Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

Ndege za abiria hazinaga parachuti..parachuti ni kwa ajili ya ndege vita na zile za michezo. Ndege za abiria zina maboya ya kuelea majini si parachuti
Ila zina life jackets

Ova
 
Msiwe mnaandika vitu hamjui😁 sometime kukaa kimya Ni better zaidi
 
Nimekumbuka ajali ya Mv Spice watu walikufa kimasihara...yaani lisaa lizima waokoaji hawajafika eneo la tukio...na baada ya kufika hata hawakujua wafanye Nini zaidi ya kusubiri meli yote izame watoe Maiti hai... pathetic pit
 
Nadhani wewe ndo hujaelewa, ameanza kwa kutoa general knowledge kuhusu usalama wa ndege, then ndo akaja kuongelea specifically issue ya Precision. Hapa anayejifanya mjuaji ni wewe.
Haya sasa wewe ambae sio mjuaji tuambie hiyo ndege ya abiria ambayo wanaweza kupewa parachute na kujiokoa??
 
Nimekumbuka ajali ya Mv Spice watu walikufa kimasihara...yaani lisaa lizima waokoaji hawajafika eneo la tukio...na baada ya kufika hata hawakujua wafanye Nini zaidi ya kusubiri meli yote izame watoe Maiti hai... pathetic pit
Rescue problem
 
Uko sahihi
 
Ende
jamaa jinga kweli, usafili ndio nini sasa. mi nikiona heading imekosewa tu tena kwenye L na R huwaga sisomi maana najua mada itakuwa haina maana. kama mtu anashindwa kutofautisha L and R ataweza andika mada vzr
Endelea kuwa jeuri hvyo hvyo...hta wife akichanganya L na R usimsikilize....
 
Acha haraka zako hebu rudi studio karekebishe USAFILI isomeke USAFIRI, nafasi yako tutakutunzia.
 
Kama mtu anapenda aviation aende YouTube huko achaneni na stori za vijiweni

Parachute hawaweki kwa sababu kadhaa

1 sio kila mtu anaweza tumia,, na itakuwa kazi ya ziada kumfundisha kila mtu mfano wewe mwenyewe sa hivi hujawah panda ndege tukupandishe tukupe parachute uruke hautaruka

2 .. attitude ndege kubwa zinapita 33000feet huko juuhata oksijen enyewe hamna hata ukiruka unaeza kufa kwa kushindwa pumua mixer pressure ile umepanic hivo utatua maiti pia


YouTube Kuna channel nyingi Sana Ni nyie mko busy na maisha ya kajala
 
Sijui sana kuhusu ndege ila ulicho andika inaonekana na wewe pia hujui chochote tena Bora yangu Cha ajabu kwa akili hii ukiitwa mla mihogo utakasirika Kama wale mashabiki wa yanga
 
Sijui sana kuhusu ndege ila ulicho andika inaonekana na wewe pia hujui chochote tena Bora yangu Cha ajabu kwa akili hii ukiitwa mla mihogo utakasirika Kama wale mashabiki wa yanga
Sasa ueleze unavyoelewa mkuu mbon unakua km uneducated kwanini hupingi kwa kutoa hoja zako unazoona zina mashiko, unapopinga bila kueleza chochote wewe ndio unaonekana hujui kitu ila unajibaraghuza tu hapa na wewe uonekane unajua kumbe empty tu
 
Ndege most of the time inapita above water bodies especially ikiwa angani na hii ni Kwa ajili ya safety zaidi so we ukiwea pipa jua chini kule ni unapita either ziwani,baharini,mtoni ikiwa inakaribia kushuka ndio inapita sehemu za KAWAIDA tatizo watu WENGI hawaelewagi hii kitu muhimu akiangukia ardhini ingekuwa shida zaidi
 
Kama kufa labda afe kwa kukosa msaada wa uokoaji!
Lakini kazi yake kafanya vyema!
Ikumbukwe ndege haina rubani mmoja, kuna rubani namba 1&2 na tatu ni fundi wa ndege!
...Hii Ina Rubani Wawili. Captain na Co-Pilot...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…