha kuwa azam ni inferior mbele ya simba.

😂 sasa pumzika kwa amani. This is simba 🦁 nguvu moja.
 
Utakuwa umekatili mdgo ako .....coz spicies zetu hizi .....Zina ng'ang'niwa sana huku


Sisi ndo kile kizazi Cha magenius, (Einstein )pesa mingi ..... handsome

So imagine what a loss ur going to incur
Pole sana...
Hili ni gundu...
Natamani useme tena
 
Naitwa Lucha A.K.A Puff Daddy karibu nyumbani tujadili kuhusu hiyo mechi
 
We laban ifike hatua utulie tu pale simba anapocheza hivi huoni aibu unavyovuliwa nguo kila siku. Na leo umeshituka mapema haujaomba upigwe ban
 
Atakua ana changamoto labda jamani...
We laban ifike hatua utulie tu pale simba anapocheza hivi huoni aibu unavyovuliwa nguo kila siku. Na leo umeshituka mapema haujaomba upigwe ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…